kuelekea uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Pre GE2025 CCM Zanzibar wapendekeza Rais Mwinyi atawale kwa miaka 7, wasema kufanya uchaguzi 2025 ni hasara na matumizi mabaya ya fedha za umma

    Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar wamepitisha pendekezo la kuishauri Kamati Maalumu kuridhia kuongeza muda wa Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi kuongoza nchi katika muhula wake wa kwanza kwa kipindi cha miaka saba badala ya mitano. Hayo yamesemwa...
  2. Cute Wife

    Pre GE2025 Mwijaku anajikuta nani hasa? Ifike mahala tuanze gomea biashara za chawa wote, unfollow kwenye mambo yao yote!

    Kupitia ukurasa wake wa X Mwijaku ameweka picha ikionesha Polisi wa Kenya akiwa amenyooshea mtutu raia, ambapo ameandika; "Huu ndio ujinga nisio utaka, Hakuna alie shindana na serikali akafanikiwa. So jifunze kuheshimu mamlaka . Ndugi zangu wakenya fateni njia sahihi za kuishauri serikali yenu...
  3. CCM MKAMBARANI

    Pre GE2025 Mpina anatumia nafasi hii ili arudi kwenye uwanja wa siasa baada ya kupotea kwenye ramani

    Habari za wakati huu wanajamiiforum? Tumekuwa na mkanganyiko mkubwa wa kitaifa juu ya scandali ya sukari hapa nchini. Kinara ni mtu ambaye amekuwepo bungeni kwa miaka 19 sasa, je hajui uozo uliokuwepo wakati wa baba yake Magufuli? Jibu ni hapana,alikuwa anajua na alifaidika na mfumo. Mpina...
  4. Cute Wife

    UVCCM Mwanza: Hakuna anayefaa kuwa Rais Tanzania zaidi ya Rais Samia

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Mwanza kimesema kuwa hakuna mtanzania mwenye sifa za kuwa Rais wa Tanzania ndani na nje ya CCM zaidi Samia na kuwapuuza wale wote wanaotoa kauli za kutaka kukigombanisha chama hicho tawala na wananchi, asema CHADEMA hawana hoja zaidi ya...
  5. Erythrocyte

    Pre GE2025 CHADEMA Kufanya Mikutano 105 kwa siku 21 tu Kanda ya Kaskazini, Lissu na Mbowe kuongoza Mashambulizi

    Hii ndiyo Taarifa Mpya ya sasa kutoka kwa Viongozi wa Kanda hiyo Zaidi soma hapa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinatarajia kufanya mikutano 105 katika mikoa minne ya Kanda ya Kaskazini katika Operesheni yake ya kukijenga chama huku wakitarajia kutumia ndege ‘chopa’ katika...
  6. U

    Najitolea kuwa katika kamati inayomuunga Mkono Rais Samia kuelekea Uchaguzi

    Najitolea kwa moyo wangu wote bila shuruti kwenye kamati maalumu itakayoleta ushindi wa kishindo wa mgombea wetu Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi Mkuu 2025 Wadau hamjamboni nyote? Mimi ndugu na rafiki yenu Nimesukumwa na uzalendo, utii na mapenzi makubwa kwa nchi yangu Nimeridhishwa...
  7. Cute Wife

    Pre GE2025 Kwa kuangalia historia na matendo ya Mbunge wako unadhani 2025 anaweza kutoboa?

    Wakuu mko vyede? Uchaguzi Mkuu unakuja 2025, tumeshaanza kuona vimbwanga, ukifika mwaka wenyewe wa uchaguzi itakuwa balaa. Sasa hivi wabunge ndio wanakumbuka kurudi majimboni kwao, sasa hivi ndio wanapiga picha na watu wa hali ya chini, sasa hivi ndio wanajifanya wanajua sana kutetea haki za...
  8. N

    Pre GE2025 Tarime: Chanzo cha Mbunge Waitara kufurushwa Sirari

    Habari wakuu! Wiki iliyopita kulikuwa na Waitara Cup ambayo mdhamini wake ni Mwita Waitara. Mshindi wa kwanza alipewa milioni 5 na wa pili nasikia kama milioni 2. Sasa, siku ya fainali mshindi alikuwa ni Sirari au kata ya Sirari. Siku hiyo wakati wanarudi kwao, gari waliyokuwa wamepanda mshindi...
  9. peno hasegawa

    Pre GE2025 Majimbo yatakayochukuliwa na CHADEMA 2025 haya hapa!!

    Nimepitia siasa za nchi hii, nimeona majimbo yafuatayo yatacjukuliwa na chadema kwenye uchaguzi mkuu 2025. 1. Kisesa 2. Mbeya Mjini 3. Arusha mjini 4. Kongwa 5. Iringa mjini 6. Hai 7. Arusha mjini 8. Ikungi 9. Babati mjini 10. Arumeru 11. Dar yote 12. Moshi mjini 13. Mikumi 14. Simanjiro 15...
  10. J

    Pre GE2025 Neema Lugangira awa Mgeni Rasmi Baraza la Eid Al Adha Manispaa ya Bukoba

    Mbunge wa Viti Maalum mh Neema Lugangira amewashukuru Sana Waislamu wa Manispaa ya Bukoba kwa kumualika Kuwa Mgeni Rasmi Baraza la Eid Al Adha Neema amemshukuru Sana Mungu wa Mbinguni akisema alipopata Mwaliko alijitafakari kama Mkatoliki Je nitaweza?! Mungu wa mbinguni akamwezesha Ikumbukwe...
  11. figganigga

