kuendelea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. "Usijenge Familia kukiwa kumekuchwa" Vijana Zaeni na oeni mungali mna nguvu

    Wakuu Kwema! Leo sina mengi! Ujumbe huu unawahusu zaidi wasomi hasa kutoka dini ya kikristo. Vijana acheni kusubiri Embe kwenye Mnazi! Msichelewe, ikiwa Una mwenza wako, na una miaka 27-30 amueni kuzaa ikiwa mnaona mambo Yenu bado hayajakaa Sawa. Msisubiri embe dodo kwenye mnazi. Safari ya...
  2. Serikali: Tunaipongeza Simba Sc kwa kuendelea kuupiga mwingi

    Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa Majaliwa ametoa tamko la kiserikali kuipongeza Simba Sc kuendelea kuupiga mwingi na kuitangaza Tanzania duniani kote. Waziri Mkuu ametoa tamko hilo akiwasilisha hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu. "Sote tumeshuhudia Simba wakiendelea kuupiga mwingi," ametamka...
  3. Kuendelea kutumia Kiswahili Shule ya msingi ni kujipiga mtama wa kitaaluma

    Sioni sababu ya kujifunza kwa Kiswahili Shule ya msingi. 1: Walimu wao wanajifunza kozi kwa Kiingereza. 2: Kiswahili tayari tunakiongea nyumbani hata Mtoto akitoka Shule atakiongea hawezi kukisahau. Hasara tunazopata 1: Watoto wa shuleza msingi wanakuwa wazito na hawaendani na kasi ya...
  4. E

    Nimeshindwa kuendelea na masomo, naombeni kazi

    Habari wana Jf, Nimeshindwa kuendelea na masomo yangu ya mwaka wa pili katika ngazi ya digrii course ya Procurement and supply management. Changamoto ya ada inanifanya nipostepone mwaka, kuanzia February niko room na shosti wangu vyuma vimekaza. Niko dodoma, ninakuja kwenu kuomba msaada wa kazi...
  5. M

    Kuendelea kutegemea uchawi na figisu kwa Mkapa ili kushinda mechi ni upuuzi

    Mechi ya Leo imetufundisha jambo, hwa Asec mimosas simba haiwafikii kwa ubora walionao, walivyowafunga kwa Mkapa ni kwasababu za nje ya uwanja zaidi na sio kwamba simba iliwazidi ubora. Mambo ya kishirikina yanayofanyikaga pale kwa mkapa ili simba ashinde tunayajua vizuri sana, ndiyo maana...
  6. Ukraine: Licha ya vita kuendelea, Meya wa Kiev amwalika Papa Francis

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amealikwa mjini Kiev wakati jiji hilo likiwa katika hatua ya kukaribiwa na hali nyingine ya mashambulizi ya Urusi. Ofisi ya Papa ya mjini Vatican imethithitbitisha kupokea barua hiyo iliyoandikwa Machi 8, kutoka kwa Meya wa Kiev Vitali...
  7. Waziri wa Michezo: Soka la Tanzania haliwezi kuendelea kama hatupingi rushwa

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe.Mohamed Mchengerwa amesema Tanzania haiwezi kupiga hatua kwenye sekta ya michezo, iwapo itashindikana kuboresha miundombinu ya michezo, ujenzi wa viwanja vya kisasa, ujenzi wa academy pamoja na ujenzi wa vituo muhimu vya michezo. "Rais wetu wa Awamu ya...
  8. Kusinyaa kwa Nafasi ya Kiraia (Civic Space) Tanzania: Si salama kuendelea kuishi chini ya Sheria kandamizi

    Kumekuwa na wasiwasi mkubwa kuhusu kusinyaa kwa Nafasi ya Kiraia (civic space), yaani ushiriki huru katika masuala ya kidemokrasia nchini Tanzania kabla na baada ya uchaguzi wa tarehe 28 Oktoba, 2020. Serikali sio tu ilijionesha wazi kukandamiza vyombo vya habari, lakini pia kudhoofisha uwezo wa...
  9. Tumechoka kusikiliza VIITIKIO, tunataka UBETI kuanzia wa kwanza na kuendelea

    Closed
  10. S

    Seneta Manchin wa US alalamika Marekani kuendelea kununua mafuta ya Russia zaidi ya lita milioni 79 (barrel nusu milioni) kwa siku

    Seneta wa West Virginia wa Chama Cha Democrat, Joe Manich, amemtaka rais Biden kuongeza uzalishaji wa nishati wa Marekani ili kuiepusha Marekani kuendelea kuitegemea mafuta na gesi ya Russia, akiishutumu Ikulu ya White House kuweka sera za kinafiki. Seneta huyo kasema Marekani yaingiza...
  11. Aliesoma Short Course za VETA anaruhusiwa kuendelea vyuoni

