kuendelea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Mkude Simba SC imetosha, tafuta changamoto sehemu nyingine

    Amani iwe kwenu. Nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo wa viungo wakabaji wa timu ya Simba SC kwa muda mrefu sasa. Nimeona mabadiliko makubwa kwa Mzamiru Yasin na Sadio Kanoute, viwango vyao vinakua siku baada ya siku ila inapokuja kwa mchezaji Jonas Gerald Mkude suala hili limekuwa ni tofauti...
  2. K

    Soccer Academy kwa watoto kuanzia miaka 3 na kuendelea

    Habari wana Jamii Forums. Sisi ni Shining Sports Organization wamiliki wa Shining Sports Academy. Ni Academy ya michezo mbali mbali ila kwa sasa tumeanza na mchezo wa soka. Mazoezi yanafanyika viwanja vya Masaki Sports Park, Karume Road, Masaki. Tunafanya session za watoto kwa ratiba...
  3. K

    Soccer Academy kwa watoto kuanzia miaka 3 na kuendelea

    Habari wana Jamii Forum. Sisi ni Shining Sports Organization wamiliki wa Shining Sports Academy. Ni Academy ya michezo mbali mbali ila kwa sasa tumeanza na mchezo wa soka. Mazoezi yanafanyika viwanja vya Masaki Sports Park, Karume Road, Masaki. Tunafanya session za watoto kwa ratiba ifuatayo...
  4. J

    Tanzania na Misri wakubaliana juu ya kuendelea na mradi wa uchimbaji wa visima na mabwawa

    TANZANIA NA MISRI WAKUBALIANA JUU YA KUENDELEA NA MRADI WA UCHIMBAJI VISIMA NA MABWAWA Cairo-Misri Mapema Tarehe 16 October Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso alikutana na Waziri wa Maji nchi Misri Mhe Profesor Nabhan Sweilam Jijini Cairo na kuekeza timu alioambatana nayo kukutana haraka na...
  5. Allen Kilewella

    Chanzo cha kuendelea kwa Umasikini na Ujinga ni CCM

    Umaskini wetu ambao mahala kwingine umetopea, ujinga tulionao unaosababisha maradhi kwa watanzania wengi chanzo chake ni CCM. Siku CCM ikiondoka madarakani, Umaskini utapungua, ujinga utakuwa kwa watu wachache na maradhi yatadhibitiwa.
  6. Zanzibar-ASP

    HATARI: Zama za Wakatoliki kuendelea kutubu mbele ya Padri zimepitwa na wakati

    Zama za kiimani kwa Kanisa Katoliki zimebadilika, maisha ya waumini na Mapadri ndani ya Kanisa Katoliki yamebadilika, na mifumo ya kimaisha imebadilika. Sio siri tena, Kutubu mbele ya Padri kwa sasa kumekuwa sumu ya kuwaumiza waumini au kitendawili chenye kukosa majibu. Kiapo cha Upadri...
  7. NetMaster

    Moto unawaka, No fap Challenge (Kuzuia shahawa kutoka): Nimekaa siku 8 kujizuia kupizi napata wakati mgumu kuendelea, wengine mmeweza vipi ?

    Hii no fap challenge inahusu kujizuia kuzitoa shahawa kwa kufanya vitendo kwa mwili ama kutumia akili kuwaza, vitendo vinaweza kuwa kama sex au kujichua na akili ni pale unajenga mawazo ya kingono mwishowe unapizi, Shahawa ndipo nguvu za mwanaume zilipo kiroho, kiakili na kimwili, ukiona huwezi...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    Tanzania, je hatuoni aibu kuendelea kulilinda na kulienzi jina la mwizi wa rasilimali zetu?

    Tarehe 4 Januari 1917, vita ilikuwa imepamba moto. Majeshi wa Uingereza dhidi ya majeshi ya kijerumani katikati ya nchi ya Tanganyika eneo la mto Rufiji. Askari wa kingereza, jina lake Frederick, alikuwa amejificha mahali kukabiliana na askari wa kijerumani. Akachukua "darubini" kutazama ni...
  9. dennoo_appliances

    Computer4Sale Nauza home appliances (tv, refrigerator, music system na air conditioner)

    Karibuni
  10. May Day

    Kuendelea kwa haya matukio. Kanisa Mjitathmini.

    Kiukweli inatamausha sana kusikia haya matukio ya mara kwa mara yakijirudia ya unyanyaswaji Watoto na Watu ambao ilitarajiwa kuaminiwa na Jamii. Hainiingii akilini ni kwa vipi Taasisi yenye Wasomi kushindwa kuweka mifumo ya kudhibitiana wao kwa wao...hivi mnashindwa vipi kutambua Mwenendo wa...
  11. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Nchi yetu haiwezi kuendelea kama fedha NYINGI Sana zinawekezwa kwenye siasa kulipa MISHAHARA na posho kubwa kubwa!

