kuendelea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC02 Tanzania haipaswi kuendelea kuitwa nchi Maskini

    Kwa ujumla, umaskini ni ile hali ya kukosa mahitaji muhimu kama chakula, maji, makazi, huduma za afya, na elimu.I'm Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ikishirikiana na Idara ya Kuondoa Umaskini ya Wizara ya Fedha na Mipango mwaka 2017 – 18 unaonyesha kuwa...
  2. Njia ya haraka sana ya kufa ukiwa mdogo ni kuendelea kufanya mambo haya

    Watu wanapoteza maisha, na kila siku tunawalilia. Hata hivyo tusichojua ni kwamba baadhi yao, hasa vijana, wanaweza kuwa wamechangia vifo vyao kabla ya wakati wao kwa kujihusisha na tabia fulani ambazo ni hatari kwa maisha yao ya kibinadamu. Baadhi yao hata hawatambui kwamba vitendo au tabia...
  3. N

    YANGA , MANARA NI WASHINDI, KUENDELEA NA KAZI YA USEMAJI KAMA P.R.O CONSULTANT

    Ifike wakati tuseme Yanga ni zawadi iliyoshushwa na Mungu kwa soka la nchi hii, kuna vi team vingine vijifunze jinsi ya kuendesha soka kwa weledi jamani Wapiga majungu mlichooonga sana eti leo hatakuwa MC si mmeona kashika mic kama MC wa kukodiwa wa kujitegemea? Yaani ulitarajia viongozi...
  4. Unafikiri ni nani anayekusababishia wewe kuendelea kuwa masikini?

    Inawezekana una ndoto nyingi sana, za kumiliki makampuni, viwanda, au biashara mbalimbali n.k. Lakini unajitahidi kupambana kila siku ili uweze kutimiza ndoto zako, lakini mambo yanakwama na kugonga ukuta. Wapo wanaosema kufanya kazi kwa bidii, kunaweza kukusababishia kutimiza ndoto zako. Na...
  5. B

    Kwa rushwa ilivyotamalaki, PCCB na wengine wa hivyo wana umuhimu gani kuendelea kuwapo?

    Nilileta uzi huu: Aibu! Boda ya Rusumo Mgeni haingii nchini bila rushwa Nimetembelea boda nyingine mkoani Kagera, kote ni mwendo mdundo! Watu wanakula kwa urefu wa kamba zao. Hata hivyo wapi au idara ipi yenye ahueni? Polisi? Wapelelezi, trafiki nk? Rushwa si ni sehemu ya malipo yao halali...
  6. Simu janja / Smartphone kuendelea kuwa saizi kubwa kiganjani kuzidi za zamani, hii ni kero kwangu tu au?

    Smartphone kibao siku hizi zimekua kubwa sana aisee, hasa hizi za line mbili ambazo kibongobongo ni wengi tunatumia line za ziada. Nakumbuka zamani simu kibao zilikuwa zinakaa kiganjani unakuta saizi yake ni incni 5.0 kushuka chinim yani kiganjani unatumia fresh. hizi mpya yani kawaida kukuta...
  7. Kagame: Nipo tayari kuendelea kuongoza Rwanda kwa miaka 20 zaidi

    Rais wa Rwanda Paul Kagame, amesema haoni shida yoyote akiendelea kuongoza Rwanda kwa miaka 20 ijayo licha ya kuwa huko nyuma aliwahi kunukuliwa akisema hana mpango wa kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2024. Kagame, 64, ambaye anajiandaa kutete nafasi yake ya Urais, amekuwa Rais kwa miaka...
  8. Mwanamke wa miaka 27, kuendelea anakuja kuwa mwanamke wa kuaminika zaidi kuolewa kuliko chini ya umri huo

    za mda huu wadau, Niende kwenye mada moja kwamoja, tofauti na zamani ilivyokuwa, yaani mwanaume akitaka kuoa anatatafuta dogo dogo amkuze mwenyewe.. na wengi ilikuwa dogodogo wa kipindi hicho walikuwa wanakutwa bado bikra kabisa na unamtengeneza unavyotaka wewe. Kwa sababu zana ya kupata...
  9. Q

    CHADEMA yaweka pingamizi dhidi ya akina Mdee kuendelea kuwa wabunge wakati kesi ya msingi ikiendelea

    Kesho mahakama inatarajiwa kusikiliza pingamizi lililowekwa na CHADEMA dhidi ya Halima Mdee na wenzake 18 kufuatia maombi ya amri ya muda ya mahakama kuzuia Tume ya Uchaguzi na Spika kuwavua ubunge. Wabunge hao wanaomba ridhaa ya kufungua shauri la kupinga kuvuliwa uanachama wao.
  10. Kitendo cha Bunge kuendelea kuwakumbatia wabunge waliovuliwa uanachama wao na Chadema, kinaonyesha udhalilishaji wa mhimili wa Mahakama?

