kuendelea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pfizer

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB) yasisitiza kuendelea kuwa mdau mkubwa wa maendeleo visiwani Zanzibar

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeungana na wananchi wa kizimkazi Zanzibar kwenye siku ya utalii kusherehekea ufahari wa utamaduni wa Kitanzania, vivutio vya utalii, umoja na mshikamano katika tamasha la Kizimkazi linaloendelea kufanyika visiwani Zanzibar. Benki imeendelea kusisitiza dhamira...
  2. Pfizer

    TCB kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali kuwawezesha wakulima wadogo na wa kati kupata mikopo

    TCB KUENDELEA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KUWAWEZESHA WAKULIMA WADOGO NA WA KATI KUPATA MIKOPO Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) imesema itaendelea kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya sita chini ya Mh. Dkt. Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuhakikisha inawawezesha wakulima wadogo na...
  3. S

    Boniface Jacob azua jambo kuhusu kingereza cha Msigwa. Msigwa ajibu na kuendelea kuharibu

    Someni, mimi siongezi wala sipunguzi neno: Baadae Msigwa akajibu.
  4. R

    Wakati Duniani viongozi wa nchi wanaanzia miaka 40 huku kwetu viongozi wanaanzia miaka 60 kuendelea; tutapata maendeleo?

    Dunia inabadilika sana, inakwenda kasi sana. Siyo Dunia ya busara na heshima tena bali ni Dunia ya akili mpya zinazoweza kutatua changamoto. Hakuna Sehemu Duniani maendeleo yanaletwa na busara na hekima na hakuna uhusiano kati ya umri na busara. Kama ujanani ulikosa busara na hekima siyo rahisi...
  5. N

    Tanesco kuendelea kukata Tsh 2000 kwenye LUKU kama tozo ya serikali ni wizi wa pesa za Watanzania.

    Hivi karibuni Watanzania kupitia mitandao mbalimbali walionesha ghadhabu juu ya ongezeko la kodi kwenye LUKU kutoka Tsh 1500 mpaka 2000 pasipo kutoa notice kwa umma. Baadae TANESCO walitoa maelezo kwamba ongezeko hilo ni deni la nyuma kwa baadhi ya wateja, cha kushangaza mambo yamekuwa tofauti...
  6. Roving Journalist

    Serikali yaitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea Misako na Doria kubaini Wahamiaji wanaoshindwa kufuata Sheria za Nchi

    Serikali imeitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea kuimarisha Misako na Doria za kuwabaini Wahamiaji wanaoshindwa kufuata sheria za nchi pamoja na uhalifu unaovuka mipaka. Hayo yamesemwa Julai 5, 2024 na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo wakati akizungumza katika Ufunguzi wa...
  7. Stephano Mgendanyi

    Wakandarasi Wapo SITE Kuendelea na Ukarabati wa Barabara

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainab Katimba (Mb) amesema tayari wakandarasi wapo site wakiendelea na ukarabati wa barabara zilizohabika na mvua pia katika Halmashauri ya Kishapu. Mhe. katimba amesema hayo Bungeni Jijini Dodoma...
  8. Tajiri Tanzanite

    Ili awe Mshangazi anapaswa kuwa na umri gani?

    Hapo vip!! Nimekuwa nasikia sana huu msemo wa lishangzi. Sifa za mashangazi ni kama zifuatazo. 1. Awe na miaka kuanzia 30 na kuendelea 2. Awe single mother au single kawaida. Kama unasifa zingine zitaje ili wajitambue.
  9. Ojuolegbha

    CPC na CCM kuendelea kudumisha uhusiano wa kihistoria

    WAZIRI Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa viongozi wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) ulioongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CPC ambaye pia ni Katibu wa Kamati ya CPC Jimbo la Shanxi, Komredi Tang Dengjie. Katika kikao hicho kilichofanyika Juni 21, 2024...
  10. Rais wa wapare

    Jina la mdaiwa limekosewa; Je linaweza kubadilishwa na kuendelea na kesi pale ilipoishia?

    Kwanza nitangulize shukrani. Mwaka 2021 mama yangu alipata ajali sasa akafungua kesi ya madai ikaenda ikafikia mpaka hatua ya utekelezaji kabla ya kufanya utekelezaji ikagundulika kuwa jina la mdaiwa limekosewa kwahiyo ikabidi utekelezaji usimamishwe. Nilikuwa naomba kujuzwa je inawezekana...
  11. Webabu

    Mabaharia wote wahamishwa kutoka meli iliyopigwa na Houthi

    Mabaharia wote waliokuwa kwenye MV Tutor iliyopigwa na Houth hapo juzi na kusababisha tobo kubwa pamoja na moto wameondolewa kwenye meli hiyo ambayo imeanza kunywa maji. Awali baharia mmoja alipotea baada ya shambulio hilo wakati ambapo meli za kivita za Marekani zilijaribu kuzima moto...
  12. M