    Nitaendelea kuuimba huu wimbo Hadi DOLA (the state) wausikie! Kama mishahara ya kufuru na maposho ya makubwa yataendelea kumwagwa kwenye siasa zetu tusahau MAENDELEO ya kweli KWA nchi yetu! Kama ma PhD holders na maprofesa wataacha kufanya tafiti zao na kukimbilia siasa Ili wapate MAPESA...
  12. B

    Kwa nini Zungu anaachwa kuendelea kuupotosha umma?

    Amesikika Zungu akiongelea masuala ya Internet: Zungu hana ufahamu wowote wa kuhusu Internet zaidi ya kuwa yeye ni mtumiaji kama mtu mwingine tu. Cha kushangaza ni kuwa ameachwa kuendelea na upotoshaji wake tena kwa raha zake. Wataalam, TCRA, wasomi, vyuo nk wapo ila wote kimya! Utadhani...
  13. L

    Rais Samia ni msikivu sana kwa Watanzania ndio maana anaendelea kupendwa na kukubalika kwake na Wananchi

    Ndugu Zangu huo ndio uhalisia wa mambo Wenyewe, Ukiona Namna Nchi ilivyo Tulia kwa Sasa na namna mh Rais Samia anavyoungwa mkono na Watanzania wa vyama vyote, Tambua ya kuwa ni sababu ya Tabia ya Rais Samia kuwa msikivu na kumsikiliza kila mtu mwenye dukuduku au kero au mawazo mbadala au...
  14. N

    Rais Samia kuhudhuria Uapisho wa Ruto ni kuendelea kudumisha Diplomasia

    Rais Samia Suluhu Hassan anaendelea kudumisha diplomasiano na mahusiano mazuri kati ya Tanzania na Kenya pia Rais Samia Suluhu amezungumza na Rais Mteule wa Kenya, William Ruto na wameafiki kukuza ushirikiano katika biashara, kilimo na usalama kwa manufaa ya nchi zote. Uuzaji wa bidhaa za...
  15. B

    Kuendelea na ukataji tozo bila muafaka ni dharau kwa wananchi

    Kumekuwa na miito ya kuwa tozo hizi za miamala na mabenki hazikubaliki. Kasikika Mwigulu akidai kilio wamekisikia. Wamesikika CCM nao wakidai tozo hizi ziangaliwe upya. Kwamba haya yakiendelea ninyi mnakata tozo kama vile hamna akili nzuri? Hii ni dharau kiasi gani kwetu? Au hadi mkutane nasi...
  16. L

    Umoja wa Afrika unaweza kuendelea kuitegemea China kujipatia maendeleo na ustawi

    Ni miaka 20 sasa imetimia tangu Umoja wa Afrika uanzishwe, lengo kuu likiwa ni kuhimiza mafungamano ya kisiasa, kiuchumi, kiusalama, kiutamaduni na hata kwenye mambo mbalimbali ya kijamii. Katika kipindi hicho, kuna mambo mengi yamepata mafanikio makubwa. Kwa mujibu wa takwimu za Benki ya...
  17. Suzy Elias

    Kwa hali inavyoendelea ni vigumu mno kwa Ujerumani kuendelea kuiwekea vikwazo Urusi

    Ujerumani ndiyo itakuwa nchi ya kwanza kuomba poo kwa Urusi kwa namna hali ya mfumuko wa bei unavyo hatarisha uchumi wa nchi yao. Kwa mfano kuanzia leo mabango yote ya matangazo yatawashwa mwisho saa nne za usiku huku gharama za nishati ya gesi na mafuta zikipanda maradufu hali inayopelekea...
  18. Gulio Tanzania

    Biashara inayoweza kukutoa ni ile inayokupa faida ya Tsh. 50,000 na kuendelea kwa siku

    Mpaka sasa nipo katika biashara kwa kipindi cha miaka mitano sasa nina uzoefu kiasi chake ila nilichojifunza cha kwanza elimu inahitaji Sana katika ufanyaji wa biashara. Kuna umuhimu mkubwa hata Serikali kuanzisha mitaala ili watu wapate elimu juu somo hili. Biashara nyingi bado nazoziona hasa...
  19. N

    Serikali kuendelea kununua magari ya kifahari 'V8' huku ikitegemea kukusanya tozo ni kukosa uwajibikaji

    Kama kichwa cha mada kinavyoeleza hili liko wazi ni kukosa uwajibikaji kwa wananchi. Kama hali imekuwa ngumu hadi kulazimika kuwakamua wananchi tozo hii ingeonekana pia kwa serikali kubana matumizi yasiyo na tija ikiwemo hii ya maafisa kutumia magari ya anasa ambayo yanatakiwa kugharamiwa na...
  20. East

    SoC02 Tujifunze Teknolojia kuanzia sasa na kuendelea

    Utangulizi Natumauni ni mzima wa afya, leo nitagusia baadhi ya kozi zinazohusiana na masuala ya teknolojia. Katika karne hii inakupasa ufahamu baadhi ya vitu ili uweze kuelewa tupo wapi na tunaelekea wapi. Pia kujifunza teknolojia itakusaidia kuelewa na kutatua matatizo madogo na hata makubwa...
Back
Top Bottom