kuelekea uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Pre GE2025 Maelfu wahudhuria mkutano wa Joseph Mbilinyi (Sugu) Mbeya leo Julai 10, 2024

    Alama za Nyakati ni taarifa za Maono ya Mambo yanayokuja, kuna kila dalili kwamba Joseph Mbilinyi anaandaliwa Jambo kubwa zaidi na Mungu Huyu kwa sasa ni Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, ni Mwanasiasa ambaye hahitaji mambo mengi ili kufanikisha jambo lake, hana haja ya Matarumbeta, Mang'oma au...
  2. instanbul

    Pre GE2025 Nitawashangaa CCM mkiruhusu Serikali hii iendelee mpaka 2030. Hata 30% ya ilani 2020-2025 haijatekelezwa!

    Habari zenu. Mimi sio mwanasiasa lakini leo kama mtanzania mpenda maendeleo nilidownload ilani ya CCM 2020-2025. Ili walau nipate hope na serikali ya Sasa na kama kweli wanatimiza walichoahidi mwaka 2020 kuelekea 2025. Aisee nimesikitika sana. Kwa hali hii hatuendi popote kama nchi...
  3. Erythrocyte

    Pre GE2025 Kilimanjaro: CHADEMA yaingia Himo, yapokelewa kwa kishindo

    Akizungumza kwenye mkutano huo, Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe amewashukuru wakazi wa Himo kwa kuikataa ccm kwa miaka yote. Ametoa pole kwa wananchi hao kwa kuongozwa na mamluki ambao hawakuwachagua Hali ilikuwa hivi
  4. Bila bila

    Pre GE2025 Acheni kutumia watoto bure kwa faida zenu za kisiasa

    Biashara yoyote inafanywa kutafuta faida. Na mnaofanya hizi sinema za kubebesha watoto mabango ya Samia mnatafuta kuonekana kwake kwamba mnampigania ili awateue. Lakini watoto hawa Malaika wa Mungu wasiojua kitu wanapata nini wakati hata kandambili miguuni hamuwanunulii? Mnatumia vibaya...
  5. Subira the princess

    Pre GE2025 CCM wamepita mitaani kuandikisha wapiga kura, je ni haki yao kikatiba?

    Wasaam, Leo nilikua mitaa ya Vingunguti nilienda salamia jamaa zangu nikashangazwa na viongozi wa CCM kupita nyumba hadi nyumba kuandikisha wapiga kura kwa kuwapa ahadi za kuja kuwagawia pesa na mikopo mbalimbali wakati uchaguzi ukiwadia. Kiukweli hii ni rushwa ya kisiasa kama sio kampeni...
  6. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Mbunge Condester Sichalwe Anunua "Division One" kwa 100,000 na Alama "A" kwa 10,000

    Mbunge wa Jimbo la Momba, Condester Sichalwe (Mundy) ameendeleza kampeni yake ya kutembelea shule mbalimbali za Sekondari zilizopo ndani ya Halmashauri ya Momba kwaajili ya kunadi sera yake ya kununua Division one na alama ya “A” kwa masomo ya Sayansi na Sanaa kwa kidato cha pili na cha Nne...
  7. Tlaatlaah

    What are your opinions concerning this Presidential hopefully?

    Can Prof. Ibrahim Haruna Lipumba, the chairman of Civic United Front (CUF) party, be the most Potential Presidential Candidate come 2025? Should Tanzanian oppositions, support and assemble behind him as far as general elections is concerned?🐒
  8. B

    Pre GE2025 Catherine Ruge: Rais Samia anahofia mageuzi yataiondoa CCM Madarakani

    8 July 2024 ‘Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) - 'Samia Anahofia Mageuzi Yataiondoa CCM Madarakani’ Catherine Ruge, Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), amesema kwamba sababu kubwa ya kufeli kwa mchakato wa kuleta mageuzi ya kisiasa nchini, kama vile...
  9. Erythrocyte

    Pre GE2025 Sirari: Mabaki ya CCM yaondolewa Rasm mitaani, John Heche aongoza usafi

    Tumeishasema tangu awali humu JF na kwingineko kwamba, kwamba tayari ccm ishateketezwa Tarime, hili hakuna anayepinga, Sasa hivi kinachofanyika ni kukusanya mabaki na kuyapiga kiberiti. Hapa ni Sirari leo hii kwenye kampeni kabambe ya kuhamasisha watu kujiandikisha kwenye Daftari la Uchaguzi...
  10. Mganguzi

    Pre GE2025 Nikweli kwamba nchi hii wasanii wote ni CCM? Ni kweli kwamba Simba Yanga na Azam ni CCM? Au wanaenda kwa sababu ya njaa ya mkate? Hii ni ajabu

