Wanabodi,
Tumsifu Yesu Kristo.
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristo Mkatoliki die hard, yaani wale Wakatoliki ambao wamezaliwa Wakatoliki, na kupokea zile sakramenti 4 za Katoliki, yaani wamebatizwa Katoliki, wamepokea Komunio Katoliki, Kipaimara Katoliki, ndoa Katoliki, na ile sherehe ya...
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo,amelitaka kanisa hilo liongozwe kwa misingi ya kanuni,sheria na taratibu ambazo wamejiwekea ili kutokuingia katika matatizo na migogoro.
Askofu Shoo ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa hilo...
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewaasa Waandishi wa habari kutotumia taaluma zao katika kusambaza taarifa ambazo zinachochea ukatili wa kijinsia bali wasimamie misingi ya uandishi na utoaji wa taarifa wenye lengo la kuelimisha na kuhabarisha na hatimaye kukuza ustawi wa...
Wana jukwaa habari zenu!
Leo ningependa kushare nanyi kitu ambacho nimekiona ktk ka utafiti kangu kadogo kuhusu biashara nyingi za maduka ya nguo na saloon ama za kiume au za kike kufa kifo Cha mende.(hasa kwa maeneo ambayo yapo pembezoni mwa mji)
Nimekuja kugundua watanzania walio wengi...
“Electronic Balloting System (EBS)”, ni mfumo wa kupiga kura kidigitali, yaani kwa kutumia vifaa maalum vya tarakilishi. Mfumo wa kutumia tarakilishi katika uchaguzi sii mgeni hapa Tanzania, kwani toka mwaka 2015 Tume ya Uchaguzi nchini ilianza kuutumia kwa kuandikisha na kuhakiki wapiga kura...
Aliposikia hilo kwenye runinga, aliamua kujaribisha kuona kitakachotokea.
Mada iliyokuwa ikiendelea kwenye TV ilihusiana na Elimu nafsi, kwa jina jingine, Saikolojia.
Mtoa mada alitahadharisha kuwa ni hatari kuwaambia watoto wasifanye kitu fulani, kwani inakuwa kama wamechochewa kufanya...
MANENO MATUPU YA KISIASA: JE, WANA UWEZO WA KUONGOZA?
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Katika siasa za Tanzania, maneno matupu ya kisiasa yamekuwa yakitumiwa sana na wanasiasa kama njia ya kuwavutia wapiga kura. Hata hivyo, swali muhimu ni iwapo maneno haya yanaweza kuonesha uwezo wa viongozi...
Hii inawakuta watu wengi kwenye mapenzi, mtakuwa mashahidi kwamba kuna muda kama mapenzi yanapungua kwa mwenza wako. Ili kuepuka hali hii ni vyema kila mmoja akawa mbunifu zaidi ili kulifanya penzi lenu liwe moto moto kila wakati. Moja ya eneo la kuzingatia, ni kitandani, yaani wakati wa tendo...
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wananchi kusoma taarifa zilizopo kwenye vifungashio vya bidhaa hususani za vyakula ili kuepuka madhara mbalimbali ya kiafya yanayoweza kujitokeza.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 29,2023 Jijijini Dar es Salaam, Kaimu Meneja wa Ukaguzi na...
Habari wadau, leo nimeona nifanye kushare na nyinyi kidogo kuhusu uchaguzi wa magari hasa linalokuja suala la bei.
Ni wazi bei za magari hazifanani, mfano Rav 4 latest model na Vanguard latest bei zao hasifanani lakini ukifuatilia utakuta unalipa pesa zaidi bila kujua.
Nitazungumzia...
Hello wakuu,
Katika maisha huwa kuna mambo mengi, sisi kama binadamu huwa tunapitia, na baadhi ya haya mapito, yanaweza kukuvuruga kabisa kiakili kupelekea kufanya au kujaribu kufanya mambo ambayo hata hukuwahi kudhania.
Moja ya mambo haya ni "Being So Desperate To Earn Money"
Nimecheck...
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Beno Malisa, Aprili 20, 2023 amewataka madereva wa vyombo vya moto kubadilika kufuatana na hali ya kijiografia yam ilima, miteremko pamoja na hali ya hewa ya Mkoa wa Mbeya yenye mvua na ukungu kwa kuhakikisha wanafuata na kuzingatia sheria na alama za usalama barabarani...
Kama una ujumbe, taarifa au salam niachie Wakuperuzi hapa, zitafika kwa muhusika na kwa wakati.
Kurahisisha mambo, maana najua mambo ni mengi wakuu, hamuwezi kushinda humu muda wote ila binafsi napatikana humu masaa yote.
So kila anayeingia na kutoka huwa naona, sababu nakuwa online.
Maana ya date na mwanamke ni kukutana naye ili kutengeneza mazingira rahisi ya kufanya naye mapenzi, na mkiendana kuwa wapenzi.
Ila ukiharibu unapokutana na mwanamke, maana yake unakosa penzi na nafasi ya kufanya mapenzi.
Hivyo ni muhimu kuepuka haya ili kuongeza nafasi yako ya kupata penzi...
Najua tayari hili ni shari na ni heri nusu shari kuliko shari kamili, ni mbinu ipi nitumie mahusiano yetu yawe baina yetu bila kuingiliana kwenye biashara ?
Huyu binti wa dukani siwezi kumuoa mimi urefu 6.0 yeye 5.2, nipo zaidi nae kwa fun ila si kimalengo.
Nina shughuli yangu kuu, hili duka...
*Wenye pesa wanachapiwa.
*Masikini wanachapiwa.
*Wenye nguvu za kiume wanachapiwa.
Sasa ili kuepuka kuchapiwa nini kifanyike? Ili kuepuka kuchapiwa wanaume oeni mabikra.
Lakini ukijikita kutafuta hela ukapuuzia kutafuta bikra itakula kwako na utaabika mitandaoni kama akina fulani wenye hela...
Wataalamu wa ununuzi wa Majengo, viwanja na mali zisizohamishika.
Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kununua nyumba, au kiwanja lakini nisipate matatizo au migogoro, stage 1, mpaka stage ya kuingia kwenye nyumba uliyoinunua!
Nitashukuru kwa hili.
Hello,
Siwatishi na wala siwabembelezi nawajibika kusema kuokoa taifa na jamii kwa ujumla.
Ongezeko la watu wenye rangi za midomo kama ugonjwa wa ukoma wa midomo unapaa kwa kasi.
Kuna wimbi kubwa sana la watu wadada, wakaka, mabinti, vijana, wenye fungus za koromeo, fungus za midomo, homa za...
Ongezeko la wagonjwa wenye maambukizi ya njia ya mkojo, maarufu kwa jina la UTI na typhoid limekuwa kilio kikubwa kwa Watanzania katika sekta ya afya kutokana na kutumia fedha nyingi katika kutibu wagonjwa kutokana na usugu wa dawa.
Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, ripoti ya Benki ya Dunia ya...
Kuna wengi sn wanaweza kufikiria nini kilisababisha anguko la Chadema wapo wachambuzi wengi wa masuala ya siasa wanaweza Kuja kuelezea mengi Sana yaliyosababisha anguko la kilichokuwa chama kikuu cha upinzani zifuatazo ni baadhi ya hoja zinazotoa ushahidi juu ya kiini cha anguko la Chadema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.