Viongozi wa Tanzania wana kalba ya kutamka maneno ya kuudhi na kutweza wananchi,
Huyo alietamka hivyo sijui alikua kalewa au kavimbiwa, yaani eti kiongozi unajisifu Kwa kuiba kura dunia ya leo?
Maana yake huyu mkimdai katiba mpya kamwe hawezi kuwapa ushirikiano na tafanya kila awezalo kuizui...
Hii yaweza kuwa rekodi ya Dunia ya mikutano hafifu ya hadhara iliyotia aibu ya Mahudhurio, Haijulikani Mbunge kama Huyu alipataje watu wa kumchagua.
Akihutubia mkutano huo duni, huku akitetemeka, Mh Saashisha Mafuwe amewaomba wananchi kuendelea kuingua mkono ccm huku akimshutumu Mbowe kwa...
Nape na makamba kurudi CCM kuchukua Nafasi za uenes na ukatibu.
Baada ya Tenguzi katika nafasi zao za Uwaziri January Makamba na mwenzake Nape watapangiwa majukumu katika Chama kutokana na uzoefu wao katika kazi hasa nyakati za uchaguzi mkuu.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa, kwa mujibu wa takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 jumla ya wapiga kura wapya 5,586,433 wataandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Ameongeza kuwa, wapiga kura hao ni ambao watakuwa wametimiza umri wa miaka 18 katika kipindi cha...
Huo ndio ukweli Chadema haina Uwezo wa kusimamisha Wagombea Ubunge Majimbo yote achilia mbali kuweka Mawakala
Fikiria Majimbo kibao Wabunge wa CCM wanapita bila kupingwa maana yake kulikuwa hakuna washindani
Nini kifanyike?
Chadema ishushe Ruzuku hadi majimboni Ili kuhamasisha Wapiga kura...
Tatizo la wapinzani huwa kama kondoo wenye kujipeleka kwenye kundi la simba kuliwa au mbwa kujipeleka kwenye mdomo wa chatu bila kujitetea.
Acheni kulalamika tu mna mbinu gani za kufuatilia na kuzuia msiibiwe kura. Msisubiri hisani ya CCM eti wawape ushindi kwenye sahani. haiwezekani.
Wakeup men
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa mapokezi makubwa, mazito na ya heshima aliyoyapata na kupewa Rais Samia alipokanyaga ardhi ya Mkoa wa Songwe kwa hakika nawashauri CHADEMA wasijaribu wala kusubutu kusimamisha Mgombea Urais uchaguzi ujao maana wakijaribu na kupuuzia ushauri huu watakwenda kuvuna aibu...
Hapa Africa nimeshuhudia Marais wengi ila huyu nahisi anapendwa zaidi ya wengine wengi.
Hakika, Sijawahi kuona Rais anagawa Love bites kwa raia wake kama hivi,
"Rais Samia, People do love You Mama"
Ukweli ufichwi mtaficha nyie hapa JF ila kumbuka hupo sehemu hata jf uwezi kuwepo.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Nape asilaumiwe, hata Rais Samia aliwahi kunena kauli inayoendana na yake
Hakika Msigwa, naamini unafuatilia mitandao ya kijamii ili kujua mambo yanavyoendelea duniani. Nimeona na kusikia Nape akielezea mambo yanayofanywa na chama chako pendwa, CCM. Najua kwamba Roho wa Mungu bado haujatoka kabisa moyoni mwako, huenda bado masalia ya hofu ya Mungu yapo.
Swali langu...
Walimu wamekua waaminifu Kwa serikali awamu zote,kila mwaka impact yake inaonekana Kwa matokeo mazuri yanayowabeba wanasiasa majukwaani kisiasa hasa Rais na waziri wa elim,Motisha ya kuwapeleka Dubai ni kebehi na dhihaka Kwa mwalimu kwasababu Haina tija kwa mwalim Wala motisha kwake.
Dkt...
Tunaandaana kisaikolojia tu 2025 hautakuwa mwepesi kwa Wagombea Ubunge wa CCM
Nakumbuka kwenye mazishi ya Laigwanani Lowassa CCM iliwakilishwa na Hussein Bashe na Rostam Aziz waliotokea Vatican kuonana na baba mtakatifu Papa Francisco anayeketi kitini pake Mtume Petro wa Kanisa Moja Takatifu La...
Dunia nzima ikiwa ni pamoja na viongozi kadhaa wastaafu wa Nchi hii, akiwemo Mzee Warioba na Kinana wanafahamu kwamba CCM haikushinda Uchaguzi wa 2020, Iwe kwenye Urais wala Ubunge na Udiwani kwa Tanganyika na Zanzibar. Huko Zanzibar 2020 ndio Mwaka unaotajwa kuongoza kwa Mauaji ya wapinzani wa...
Chadema mnakwama wapi? Naangalia Channel Ten, ni habari za CCM tu!
Tunakumbushana tu! Jamani publicity ni muhimu sana katika propaganda za Siasa.
Piga ua chadema mnahitaji TV na Radio.
Erythrocyte , rafiki tunakwama wapi?
Pia Soma
- CHADEMA anzisheni kituo cha television kabla ya uchaguzi...
Mbunge Damas Ndumbaro karudi jimboni kwake Songea leo kuwasalimia wananchi wake miaka mingi imepita tangu achaguliwe ubunge.
Mbunge huyu katoa zawadi, kaongozana na wataalam na watu wengine wengi tu muda alowakusanya haujulikani akiwa na msafara wa magari yasozidi 10!
Je, Mbunge huyu aweza...
1. Viongozi waliopo madarakani kujilimbikizia mali na kutumia mali za umma kwa ANASA.
2. Viongozi waliopo madarakani kutosikiliza na kuzifanyia kazi shida za wananchi(kuwachukulia wananchi kama WAJINGA)
3. Viongozi waliopo madarakani kuwalinda MAFISADI na MAJIZI na kuwakandamiza wanaowafichua...
Mbinu pekee ambayo CCM wanaweza kuitumia ili kushinda uchaguzi ni kumtumia Mtaalam wa kubadili matokeo Abdulrahman Kinana, kwenda kuiba kura, tena baada ya kuteketeza labda nusu ya Wakazi wake, bali kwa uchaguzi wowote ule, hata Msimamizi akiwa Jecha au Dkt. Mahera ccm haitoboi.
Tunajua...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewataka viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuepuka kutoa kauli au kufanya vitendo vyenye taswira inayoweza kutafsiriwa kuwa baadhi yao wanashabikia ukandamizaji wa haki za wananchi.
Katibu Mkuu Balozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.