NAIBU WAZIRI KITANDULA - SERIKALI KUENDELEA KUDHIBITI MIMEA VAMIZI KATIKA MAENEO YA HIFADHI
Serikali imesema inaendelea na jitihada za kudhibiti mimea vamizi katika maeneo ya Hifadhi na Mapori ya Akiba kwa lengo la kurejesha uoto wa asili nchini ambao ni tegemeo kwa wanyamapori.
Hayo...
Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro,
Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka...
Serikali kuendelea kuhamasisha uwekezaji na uendelezaji wa viwanda Nchini-Mhe.Kigahe.
Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe Exaud Kigahe amesema kuwa Serikali inaendelea na juhudi za kuhamasisha uwekezaji wa viwanda vipya na uendelezaji wa viwanda vilivyopo katika Sekta ya Mifugo na...
Licha ya Makelele ya TEC na Chadema ila Msemaji wa Serikali bwana Msingwa amesema Serikali itaendelea na uwekezaji na DP World kama ilivyopangwa ila itazingatia maoni ya wadau.
=======
SERIKALI KUENDELEA NA MCHAKATO WA UWEKEZAJI BANDARI NA DP WORLD
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Kila hatua...
Hii ni maada kwajili ya wanaume ambao tayari wameanza kujipambania na wanajua hali ilivyo, wale ambao bado hamjaanza au mna shughuli zenu ila mnakaa kwa wazazi mpishe kidogo.
Wewe mwanaume ambae ni kichwa cha familia na unajua jinsi upambanaji ulivyo, umepambana kutafuta pesa ya chakula...
Awali ya yote wacha niweke wazi kuwa mimi sio muumini wa Presidential system ila ni mfuasi mkubwa wa Parliamentary system.
Kwa kweli kwa namna yoyote ile kama taifa tulikosea pakubwa wakati Nyerere anakabidhiwa nchi kwa kuhamisha mfumo wa Taifa kutoka mamlaka kwa bunge kwenda mamlaka yote...
Licha ya makelele yote haya kwa Wananchi, Mashinikizo ya Wanasiasa na sasa Matamko ya Viongozi wa Dini kupinga suala la Dubai kuwekeza kwenye Bandari zetu inaonesha kabisa Kuna watu wamelipwa fedha nyingi wameahidiwa mgawo mkubwa sana endapo jambo hili litaanza utekelezaji nchini including namba...
Kwa mara nyingine Tena, Mahakama ya Africa ya Haki za Binaadamu (African Union Court of Human and People's Rights) imetoa tamko juu ya adhabu ya kifo iliyopo kwenye sheria za makosa ya jinai ya Tanzania. Tamko hili limetolewa June 2023 wakati wakifanya mapitio ya kesi ya Bwana Thomas Mwingira...
Ndugu zangu watanzania,
Ni dhahiri kwa matendo ,mwenendo ,kauli na matamshi mbalimbali ambayo yamekuwa yakitolewa na kutoka katika kinywa na mdomo wa Dr Slaa Hastahili Kuendelea kuitwa Balozi,hastahili kuendelea kupewa heshima hiyo,hastahili kuendelea kutambulikana kwa jina hilo,hastahili...
Mjadala mkubwa ulipo mtaani sasa hivi ni kuhusu viongozi wetu kutamka kwenye majukwaa kwamba wanazunguka Duniani kutafuta pesa kwaajili yetu; wengi wanajiuliza hizo pesa tunazopewa huko nje zinatokana na nini? Kwamba wenzetu wafanyakazi kwa bidii kwa ajili ya kutupa fedha sisi? Je tunapopewa...
Mainjinia waliochora na kuujenga uwanja wa Ben Mkapa walijenga uwanja huo kwa uwezo wa kuchukua uwezo siyo tu wa idadi ya mashabiki wanaotajwa wa 60,000 lakini pia makadirio ya uzito fulani.
Ni kawaida kwenye mechi kubwa, mfano kama shughuli ya jana ya Simba Day kwa watu kuingizwa kuzidi idadi...
Madaktari Bingwa Dr. Eliasa Mkongo , Dr. Edwin Muhondezi. pamoja na Dr. Eric Muhumba (Surgeon) ambao ni Madaktari Bingwa wazawa Wakizungumzia Namna Uwekaji Puto Ndani Ya Tumbo unavtofanyika, watu gani wapaswa kuwekewa na Faida na Hasara Zake.
Mtu mmoja Mwajuma Mohamed mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa Veta Jijini Mbeya amenusurika kifo usiku wa kuamkia leo Julai 31 baada ya gari alilokuwa akiendesha aina ya Nissan Dualis kuteketea kwa moto katika eneo la Kabwe kata ya Iyela Jijini Mbeya
Afisa habari wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji...
Salaam....
Ni vijana wengi sana wamepanga lakini wanakaa vijistoo yaani wanashindwa kupanga vyumba vya hadhi yao au nyumba nzima.
Kwa mimi binafsi yangu napendekeza kijana atoke kukaa kwenye chumba kimoja kwani atachelewa sana kwenye mafanikio na fikira za kimaisha.
Wewe ni Graduate au...
Inasikitisha, kama si kuchekesha!.
Hivi kweli tuko serious kama TAIFA!? Ama kila kitu kinafanywa kwa mazoea?
TAIFA lenye watu zaidi ya watu mil 60, tunashindwa kitu kidogo kama hichi?
Hii ni aibu! Ama huu ni mradi endelevu wa mkubwa fulani!?
Mbona tunapiga sana kelele kuhusu mamlaka ya NIDA...
Hello wakuu.
Nyerere aliwahi kusema anashangaa wanyonge wanatengana wakati wenye nguvu wanaungana kumtawala mnyonge.
Umoja ni nguvu, Afrika haiwezi kujitawala tusipokuwa wamoja.
Huwa inaniuma sana kuona vijana kwa wazee wa kike kwa kiume wote wenye ngozi nyeusi wakitukanana, wakibaguana na...
Kwenye social media kwa kiwango kikubwa mijadala ni kuhusu mkataba wa bandari. Sasa najiuliza hizi kelele tunazopiga kwenye social media zitasaidia kweli?
Au tunajadili Ili kuriwadha mioyo yetu? Ikiwa tayari Tulia na rafiki zake wameshaafiki.
Juhudi za Mkoa wa Morogoro kuwakwamua wakulima wa karafuu kupata mnunuzi mwenye bei nzuri zimegonga mwamba baada ya kulazimishwa kuwa lazima karafuu inayozalishwa Morogoro basi iuzwe kwa SMZ ili wao wauze nje kwa bei kubwa zaidi.
Kwa wasiojua, Morogoro vijijini wanazalisha karafuu nyingi kuliko...
Mnamo mwaka wa 2019, DP World, mwendeshaji wa bandari inayomilikiwa na Dubai, chini ya uangalizi wa Sultan Bin Sulayem, kwa msaada kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Uchukuzi, Willem Goeimann alipanga mpango wa kupata udhibiti wa kituo kipya cha kontena cha Walvis Bay kilichojengwa cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.