kwenye Maisha kutokua na sababu ya kuishi kunaua zaidi kuliko njaa na magonjwa, mtu asie na sababu ya kuishi ni rahisi kukata tamaa, kuishi bila kujijali, kuwaza sana starehe, n.k.
Sababu ya kuishi kwa kuogopa kifo ni kwa kila kiumbe, hata panya akibanwa kwenye kona hupata ujasiri wa ajabu wa...
( 1) Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba, anaonekana kama Wizara ya Fedha ni mali yake na ni kama aliyemteua kapigwa upofu huyu mtu ni hatari sana katika kusimamia mambo ya fedha za nchi na Kuna viashiria vingi vya ufisadi tunahisi huenda Kuna Siri kubwa kati yake na aliyemteua...
Wakuu ligi kuu Tanzania bara imesimamishwa hadi mwezi wa 3 na bodi ya ligi, sababu ikiwa ni kupitisha Mapinduzi Cup na CHAN.
Naona kwa sisi wadau wanaopenda ligi kuu hawajatutendea haki.
Habari JF , ni miaki mingi na chaguzi nyingi zimepita lakini kiuhalisia CHADEMA hatujawahi kuwa serious na kuchukua dola zaidi ya wabunge na madiwani .
Binafsi nanishukuru Mwenyekiti Mbowe kwa mchango wake mkubwa katika chama ,lakini naona ni muda sahihi sana kwa yeye kuachia ngazi sababu...
Miaka minne kasoro ya Uongozi wa serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais wetu mpendwa Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imekuwa na mafanikio makubwa sana katika sekta ya michezo, sekta ambayo imebeba matumaini makubwa ya vijana waliojiajiri kupitia vipaji mbalimbali walivyonavyo.
Si tu katika michezo...
Simba sasa hiv inabebwa sana na Kibu Dennis, huyu mwanaume amefika hapa kwa sababu ya zomea zomea yetu mashabiki wa Simba kwake, alikuwa akifanya makosa mengi sana kiasi kwamba tulidhani hastahili kuchezea Simba, nayakumbuka sana maneno ya Mzee Magori alipomzungumzia mchezaji huyo wakati...
Kuna tetesi kutoka viunga vya watu wakubwa kwamba mfumo (dola) imemtishia mzee Mbowe kuwa endapo hatagombea uenyekiti, basi wataweka hadharani asali yote aliyoilamba (miamala yote aliyopokea toka ccm/ serikali ktk nyakati tofauti tofauti za kutuliza dhoruba ya kisiasa nchini.
Siyo kwamba Mbowe...
"Hatua ninazozichukua, kesho nakaa na kamati yangu naendelea na uchaguzi kwa sababu vitu viende kwenye urasmi, hakukuwa na sababu yoyote ya mimi kushatakiwa na kamati ya maadili na hawakufuata utaratibu"
"Kama hawakufuata utaratibu maana yake sio sahihi, kesho nakaa na kamati yangu tunaendelea...
Lojiki ya kufikiria ya Watanzania wenzengu mara nyingine inaniacha nashindwa kuwaelewa. Sielewi kwa nini suala la Mbowe na Lissu kugombea uenyekiti liwe jambo linalotishia uhai wa Chadema.
Tukirudi nyuma, hatuwezi kusema Nyerere aliacha uongozi kwa sababu aliishiwa fikra sahihi na ghafla Mwinyi...
Good Morning my dear brothers and sisters out there.
(1) Kwanini mitandao ya simu (mfano Tigo Yas) wanatumia codes mbili yaani 0717****** pamoja na 0654******?? Kwanini ilishindikana kubaki na ili ili code yao ya zamani??
(2) Je, numbers za simu kuwa na 10 digits badala ya 11 (0654527779) ni...
Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Limited, Saimon Mnkondya, maarufu Manguruwe akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo baada ya kesi inayomkabili kuahirishwa kutokana na kutokamilika kwa upelelezi ambapo anashtakiwa kwa makosa 29 ikiwamo ya uhujumu uchumi...
Utawala mpya wa Syria ulio chini ya kikundi cha kigaidi cha kiislamu chenye itikadi kali kijulikanacho kama Hayat Tahrir al-Sham (HTS), unaoongozwa na gaidi kiongozi Abu Mohammed al-Jawlani, umeiandikia barua yenye malalamiko na manung'uniko mengi Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN...
Jana nimemsikia Mh. Lissu mwanzo mpaka mwisho
Nikiri kuwa sijasikia kama Freeman atagombea.
Nafahamu kwamba kwa heshima yake kama angekuwa hagombei anawaachia "vijana" basi angeshatoa taarifa mapema kidogo.
Kwa hiyo anaweza kugombea
Sasa nimekuwa najiuliza kama Mbowe ataamua kugombea uenyekiti...
Ana maadui wengi, Kwa hiyo hawezi kujulikana yupi kamudhuru.
1. Adui walioko ndani ya chama chake wakihusika watasema ni watawala.
2. Watawala wakihusika watasema ni maadui ndani ya chama chake.
3. Vyama vingine vya upinzani vikinusika vitasema ni watawala au wenzake ndani ya chama chake...
Kama kweli tuko serious katika mapambano dhidi ya Rushwa tungeachana na na ADAN ambaye anatuhumiwa kila kona kwa rushwa. Sisi tumesema tunaendelea naye kwasababu wanufaika wa miradi hii ndiyo wenye mamlaka ya maamuzi. Mwisho wa siku mwananchi wa kawaida ndiyr mbeba zigo kulipia hasara...
Ndugu zangu Watanzania,
Chama cha Mapinduzi kinatoa shukurani za dhati kwa wanachama wake, wakereketwa,wafuasi na watanzania wote kwa ujumla wake kwa kukipigia kura nyingi za ndio na hivyo kukiwezesha kushinda kwa kishindo kikuu kilicho itetemesha Dunia nzima.
Chama cha Mapinduzi kinaahidi...
Ndani ya kipindi cha wiki tatu tu Tanzania tumeshuhudia vifo vya viongozi wawili wa kitaifa wakifariki wakati wakitibiwa kisiri huko India kinaashiria bado huduma zetu za kiafya hapa Tanzania ni duni, mbovu au haziaminiki na watanzania walio wengi wakiwemo viongozi wakubwa wa kitaifa.
Taifa...
Wadau,
Kuna jamaa yangu anaomba ushaur.
Ni hiv..miaka miwil iliyopita alikutana na mdada single mama,(divorced) wakaanzisha mahusiano huyu single mama baada ya mwaka akapata ujauzito wa mwana.
Huyu single mama ana vitabia flan ambavyo mwana havikubal.. Anasema demu ni controling sana.hasira...
JULIANA MASABURI: YALIYOFANYWA NA RAIS SAMIA YANATOSHA KUENDELEA KUIAMINI CCM
Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania, Mhe. Juliana Didas Masaburi akihutubia mkutano wa hadhara amewaambia wananchi kuwa Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imefanya kazi kubwa hivyo kukifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.