    Pre GE2025 Rais Samia, kwenye mabadiliko Madogo, Jumaa Aweso na Dorothy Gwajima tunaomba usiwaguse

    Salaam Wakuu, Nadhani mtakubaliana nami kwamba hawa ni miongoni mwa Mawaziri wanaofanya vizuri. Juma Aweso, Dorothy Gwajima na Dotto Biteko, ndo aina ya Mawaziri Tanzania inataka kuwaona. Waziri Dkt. Dorothy Gwajima Biteko kinachomkwambisha kazi ni nyingi. Anazidiwa. Napendekeza apewe...
  12. Bams

    Pre GE2025 Upuuzi kuifungia Twitter, kama tunachukia tabia chafu, tuifungie Serikali

    Nchi yetu imejaa watu wanafiki, ama wanaotafuta sifa za kijinga au wanaoishi kwa hadaa. Wanaotamka 1 lakini wanamaanisha 5. Hivi karibuni kumeibuka kelele za kinafiki toka kwa baadhi ya wanafiki kuwa mtandao wa X (zamani Twitter) ufungiwe eti unahamasisha ushoga. Ukiwauliza umehamasisha wapi...
  13. M

    Pre GE2025 Mbowe: Siwezi gombana na Lema, mama yake atanipigia Simu

    Kuna watu hapa hawasalimiani, Lema mpaka anakimbia anaogopa kugombea kanda, shughuli ya mitandaoni hiyo, katandikwa mtandaoni mwenyekiti wa kanda mwenye mamlaka ya kanda yake, kiongozi wenu, wako viongozi ambao ni wa kawaida kabisa wa majimbo, wa wilaya, wananchama wa kawaida wanaweza...
  14. J

    Pre GE2025 Ahmed Kombo aliyesema akitoka Yesu na Mtume Muhammad anayefuata ni Rais Samia awaomba Radhi Wakristo na Waislam!

    Mwanaharakati Ahmed Kombo amewaomba radhi Wakristo na Waislam kwa kauli aliyoitoa kuwa akitoka Yesu na Mtume Muhammad (SAW) anayefuata ni Rais Samia. Kombo amesema yeye ni Muislamu na anatambua kuwa Yesu Kristo na Mtume Muhammad (SAW) ni Manabii hivyo anaomba radhi. === Pia soma uzi huu...
  15. peno hasegawa

    Pre GE2025 Njaa ni mbaya sana: Mbunge amepitishwa, madiwani watasubiri taratibu za kiserikali!

    Madiwani Jimbo la Hai wameliwa vichwa na UVCCM, baada ya Mbunge wao kuwezesha UVCCM kupata posho kufanya kikao cha Baraza. Madiwani sasa katafuteni mbunge wenu mwingine, mliye naye amewapiga kona.
  16. RWANDES

    Pre GE2025 Rais Samia amechafuka kipindi cha majaribio. Je, tumpe tena mitano au asipewe fomu?

    Miaka ya majaribio madini na bahari mapori vyote vimeuzwa kwasasa Tanzania ina deni la trilioni 91 hii maana yake ni kwamba kwa Watanzania milion 60 kila mmoja anadaiwa Tsh 1,500,000/=. Kwanza hapo ulipo hiyo pesa unayo? Kwangu mimi naona chawa wapunguze mihemko mama ana kila sababu ya...
  17. Cute Wife

    Pre GE2025 Huu uchawa umezidi: Ahmed Kombo adai baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia

    Kwenye video hii Ahmed Kombo, mwanaharakati huru, anaelezea ukubwa wa Rais Samia na kumwaga sifa kedekede mpaka kufikia kusema baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia! Amenikumbusha bwana Kabudi aliyemuita Magufuli Mungu afu akazuga kama amekosea! Ndio tunaelekea huku na Rais Samia...
  18. M

    Pre GE2025 Kijana wewe ni Taifa la leo, kagombeeni nafasi katika chaguzi zinazokuja, muwe na nguvu ya maamuzi

    Umeelewa nini kwenye katuni hii? Kijana Mtanzania, badili mtazamo Tuwasihi vijana wetu wagombee nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa Serikali za Mtaa kuanzia mwaka huu na hatimaye wagombee uchaguzi mkuu mwakani. Vijana, kueni na uthubutu. Hapa tunawahitaji vijana wa vyama vyote vya...
  19. L

    Pre GE2025 Rais Samia aamsha shangwe baada ya kuwalipia tiketi abiria wote waliosafiri kwa treni ya kisasa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Daktari Samia Suluhu Hasssan ameibua shangwe na kuteka hisia za watanzania wengi sana, baada ya Rais wetu mpendwa kwa moyo wake wa upendo, huruma, ukarimu na unyenyekevu. kuamua kwa dhati ya Moyo wake na kwa pesa...
  20. Cute Wife

    Rasimu ya Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Mtaa na Wajumbe wa Kamati ya Mtaa Katika Mamlaka za Miji za Mwaka 2024

    Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Mtaa na Wajumbe wa Kamati ya Mtaa katika Mamlaka za Miji za Mwaka 2024. Pia soma: Je, umeziona na kuzisoma kanuni mpya za uchaguzi wa serikali za mitaa? Kanuni hizi zitatumika katika Mitaa yote iliyomo katika maeneo ya Mamlaka...
Back
Top Bottom