Wakuu salaam,
Kwa uelewa wangu kampeni huanza rasmi kwenye tarehe inayotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi, na hii huwa ni kwenye mwaka wa uchaguzi kwa ngazi ya Wabunge.
Lakini pia baada ya mbunge kuchaguliwa, wewe unakuwa mbunge wa wananchi wote, kama unahutubia wananchi inamaanisha...
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa jana alikuwepo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijiji Dar es Salam wakati akizindua sare maalum (uniform) na mfumo wa kidijitali (kanzidata) wa Madereva bodaboda na Bajaji wa Jiji la Dar es salaam.
Sare hizi zina picha ya Rais Samia kama zinavyooneka...
Nimeshangazwa sana na Zitto kutoa tamko la kuwa Rais atagharamia matibabu ya Sativa, swali ni je Zitto amekuwa lini msemaji wa Ikulu? Pia ametuandikia kuwa mazingira yanaenda kuwa sawa, taarifa zote alizotoa kuonesha kuwa yeye anamsemea Rais. Hii ni mara ya pili Zitto anajaribu kujionesha kuwa...
Mwenyekiti Wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mbowe amekerwa na kitendo cha baadhi ya makada huko Tanga kutaka kuzuia mkutano usifanyike katika uwanja uliopangwa.
Ktk video clip hii hapa chini inaonesha Mh Mbowe akiwatolea uvivu baadhi ya viongozi wanaodhaniwa kuwa wa serikali...
Kwa mara ya Kwanza ninashuhudia Wakazi wa Tanga wakidhamiria kabisa sasa kuiondoa ccm madarakani, sijawahi kuona hamasa kama hii tangu niijue Tanga.
Taarifa Zinaeleza kwamba kumbe hata hii Mikutano ambayo inahutubiwa na Mbowe wanairatibu Wanatanga wenyewe na wanaandaa kila kitu!
Huu ni Mkutano...
Huwa vina kutana na hali ya kushangaza sana, ngumu na tofauti kabisa na majivuno, majigambo na ujasiri wa mitandaoni..
Field huwa vinakuwa vidogo zaidi ya piritoni, dhaifu sana, vimenyong'onyea mno, havina watu wala hamasa hata kidogo. Wao hushangaa wananchi na wananchi huwashangaa wao...
Nimeyafakari waliokwisha hama kutoka Chadema kwenda CCM ndiyo wanaoifanya CCM iishi na kushamiri kuipiga Chadema Nguvu kazi yote inatoka Chadema.
Kwa hali hii Chadema ni mradi wa CCM. Nimehesabu wakafika watu 80 waliohamia CCM kutoka chadema baadhi ni wakuu wa wilaya,Mawaziri na viongozi wa...
Nafasi ya Mwenyekiti kwamba inaitwa Mwenyekiti wa maisha hata makamu anachagua yeye yale mnayoyaona ni kiini macho kuwa kuna DEMOKRASIA.
Na kwamba ni kijana wa CCM, yale makelele mkiona anaanza ujue asali inakuwa haijamfikia, akishalamba analala usingizi wa pono.
Pia soma: Aliyekuwa...
Msigwa hakuwa mwanachama wa kawaida Chadema, alikuwa kiongozi mwandamizi mwenye dhamana ya kusimamia makamanda na wanachama wa Chadema kanda ya Nyasa, na alikuwa pia mjumbe wa kamati kuu Chadema Taifa.
Anajua na kufahamu mambo na vitu vingi sana ndani ya chadema. Anajua vema nia, uwezo, malengo...
chadema
hali
kuelekeauchaguzi2025
kuhama chadema
kukata
kukata tamaa
kuondoka
matukio ya siasa tanzania
mchungaji msigwa
mwingine
peter msigwa
siasa tanzania
tamaa
Chadema ikiongozwa na Freeman Mbowe imeingia Kwa Msisi, eneo ambalo viongozi wa ccm wanaogopa kwenda kutokana na dhuluma walizowafanyia wananchi wa huko kwa muda mrefu (wanaogopa kulogwa)
Chadema imefika na kupokelewa na Wananchi kwa shangwe kuu, jambo lililomfanya Mkuu wa Wilaya hiyo Bwana...
Mchungaji Peter Msigwa amejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na amepokelewa kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM NEC kinachoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Daktari Samia Suluhu Hassan
Pia soma: Mch. Msigwa: Nikihamia CCM, wananchi chomeni moto nyumba na magari yangu
Alizaliwa Juni 8...
Yani kuweka Sura ya Rais kwenye miili ya VIJANA waliochoka namna hii nayo nikumkosea na kumchoresha Rais.🤣🤣
Unasema Rais anaupiga mwingi halafu wananchi wake ndio wamepauka hivi!
Wangekua wanawapiga misosi na kuwanunulia VIATU na Suruali waendane na sifa anazopewa Rais aisee 🤣 sio kuwavisha...
Usitishike wala kufeel vibaya Watanzania tunaopinga maovu na upigaji tupo nyuma yako. Yale 1995 ya marehemu Agustine Mrema huenda yakajirudia 2025. Wewe komaa usitishwe na Mafisadi. Hii nchi ni ya Watanzania.
Wakuu salam,
Kama utakuwa mtembeleaji wa mtandao wa X utakuwa umeona hili.
Accout ya TCRA imeondolewa X, na pia TCRA imeondoa X kwenye list ya matandao ambayo wanapatika!
Je, nini kimetokea? Anko Elon atakuwa amewatimua baada ya sekeseke la kutaka kutufungia X? Au sababu wamegoma kuruhusu...
Bunge la Jamhuri ya Muungano limekuwa sawa na Pango la Wanyanganyi na ni hatari kwa Usalama wa taifa na amani yetu.
Leo tarehe 24/06/2024 Bunge limekaa kikao kujadili kinachoitwa Utovu wa nidhamu wa mbunge aliyehoji Kampuni isiyoweza kukopesheka hata mkopo wa million 5 kupewa kibali cha kuagiza...
Ni Hadithi ya Nguo Mpya za Mfalme, ni hadithi ya Kidenmarki iliyoandikwa na Hans Christian Andersen, iliyochapishwa mwaka wa 1837. Lakini inaakisi maisha yetu waafrika wasasa, kama una D mbili hutatumia nguvu nyingi kujua nini funzo lake kwenye Taifa hili.
Hadithi:
Zamani za kale, kulikuwa na...
Salaam Wakuu,
Tulia amekuwa akiwatunuku followers wake mara kadhaa kwa kuwatumia mialama mara kadhaa, na mara zote amekuwa akiweka copy ya miamala hiyo kuonesha kuwa wahusika wamepokea.
Siku zote hizo amekuwa akiedit text hizo na kuondoa kisehemu kinachoonesha makato ya ada na tozo ya...
bunge
kuelekeauchaguzi2025
matukio ya siasa tanzania
siasa tanzania
spika wa bunge
tozo kwa spika wa bunge
tozo kwa viongozi
tozo kwa watanzania
tozo miamala ya spika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.