kuelekea uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teko Modise

    Pre GE2025 Mwigulu badala ya kuwasilisha bajeti yeye anatumia muda mrefu kumkandia Tundu Lissu

    Taifa linamsikiliza Waziri wa Fedha akiwasilisha bajeti yeye anatumia dakika karibia 10 kumpiga vijembe Tundu Lissu na Muungano. Au mimi ndio sielewi? Lissu anahusiana nini na Bajeti Kuu ya Serikali? ==== Pia soma: - Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha...
  2. Idugunde

    Pre GE2025 Rais Samia apishe 2025 Philip Mpango agombee urais, Makonda awe Makamu wa Rais

    Kila mtu atakubaliana na mimi kuwa nipo sahihi na mzalendo wa kweli. Pesa za umma zinapotea hovyo, nidhamu serikalini imepotea. Deni la taifa linapaa kama Kunguru. Mama apishe 2025 yakae majembe yatakayorudisha nidhamu ya kizalendo. Nawakilisha Mimi Idu wa Igunga.
  3. Intelligence Justice

    Unaddressed grievances of Tanzanians could lead to unrest

    Reputable JF Members The trend of political heat in TZ is unwelcome towards the forthcoming duo election contests, from grassroots to the think tank cerebrum tube, referencing the current exchange of words between the rulers, potential dominion seekers, and normal citizens. Dominion Seekers'...
  4. G

    Pre GE2025 Kwa Rais Samia kujifanya "Chura kiziwi" ni dharau kwa watanzania. Kwani yupo Ikulu kwa maslahi ya akina nani?

    Rais Samia amekiri kusikia kelele na matusi ya watanzania juu ya sera zake na uongozi wake. Lakini amesema ameamua kujifanya kuwa kama "chura kiziwi" mpaka dhamira yake na lengo lake la litakapotimia. Katika kauli yake hii nabaini mambo 2:- 1. Ni ule ugonjwa walionao viongozi wengi wa Afrika...
  5. Lady Whistledown

    Pre GE2025 Chalamila amerudia tena: Kama una miaka 40 na huna hela usimlaumu Rais

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema Watu wenye umri wa miaka 40 au zaidi na hawana hela hawapaswi kumlaumu Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwakuwa Watu hao wamezaliwa wakati Mwl. Nyerere akiwa madarakani na vimepita vipindi vingi hivyo hawapaswi kumlaumu Rais...
  6. Cute Wife

    Pre GE2025 CCM na Serikali tuambieni ukweli, kelele za kutaka X(Twitter) ifungiwe ni maandalizi ya kuzima mitandao kipindi cha uchaguzi

    Wakuu, CCM hivi hamuoni vibaya? Mpaka sasa Club House haipatikani halafu tena hao kunyanyua midomo eti mnataka kufungua X(Twitter) kwa kisingizio eti inahamasisha maudhui ya Ushoga! Huu ni mtandao pekee ambako kuna maudhui ya ngono nchini? Kuna Instagram, Tiktok, Facebook, huku hakuna...
  7. Nyendo

    Pre GE2025 Rais Samia: Mnashuhudia matusi ninayotukanwa lakini sijibu najigeuza chura

    Na mimi kazi mliyonipa nasimama na ninaifanya na mnashuhudia matusi ninayotukanwa mpuuzi, hana maana, huyu Bibi ana hivi, mambo tele lakini najigeuza chura. Kwahiyo nyingi zinapigwa kelele wakiona haujibu sasa tulitukane litajibu ama halijibu, sijibu nageuza chura masikio sisikii kabisa...
  8. Nyendo

    Pre GE2025 Wanasiasa na mbinu ya kuweka TV kwenye mikusanyiko ili kuhadaa wapiga kura

    Miaka ya nyuma kidogo Mkoani Tabora kuna Mwanasiasa aliyekuwa akigombea Ubunge aliwahi kufunga TV kubwa Pale soko maarufu kwa jina la Soko kuu. Aliifunga wakati wa kuelekea kampeni za uchaguzi akalipia na king'amuzi watu wakawa wanatazama mechi bure ikiwemo na kulipia kahawa na kashata watu...
  9. J

    Pre GE2025 Tundu Lissu endelea kugawa Ulichonacho (Elimu ya Katiba) na uache kulalamika juu ya vinavyotolewa na wengine

    Maandiko yanasema Wana wa ngurumo Petro, Yakobo na Yohana hawakuwa na Fedha bali walichokuwa nacho ni "Kumpa yule Mlemavu wa Miguu Kutembea". Yule mlemavu alikaa pale akiamini Fedha (Madera na tukutuku) ndio uponyaji wake lakini Wana wa Ngurumo wakampa Kutembea (Elimu) naye akasimama na kwenda...
  10. OKW BOBAN SUNZU

    Pre GE2025 Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu

    ...tunaendelea Ingekuwa hoja kama tusingemsema Magufuli kwa mfano, kuna mtu alimsema Magufuli kama mie? Kuna mtu alimsema Kikwete kama sisi? Mpaka Mkapa, mie kesi yangu ya kwanza ni ya Mkapa mambo ya madini mwaka 2002 miaka 22 iliyopita, na za Kikwete ngapi sijui za Magufuli ndiyo usiseme...
  11. Cute Wife