    Tulipokea taarifa jana kuwa Mahakama Kuu, chini ya Jaji John Mgeta, kuwa ameyatupilia mbali maombi ya wabunge 19, wakiongozwa na Halima Mdee, waliofungua shauri lao Katika Mahakama hiyo kupinga kuvuliwa uanachama wao na kilichokuwa chama chao cha Chadema. Ikumbukwe kuwa wabunge hao mwezi...
  11. M

    Kwa faida ya watoto waliozaliwa miaka ya themanini na tisini na kuendelea: Nyerere alijenga uchumi wenye nguvu sana chini ya ujamaa na Kujitegemea!

    Vijana wengi waliozaliwa miaka ya themanini na kuendelea huwa wanakejeli sana siasa ya mwalimu Nyerere ya ujamaa na kujitegemea!! Hawajui kama Tanzania ilikuwa inaheshimika sana duniani kote! Wengi wanaamini kuwa hali ngumu ya kiuchumi ya Tanzania ilisababishwa na ubovu wa siasa ya ujamaa na...
  12. Mbunge azungumzia Utoaji Mimba usio salama kuwa unazidi kuendelea Nchini Tanzania

    Suala la utoaji mimba usio salama limekuwa gumzo siku za hivi karibuni na takwimu zinaonesha vifo vitokanavyo na uzazi husababishwa na sababu mbalimbali ikiwemo utoaji wa mimba usiosalama. Takwimu zinaonesha katika kila Wanawake 100,000 kunatokea vifo 454 mpaka vifo 556 (Taarifa kutoka...
  13. Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?

    Wanabodi, Makala ya Leo ya Kwa Maslahi ya Taifa, Inaanza na A Declaration of Interest Utangulizi Kama kawaida, leo tana nimepata tena fursa ya kushuka na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" leo nazungumzia kuponywa kwa taifa na trends za kuelekea 2025 za Rais Samia. Rais Samia ameonyesha...
  14. Nape ajitafakari kama kuna haja ya kuendelea kuwa waziri, kwenda Chato na kwenda kanda ya ziwa

    Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau...
  15. Msaada wadau! Mjukuu anagoma kwenda kozi ya unesi na ukunga Dodoma. Anataka kuendelea na kidato cha tano. Nifanyeje?

    Amechaguliwa kwenda chuo. Anasema hapana. Anatpenda aendelee na kidato cha tano kwa mchepuko wake uleule wa masomo ya sayansi. Wapi nigeukie ili nisaidiwe?
  16. M

    Chama cha Mapinduzi na Mei Mosi 2022

    Chama cha Mapinduzi kinawashukuru na kuwapongeza wafanyakazi wote nchini kwa kuendelea kuitekeleza kwa Vitendo Ilani yao ya Uchaguzi 2020|25, Ifahamike kuwa kila mfanyakazi anayefanya kazi Serikalini lazima awe ni Mwana-CCM ,
  17. Je, Kamanda Jumanne Muliro anatosha kuendelea kuwa RPC wa Dar?

    Kwa matukio yanayoendelea kila kona sasa ya mkoa huu, ni wazi kamanda Muliro kazi imemzidi na hatoshi kwenye majukumu yake. Kila kona ya Dar ni matukio ya wizi tu mara panya road, mara vishandu, mali zetu zinakuwa rehani. Majira ya usiku kwasasa kama huna usafiri binafsi ni hatari sana kwa jiji...
  18. Kuendelea kujipa matumaini kwa historia kwamba tuna akili kuliko wazungu ni kupoteza muda.

    Pichani ni Eiffel Tower huko Paris, Ufaransa kwa picha ya mwaka 1900 na 2017. Picha inajieleza jinsi gani wazungu walikuwa mbele sana kimaendeleo. Kama unabisha tafuta picha ya Dar es Salaam ya mwaka 1900. Mimi nadhani tuachane na historia za kusema tuna akili kuwazidi wazungu. Huko ni...
  19. K

    Mheshimiwa Samia,fanya hivi ili kuondoa utata ulionao kuliko kuendelea kumchafua Mtangulizi wako.

    Kila sehemu ambapo CAG kagusa inasemekana kuna upigaji wa pesa,na wafuasi wa genge lako wameenda mbali wanasema Mheshimiwa Magufuli ndiye kaiba hizo pesa. Sasa wewe ukiwa ndiye kiongozi mkuu wa nchi kwa sasa naamini unajua siri zote za hii nchi,unajua pia mahali viongozi wenzio walipoficha...
  20. B

    Chongolo: CCM itaendelea kuweka msukumo kuboresha miundombinu ya barabara na vivuko Kigamboni

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amesema CCM itaendelea kuweka msukumo kuhakikisha miundombinu ya barabara na vivuko inaboreshwa Kwenye Wilaya ya Kigamboni kwa sababu ni lango la uchumi wa Taifa. Amesema kwa sasa asilimia 90 ya bidhaa ya mafuta yanayotumika nchini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…