    Wakubwa samahani sana ..kama title inavyojieleza hapo juu nilikuwa nataka kujua je kwa aliesoma short course veta mfano ya electronics anaruhusiwa kuendelea kusoma vyuoni kwa ngazi tofauti kama certificate na diploma? Naombeni majibu wakuu
  12. Serikali: Hatujasaini EPA, Msimamo wetu uko palepale

    Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara imekanusha suala linaloendelea mtandaoni kuwa serikali imepitisha Economic Partnership Agreement(EPA) ambayo imetajwa na wasomi wengi kuwa itasababisha Tanzania kupoteza mapato yanayotokana na Importations kwa takribani 71% in the long run Wizara imesema...
  13. B

    Deusdedit Balile adai Ngorongoro hakuna makaburi hivyo Wamasai waondolewe Ngorongoro kuwaepusha kuendelea kuliwa na Wanyama

    Baada ya Maulid Kitenge kufanya tour na timu yake Ngorongoro watu walijitokeza nakusema alivyolipwa na kwamba ana tekeleza matakwa ya watu flani na siyo utashi wake. Siku chache Balile kawaitisha vyombo vya habari na wanahabari kuwashawishi au kupiga kampeni kuwaondoa Wamasai Ngorongoro...
  14. N

    Itakuwaje iwapo Shahidi Swila ambaye inaonesha ni Mpelelezi Mkuu asipoweza kuendelea kutoa ushahidi wake?

    Huyu anaonekana kuwa ndiyo Shahidi Mkuu kwani alimchukua maelezo Urio, kukusanya vielelezo, kuvipeleka kwa wataalamu wa utambuzi na kufanya mambo mengine. Je ikitokea hatakuja tena Mahakamani na akaja shahidi mwingine ambaye hatakuwa Mpelelezi Mkuu hapo kesi itaendeleaje? Ninaomba kusaidiwa na...
  15. Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3: Shahidi wa 13, Tumaini Swila ashindwa kufika mahakamani. Kesi imeahirishwa hadi Februari 14, 2022

    Habari Wakuu, Leo 10/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Shahidi Tumaini Swila jana Februari 9, 2022 aliomba ahirisho kwakuwa alikuwa hajisikii vizuri. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakamani...
  16. A

    Kitu gani kinaweza kusababisha shahidi kukataa kuendelea na cross examination?

    Baada ya kufuatilia kesi ya ugaidi inayoendelea nimeona Mashahidi wa serikali wakipata wakati mgumu mpaka wengi kuomba kwenda faragha mara kwa mara na jana moja aliokolewa na wakili wake , sasa sijui hiyo inaruhusiwa wakili kwenda kwa shahidi wake bila ruhusa ya Jaji. Tukiacha hiyo pembeni na...
  17. L

    Jinsi ya kuendelea kupata faida kwenye biashara

    THE LAW OF DIMINISHING MARGINAL RETURNS Diminishing ni kupungua kwa kitu Marginal return ni faida ambayo unapata kutoka kwenye kitu flani. Hii sheria inaelezea kwamba mwanzoni unavyoanza kitu ukiongeza juhudi basi kitakuzalishia zaidi, ila kadri unavyozidi kuongeza juhudi bila kuongeza vitu...
  18. Hizi ni siku za mwisho mwisho za IGP Sirro kuendelea kushika wadhifa wake?

    Huna sababu ya kuwa mtabiri au kwa jina lingine anaitwa mnajimu, kujua hatma ya yatakayomkuta IGP Sirro Katika siku za karibuni. Hilo jambo ni dhahiri, aidha atajiuzulu kwa aibu au atafutwa Kazi na mteule wake! Hatua ya Mheshimiwa Rais kuunda Tume yake huru kwa ajili ya kuchunguza Mauaji ya...
  19. IGP Sirro soma alama za nyakati, jiuzulu

    IGP Sirro alipata hicho cheo kama mkombozi wa jeshi la polisi. Tunayakumbuka mapambano yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani. Wakati huo akiwa kamanda wa Fiekd Force Unit, FFU. Sasa baada ya kuwa IGP, kuna matukio mengi ya kutofuata sheria za...
  20. Huyu ni aina ya mwanamke ambae ninaweza kumuhonga milioni na kuendelea

    Ndani ya nafsi ya Kila mwanaume zimewekwa taarifa kuhusu mwanamke anae tamanisha, hamasisha na kuvutia kufanya nae sex. Kuna mwanamke ukimuangalia tu unajua yupo vizuri kitandani. Mtazame Aunty Ezekiel Jack Pemba alifaidi Sana. # Her eyes, the way she talk, the way she look, her rudeness...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…