Na ndio chanzo kikubwa cha biashara nyingi zilizofanikiwa kuanza kuyumba pale baba akifariki kila kitu kinaparanganyika.
Unakuta familia tayari inajiweza kiuchumi inaingiza makumi ama mamia ya mamilioni kila mwezi lakini wazazi wanawakomalia watoto kusoma tu na matuisheni utadhani sio familia...
Siwafundishi kuhusu siasa ila ni bora kama chama kilichokuwa na kinachoishilia katika ushawishi wake kwa wananchi! Iko haja viongozi wandamizi kuketi ili kupiga hesabu za chama kinapashwa kiwe na mwelekeo upi!
Ni ukweli kabisa na kila mwenye jicho la mwewe aliyeko Chadema! Hatazami akaona kama...
Anaandika, Robert Heriel
Sikuwa mshabiki wa Magufuli Kutokana na namna alivyokuwa anaongoza, sisemi Kuwa Magufuli hakuwa na mambo Mema aliyoyafanya, yapo mengi mazuri Sana hasa ya miundombinu, lakini pia yapo Mabaya ambayo aidha aliyafanya au kuyafumbia macho, ambayo ndio yalinifanya nimuone...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ameongoza zoezi la Upandaji miti katika Kijiji cha Ijoka, Kata ya Mpombo Halmashauri ya Busokelo ikiwa ni hatua muhimu ya kulinda vyanzo vya maji, kudumisha uoto wa asili, na kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.
Jumla ya miti 1000 imepandwa leo...
Salamu na kazi iendelee.
Kichwa Cha habari kinasomeka.
Kwa lugha ambayo sio pendwa ni wale wanafunzi waliofeli.Nikitaka kujua idadi yao nafanyaje wapendwa.
Msaada wandugu.Msije mkasema nina NGO ya kuwapeleka hapana mahitaji kujua tu.
Takwimu za 22/23 itakuwa vizuri.
Nawasilisha.
Utumikishwaji ni suala zito ambalo linaathiri nchi zilioendelea na zinazoendelea. Katika nchi zilizoendele utumikishwaji hutokea katika sekta mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kilimo na ujenzi. Ajira za lazima ni tatizo la kawaida katika nchi zinazoendelea, huku wanawake, watoto, na wazee...
Wengi huwa ni vijana wadogo tu wapo kwenye 20s hasa wahitimu wa degree na diploma.
ni tabaka tofauti na wauza simu wengine, wao hujitofautisha kwa kuuza simu zenye brand zinazotrend ulaya na marekani tu kama iphone, samsung na google pixel... Simu za kichina na vitochi hawauzi.
Simu hizo bei...
Kwa kawaida, toleo la simu za Galaxy A ambazo zinauza sana ni A5x. Lakini ripoti mpya zinaonyesha Galaxy A series zitaacha kuwa na toleo la A7x hivyo Galaxy A73 ndio simu ya mwisho kuwa na A7x.
Galaxy A74 ambayo ilitegemewa kutoka mwakani haitakwepo hivyo toleo la A Series litabaki na A54...
Miaka zaidi ya sitini, nchi bado hata haieleweki ni lini itaondokana na uchumi tegemezi licha ya kuwa na kila kitu.
Kitabu cha mwanzo kwa wasomaji wa Biblia, nyoka alitambulika kama nyoka tuu, lakini kitabu cha ufunuo, nyoka anatambulika kama JOKA kwa sababu moja tu, nyoka, hakushughurikiwa...
Hizi siasa huenda hata bado sijazijua vizuri.
Hawa wapinzani wanapigwa sana, wengine vilema, wengine wameponea kifo chupu chupu, wengine washauwawa, wengine wapo magerezani, wengine washateswa sana, hivi huwa hawaogopi wanapoona wenzao wanapitia hayo?
Salaam great thinkers.
Vurugu zimekuwa nyingi mno kwenye jukwaa au majukwaa.Minyukano mawe mkononi kulaumiana we unajua we hujui kitu maneno makali makali we mpumbavu tu hujui kitu mi ndo najua we hujatembea duniani ngumi mkononi mateke.
Kifupi ni vurugu tupu majukwaani mwisho wa siku...
Kwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa.
Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasababu mbalimbali.
Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu...
Dkt. Samia, Mwenyekiti wa CCM Taifa, wajumbe waliyopata kura tajwa hapo juu ni hazina nzuri na inayoweza kutumika chama na serikali yako.
Kundi hilo lisiachwe bure au lisirudi mitaani bure, ni watu ambao wanaweza kukitumikia chama na serikali yako.
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, watu...
Chama cha Demokrasia na Mandeleo (CHADEMA) kimesema kitaamua kama kiendelee mazungumzo na CCM au la ifikapo mwezi Desemba kwa kuwa mambo mengi wanayolalamikia hayatekelezwi.
Kauli ya CHADEMA imekuja wakati mazungumzo hayo yakiwa yametimiza miezi sita, huku kukiwa na usiri mkubwa wa...
Mahusiano ya kimataifa hususan baina ya majirani hayajengwi kwa chuki, majungu na visasi, hapakuwa na ulazima kuelekeza hasira zote zile kwa vifaranga ambavyo havikuwa na hatia yoyote.....
Hao vifaranga bora hata mngewapa sumu, lakini kutia viberiti vifaranga 6,400 wakiwa hai lazima utakuwa...
Kutokana na baadhi ya mashabiki na Watanzania kwa ujumla kushangazwa na muonekano wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnum, kwa mara ya kwanza amezungumzia kuhusu muonekano wa mwili wake akisema kuwa hata yeye haelewi sababu za kupungua.
Diamond Platnumz ameyasema hayo katika mtandao wa...
Si kila kitu cha kusifia, kwani kuupiga mwingi ndio matokeo mazuri, au ndio kupata ushindi?
Hata kwenye Football, unaweza uupigwe mwingi alafu ufungwe tu, yani unaupigwa mwingi alafu hupati matokeo!
Wanaopiga kauli yake ni wasaka tonge tu,
Kama ni mbunge wakonanakosoa bila maelezo sahihi ya Dr...
Tunajua ulitumia Pesa zako nyingi ulizonazo na kumpa ili azitumie kupata Kura nyingi na awe pandikizi lako ( kama mwana Yanga SC) ili umtumie Kuihujumu Simba SC yetu.
Tunajua Ahadi uliyompa ni kumpigia Chapuo kwa Mama Ili amteue Nafasi ya Ubunge au katika Sekta zingine za Ulaji na Kimaamuzi...
Darasa la nne wamemaliza mitihani hivi karibuni.
Na wote tunafahamu jinsi hizi shule za siku hizi zinavyochukulia mitihani kama vita maana kipindi chote cha mwaka watoto hawapumziki kisa mtihani wa taifa na hubebeshwa madaftari yote na vitabu juu.
Mbaya zaidi watoto walianza kutoka jioni saa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.