kuepuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watu wanaongelea kataa ndoa ila hawaongelei kuepuka kuzaa na wanawake mataahira.

    Aisee mara utasikia kosea nini sijui ila usikosee kuoa. Wakuu, mimi nasema kosea yote lakini usikosee ukazaa na mwanamke kichaa au wa uswahilini. Kuna rafiki yangu ana kila kitu ila alifanya kosa na kuzaa na nusu chizi, nusu taahira. Kila akinisimulia anayopitia namuonea sana huruma, hana...
  2. "Ushauri Bora wa Kodi kwa Biashara Yako, mambo ya kuzingatia ili Kuepuka Adhabu mbalimbali

    Je, unahitaji huduma ya kitaalamu kuhusu mambo ya kodi? Tunaelewa changamoto zinazoweza kutokea zinazohusu aina mbalimbali za kodi na jinsi inavyoweza kuathiri biashara yako. Tunatoa huduma za ushauri kuhusu: 1.Ufanisi katika Kulipa Kodi: Kupata njia bora za kulipa kodi kwa kufuata sheria na...
  3. Usifanye Makosa haya, ili kuepuka madeni yasiyo ya lazima

    Salaam wakuu. Wahenga walisema Tahadhali ni bora kabla ya hatari, na umakini unalipa kuliko uzembe, na akili ni njema kuliko ujinga, na utoshelevu ni bora kuliko kupungukiwa. Mpendwa kama utaweza jiepushe na yafuatayo ili uweze kuepuka kero za madeni 1: Epuka kukopa pesa ili ununue WANTS...
  4. Makosa ya kuepuka baada ya mahusiano kuvunjika

    Mahusiano yanapovunjika huwa kuna mabadiliko ambayo hujitokeza ndani ya mwili, Watu wengi hawajui kueleza maumivu hayo husema tu "mapenzi yanauma sana" lakini ukihoji yanauma vipi na sehemu gani wengi hawajui wala hawawezi kueleza.Hivyo basi badala ya kuishi huku unasikia stori za mapenzi...
  5. Nilipogundua Subaru Forester unatumia Filter 2 nikauza gari kuepuka stress

    Nilijichanganya 2022 nikanunua 2009 Subaru forester. Siku nimepeleka service naambiwa eti inatumia filter 2. Huku Coil Tsh 750,000 nikamuuzia boya flani toka Kanda ya Ziwa.
  6. Tuzisaidie mamlaka kutenda kwa tafakuri na kuepuka undumilakuwili

    Kama sio asili inachukua mkondo wake kwamba haya yanatotokea hayana budi/ yana budi kutoka, basi kuna genge la watu lina nia mbaya sana na Tanganyika huko mbeleni Ama la linafanya haya yote kwa nia ya kumharibia mtu kuelekea uchaguzi mkuu 2025..lakini limeshindwa kupima madhara yake kwa matendo...
  7. Mambo arobaini 40 yatakayokuepusha na Kifo cha mapema ndugu mpambanaji mwenzangu

    Hapa naomba nizungumze na wapambanaji, the super lucky, best performers na wasioridhika na mafanikio, wanawake kwa wanaume. Guys we got a work to do. Kwa muda wa hivi karibuni hali si hali, nimepoteza washikaji wengi sana wengi ma fighter na majina yao yapo humu JF. Wengine X.... Tumesafiri...
  8. LGE2024 Simiyu: RC Kihongosi ahamasisha Wananchi kujitokeza kupiga Kura na kuepuka kusalia Vituoni

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi amewaasa wakazi wa mkoa huo kuendelea kujitokeza kwa wingi katika vituo vya kupigia kura katika mitaa yao ili kuchagua viongozi watakaowaongoza katika mitaa yao. Akizungumza baada ya kupiga kura katika mtaa wa Sesele uliopo kata ya Nyakabindi wilayani...
  9. T

    Mkasa wakutisha katika Taifa la Zambia na kwanini kama Taifa yatupasa kujifunza kwao kuepuka laana

    Leo nimependa kuwasimulia mkasa wakutisha ulio likumba Taifa la Zambia na kwanini kama Taifa na idara za usalama yatupasa kujifunza kwa Zambia nakuliepusha Taifa ktk mkwamo. Ktk Taifa la Zambia ambalo lilikuwa na urafiki na Tz palikuwa na Rais wao wa kwanza alie itwa Kenneth Kaunda. Kiongozi...
  10. R

    Tanroads wekeni Bicons kuonesha mwisho wa road reserve hasa mijini kuwatahadhali wananchi wasijenge kuepuka kuwabomlea nyumba