    Pre GE2025 Mbunge Festo Sanga akimuonesha fundi ujuzi wake wa kupangilia tofali wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa Kituo cha Afya Makete

    Wakuu, Naendelea kuwaletea vibweka vya viongozi wetu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Yaani ni mwendo wa maigizo tu utafikiri sasa hivi serikali ipo kwenye igizo la Mbio za Ubunge 2025 Azam Tv :KEKLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh: Kwahiyo lengo la picha hii nini? Kutuonesha umefika kukagua au una...
  12. Cute Wife

    Pre GE2025 Bashungwa akiwa kilabuni na baadhi ya wananchi jimboni kwake wakimpigia chapuo Rais Samia pamoja na yeye kuchaguliwa tena 2025

    Wakuu na nyuki wa mama, Kweli tutaona mengi kabla ya uchaguzi 2025. Mkiwa mnawapa script hawa hata mfanye kuedit basi ili ziendane nao. Wananchi wanaongea unaona kabisa kasukua huyoo anatapika! Mngekuwa mnafanya kazi kweli na kuwajibika wala msingekuwa mnatumia nguvu kiasi hiki. Wananchi...
  13. Cute Wife

    Pre GE2025 Mbunge agalagala kwenye mchanga akimuombea Kura Rais Samia

    Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Geita, Rose Busiga amegaragara chini wakati akimuombea kura Rais Samia Suluhu Hassan na Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha Bufanka kilichopo wilayani Bukombe. Akiomba kura hizo kwa lugha ya Kisukuma, mbunge huyo amesema...
  14. Cute Wife

    Club House imeachiliwa baada ya kuzuiwa kwa muda mrefu? CCM na michezo ya kitoto kuhadaa umma kuelekea uchaguzi 2025!

    Wakuu, Baada ya kuona uzi hapa wa mdau kuuza move ya site za ngono kufunguliwa nikaenda kuangalia kama Club House imeachiliwa pia, maana ilikuwa kundi moja ya sites/apps zilizozuiwa na serikali kuminya uhuru wetu wa kuwasiliana na kupata taarifa. Nilipojaribu kufungua ulikubali, ila nilitoka...
  15. K

    Pre GE2025 Leo 8/6/2024 asubuhi Mjumbe wa Nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM

    Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao. Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni...
  16. sonofobia

    Pre GE2025 Lissu: Aliyeshika chupa ya damu nikipelekwa Nairobi ni Msigwa (sio Mbowe)

    Kamanda Tundu Lissu amekanusha madai yaliyotolewa hapo nyuma kidogo na Lema kwamba Mbowe ndio aliyeshika chupa ya damu wakati akipelekwa Nairobi kwa matibabu. Amesema aliyeshika chupa ya damu aliyokuwa akiongezewa ni Mchungaji Peter Msigwa mwanasiasa nguli asiyeogopa hila na figisu. Wataalam...
  17. chiembe

    Pre GE2025 Vifaranga waanza kujikusanya katika mbawa za mama yao: Mchungaji Peter Msigwa ajiunga na ziara za Tundu Lissu

    Nimeona Mchungaji Msigwa amejiunga katika ziara ya Tundu Lissu. Wakati Msigwa akigombea, Lissu alipita Iringa na akatoa neno kama la kumtetea Msigwa alipokuwa akipambana na kampeni konki za Sugu. Msigwa naye, baada ya kuchapwa akachapika, na yeye karudia kauli za baba yake kisiasa, Tundu...
  18. Suley2019

    Pre GE2025 RC Chalamila: Kama una miaka 40 na hauna pesa usimlaumu Rais Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewashangaa wenye umri zaidi ya miaka 40 wanaolalamika kukosa pesa na kutoa lawama kwa Rais Samia. Chalamila amesema: “Kama una umri kama wa kwangu na bado hujawa na hela huna haja ya kutenda dhambi ya kumlaumu Rais aliyeingia miaka mitatu...
  19. R

    Pre GE2025 Je, umeziona na kuzisoma Kanuni mpya za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

    Nimejiuuliza zilipo kanuni za kusimamia uchaguzi wa serikali za mtaa. Nimezisaka mitandaoni na kwenye gazeti la serikali zijaziona. Lakini Mzee Lipumba na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi wanasema kanuni zipo tayari. Mwana CCM mwenzangu umeziona kanuni hizi mpya za uchaguzi? Nani amezitunga? Je...
  20. Ujinga mtupu

    Pre GE2025 2025 Mbunge gani Hautamani arudi bungeni na sababu ni ipi?

    Habari . Ebu tuambie Mbunge yupi unatamani asirudi bungeni na utaje sababu? Gwajima Hakuna alichofanya kawe. Babu tale siasa 2020 ilimbeba sasa ni muda wa kusimamia majukumu ya kimziki. Ummy Mwaimu upepo wa Corona ulimwendea vizuri ni muda wa kupumzika sasa. Karibu tujifunze kitu.
Back
Top Bottom