    Kuendelea kuwavuruga vijana ni kujiharibia kwa CCM na Serikali yake

    Kwanza kabisa niseme wazi mimi ni mwanachama wa kawaida wa CCM nisiye na cheo chochote ndani ya chama. Wala siko kwenye kundi la kiongozi yeyote. Kwa hiyo huu uzi naandika bila kujali niko CCM. Nimeamua kwa makusudi kuwakumbusha viongozi wa serikali na chama kuacha kuendelea kuwavuruga vijana wa...
  13. Shujaa Mwendazake

    Klabu ya Simba imeshakana kupokea 20B za Mo. Yeye kuendelea kukaa kimya ni kudhihirisha ulaghai wake

    Tuokoe Muda wakuu. Wajumbe wa Simba upande wa wanachama katika Bodi wameshakana klabu kupokea 20B kutoka kwa anayedaiwa ni mwekezaji aliyenunua 20B. Ikumbukwe hawa wajumbe ndo wawakilishi wa klabu katika bodi ikisemekana wanamiliki ile 51% Kwa lugha nyepesi ninkuwa Simba imeshamkana Mo Dewji...
  14. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa: Wataalam Waliostaafu Kuendelea Kutumika Katika Ujenzi na Matengenezo ya Barabara

    Wizara ya Ujenzi kupitia taasisi zake ERB na TANROADS inaandaa utaratibu wa kutumia wataalam wa ndani waliostaafu katika ujenzi na matengenezo ya barabara. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25...
  15. J

    Bashungwa: Wataalam waliostaafu kuendelea kutumika katika ujenzi na matengenzo ya barabara

    Wizara ya Ujenzi kupitia taasisi zake ERB na TANROADS inaandaa utaratibu wa kutumia wataalam wa ndani waliostaafu katika ujenzi na matengenezo ya barabara. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25...
  16. Huihui2

    Video Clip: Jerry Silaa adai kuna Jaji anamlinda tapeli wa viwanja

    Awali "Y" alikuwa Wakili na aka attest nyaraka za Mzee "X". Hatimaye Tapeli "Z" akadhulumu kiwanja, kesi ikafunguliwa. Na kwa bahati mbaya ikaanguka kwa Jaji "Y" ambaye ndiye alikuwa Wakili wa Mzee "X". Na sasa Jaji "Y" anawaita Mawakili wa Serikali kutaka kuwa CORRUT. Je huyu Jaji "Y" ni...
  17. emback

    SoC04 Tanzania tukitaka kuendelea tukubali ukweli mchungu na tuanze moja

    Habari za muda huu ndugu zangu watanzania, nimewaza sana na kutafakari ni wapi kama taifa tunaelekea maana ukweli usiopingika kuwa tunazama huku tukijifariji kuwa tupo katika njia sahihi. Tumeanguka katika nyanja nyingi lakini mie napenda niongelee moja au mbili, ambapo nitaanza na nyanja ya...
  18. Stephano Mgendanyi

    Bodi ya utalii tanzania kuendelea kuutangaza mlima meru

    BODI YA UTALII TANZANIA KUENDELEA KUUTANGAZA MLIMA MERU Wizara ya Maliasili na Utalii kupita Bodi ya Utalii itaendelea kuutangaza Mlima Meru pamoja na Hifadhi ya Arusha, Hifadhi ya Misitu Ziwa Duluti na Maeneo ya Utalii wa Utamaduni katika vijiji vinavyozunguka Mlima Meru kama vivutio vya...
  19. OMOYOGWANE

    Upo chuo au hauna ajira ila unamiliki simu ya laki tatu na kuendelea? Tumia mbinu hii kupata pesa ya kujikimu kimaisha (nunua camera)

    Biashara ya kupiga picha inafaa sana kwa mtu yeyote anayepitia changamoto ya kukosa pesa ya kujikimu iwe mtaani au chuoni. Kama unamiliki simu inayoanzia laki tatu na kuendelea ila hauna ajira, ni kheri kuuza simu na kununua DIGITAL CAMERA ya kisasa ambayo utapiga picha za aina zote kwa gharama...
  20. Kyambamasimbi

    TIE Maboresho ya mtaala wa Elimu. Hivi kuna haja ya kuendelea kufundisha kuandika barua ya kirafiki mashuleni?

    Habari wajf Leo nimeshangaa kuona eti Bado watoto wanafundishwa kuandika barua ya kirafiki mashuleni zama hizi za sayansi na Teknolojia? Kwa maono yangu wafundishwe kutumia simu nanna ya kutuma sms. Leo hii wadau wewe ulimwandikia lini ndugu au rafiki barua ya kirafiki?
Back
Top Bottom