    Hii ni muhimu, watu hawajui hizi sheria za barabara in terms of upana wa barabara. Wanajenga kwa nian njema kuwa wako kwenye maeneo yao, kumbe ni road reserves! Itasaidia sana kuepusha majoniz kwa wananchi linapokuja suala la kubomolewa nyumba zao.
  11. Kuepuka kulipuliwa kwa kutumia simu yako, tumia WiFi na BLUETOOTH

    Ukiwa ni mtumiaji wa simu za mkononi na mitandao ya kijamii ni vigumu kujilinda usitambulike wewe ni nani na upo wapi iwapo tu kuna taasisi ina shida na wewe kwa sababu yoyote ile. Hata hivyo kufuatia mashambulio ya kigaidi ya Israel ya kielektronik huko Lebanon inabidi watu tujiongeze ili iwe...
  12. Namna ya Kupunguza au Kuepuka Unene uliopitiliza.

    Unene uliopitiliza unaongezeka kwa kasi sana miongoni mwa watu wengi kwa sasa. Hali hii huwaweka watu ktk hatari ya kupata magonjwa yasiyoambukizwa mfano magonjwa ya moyo, mfumo wa upumuaji pamoja kuathiri uwezo wa mtu kufanya shughuli zake za kila siku. Kinachosababisha/kuchangia unene ni...
  13. Vitu vya kuepuka chuoni

    Ni vitu gani vinakwamisha kitabu kusonga mbele ukiwa chuo kikuu mfano UDOM?
  14. Fanya haya kuepuka kutekwa na kupotezwa na wasiojulikana

    Watu wanapotea miaka Sasa hawajulikani walipo 1. Epuka ukosoaji wa viongozi wa juu, hao hawataki kukoselewa, wapo pale kutawala, hawataki ukosoaji na ujuaji utapotezwa Mbele ya watu watajifanya wapo tayari kukoselewa ila kiuhalisia hawataki, utapotezwa. 2. Kuwa mtu wa haki Kwa wengine...
  15. Wanawake wa kuepuka kuoa kama hutaki kufa kwa presha mapema

    1. Mrembo sana 2. Msanii (wa filamu, muziki) 3. Askari 4. Baa medi/hotelia 5. Mlokole 6. Nesi / Daktari 7. Msomi (Hasa ngazi ya chuo kikuu) 8. Mwanamke kutokea familia ya kishua NB. Picha haihusiani na mada
  16. Ni njia zipi unaweza tumia kuepuka, kupunguza na kuondoa kabisa msongo wa mawazo 'stress'

    Ni aina ipi ya stress unapitia kiasi kwamba imekua ni changamoto inayo tatiza baadhi ya mafanikio katika kazi, biashara, masomo, familia na majukumu yako mbalimbali mengine. Ladies and gentlemen, kama hutojali, unaweza kushirikisha familia hii pana ya JF mbinu mbadala na namna ambavyo...
  17. S

    SoC04 Namna ya kuepuka au kukomesha athari za Ukoloni Mamboleo (Neo-colonialism) katika kuhamasisha kuleta maendeleo ya Tanzania ya baadaye

    Ukoloni mamboleo ni mfumo wa kidunia ambapo nchi zilizostawi zinadhibiti na kunyonya rasilimali za nchi zinazoendelea kwa njia zisizo za moja kwa moja, ikiwemo kupitia mikataba ya kiuchumi, msaada wa kifedha, na ushawishi wa kisiasa na kitamaduni. Tanzania, kama nchi nyingine za Afrika...
  18. Naomba kufundishwa mbinu za kuepuka watu wa Jumuiya na Parokia

    Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki. Lililonileta ni kuwa nimekuwa sipendezwi na imani yoyote haswa hizi za dini naona kama uongo na ni mifumo ya watu...
  19. Mambo ya kuepuka kijana wa kiume

    Kijana wa KIUME kuna mambo, unapaswa kuyaepuka maisha yako Yote. 1. Kuishi kwa Mwanamke, au ukweni. 2.Usijenge katika kiwanja Cha ukweni au Cha mwanamke. 3.Usiishi kwa kumtegemea mwanamke kwa chochote. 4.Usioe Mwanamke ambae amekuzidi kwa kila kitu.( Elimu, pesa na Mali.) 5. Usimuoe...
  20. Mambo ya Kuepuka Ukiwa na Mimba/Ujauzito

    Mambo zaidi ya 10 anayopaswa kuepuka Mjamzito yoyote yule Unapogundua kuwa una mimba, unapaswa kuwa mwangalifu na kuepuka mambo mengi ambayo yanaweza kusababisha mimba kutoka, au tu yakakukudhuru wewe na mtoto wako aliye tumboni. Kwa kujua orodha ya mambo zaidi ya 10 ya kuepuka wakati wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…