    Pale uwanja wa taifa palikuwa na vihoja vikubwa sana. Utitiri wa wasanii wa tasnia zote wakiimba CCM ni mbele kwa mbele! Wameenda kwa mapenzi ama ni nguvu ya bahasha? Iweje Kila msanii awe CCM? Ni wasanii wangapi wanaunga mkono upinzani na wanaweza kujitokeza hadharani na kuungana na team ya...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    Pre GE2025 Msaidizi wa Wa Halima Mdee Ahamia CCM. ASkofu Ngwajima na Amos Makala wamkaribisha

    https://www.youtube.com/watch?v=Uj1SB3vHgBU&ab_channel=GlobalTVOnline
  12. Idugunde

    Pre GE2025 Mbowe: Nitajiuzulu siasa 2025 endapo CCM itashinda angalau kiti kimoja tu cha jimbo mkoani Kilimanjaro

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe ametangaza kujiuzulu kufanya siasa endapo Chama cha Mapinduzi (CCM) kitashinda angalau kiti kimoja tu cha jimbo ndani ya mkoa wa Kilimanjaro wenye majimbo tisa (9) ya uchaguzi. Mbowe ametangaza ahadi hiyo Julai...
  13. Erythrocyte

    Pre GE2025 Siri ya CHADEMA kukubalika Tanga yatajwa

    Inaelezwa kwamba kwa sasa Chadema ndio Chama ambacho kinazungumzwa Tanga nzima, Wakazi karibu wote wa Mkoa huo wameamua kuachana na vyama vingine vyote na kuunga mkono Chadema, Ajabu kabisa! Bali wachambuzi wa siasa wanadai kwamba sababu kuu ya jambo hili kutokea ghafla ni hoja zinazohubiriwa...
  14. J

    Pre GE2025 Nini kitatokea ikiwa chama kimojawapo cha Upinzani kitakuwa na fedha za kampeni sawa na walizonazo CCM?

    Sijui kama wachambuzi wa siasa na chaguzi zetu wameangazia vya kutosha suala la FEDHA na RASILIMALI wanazokuwa nazo CCM wakati wa kampeni. Vyama vya Upinzani siku zote vimekuwa vikifanya kampeni kwa kuunga-unga na kuzidiwa kwa kiwango kikubwa na CCM. Sasa sijui mazingira hayo yanachangia kwa...
  15. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Vijana mnaokusudia kutangaza nia uchaguzi mkuu ujao, punguzeni mchecheto, papara na pupa majimboni kwa wenyewe

    Friends, ladies and gentlemen, ndugu zangu wakusudia kutangaza nia uchaguzi mkuu ujao. Njooni taratibu, njoni pole pole. Pupa si kitu kizuri sana. Vyama vyenu vinawatazama, viongozi wenu na wanachama wenu wanawapima kwa nidhamu, heshma na uadilifu mnao uonyesha. Kumbukeni bado kuna viongozi wa...
  16. Erythrocyte

    Pre GE2025 Korogwe: Sasa ni Rasmi CCM yafutwa Mkoa wa Tanga

    Ile laana ya kuwaona watu wa Tanga kama mtaji wa kibwege wa ccm hatimaye imemalizika rasmi baada ya Mungu kuingilia kati, kuanzia sasa hakuna Mtu yeyote mwenye akili timamu anayeweza kuthubutu kusema Tanga ni Ngome ya CCM, Labda awe mwehu. Tathmini iliyofanywa na Mtandao huru wa Erythrocyte.com...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    Pre GE2025 Freeman Mbowe: Tunazungumza na Watanzania wote wa Maramba Tanga na sio CCM pekee

    BALAA! TAMKO LA CHADEMA LIMETIKISA VICHWA CCM MBOWE ALIPUKA NA WAKE LEO
  18. Jumanne Mwita

    Pre GE2025 Hii imewezekanaje? Mwalimu aonekana anawafundisha Wanafunzi itikadi za chama

    Mwalimu mmoja ameonekana akifundisha watoto kuimba na kuwatamsisha maneno ya kiitikadi ndani ya darasa Hapa tumefikaje kama taifa ndio tunajenga kizazi gani hiki? Kama ndio haya yanaendelea basi kizazi kitakachokuja kuwa hovyo kuzidi sisi ni hiki na kingine kitakachokuja nyuma ya hiki.
  19. J

    Pre GE2025 Nini sababu ya Ushiriki mdogo wa Vijana katika Uchaguzi Tanzania?

    Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Uchaguzi ikiwemo Kugombea Nafasi mbalimbali na Kupiga Kura ni hatua muhimu za Kidemokrasia na huchangia kuleta Mabadiliko ya Mifumo ya Utawala Je, huwa unashiriki katika Michakato hiyo? Kama haushiriki ni kwasababu gani? Kwa maoni zaidi, shiriki katika...
  20. OKW BOBAN SUNZU

    Pre GE2025 Muda wa bodaboda kutumika umefika; Mohamed Mchengerwa aagiza wasisumbuliwe

    Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya nchini kuacha mara moja kamatakamata ya bodaboda isiyo na tija akisema Maaafisa usafirishaji (bodaboda) na Maafisa wa Serikali wanapaswa kufanya kazi kwa ushirikiano katika Mikoa na Wilaya ili kwa pamoja washiriki...
Back
Top Bottom