RC Kafulila apiga marufuku ‘michomoko’ kusafirisha abiria Mkoa wa Simiyu
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (RC) nchini Tanzania, David Kafulila amepiga marufuku magari madogo maarufu michomoko kusafirisha abiria mkoani humo.
Ni baada ya kuhusika kwenye matukio ya ajali yaliyosababisha vifo vya watu 10 na...
Hii inasaidia sana kuwa productive na kuweza kufocus na mambo muhimu badala ya kukesha instagram au ukicheza candy crush saga.
Ingia settings
bofya screen time
turn on screen time kama hujawasha
bofya App limits
bofya add limits
chagua application yako
kisha set muda wako unaotaka utumie hiyo...
Hili suala halisemwi lakini lipo. CUF kilikuwa cha kizuri na tishio cha upinzani. Shida yake kilionekana kama kina sura ya kiislamu. CDM kukawa vizuri sana lakini kikawa kama kina sura ya kikristo.
Imekuja ACT wazalendo lakini kinaonekana kama cha Zanzibar na Pwani kwa waislamu.
Chama kuwa na...
Ulinzi shirikishi ni jambo zuri sana!
Maeneo ya vijijini limeonyesha kufaulu kwa asilimia kubwa kutokana na watu wake kujitolea au kupangwa kwa zamu!
Tatizo kubwa la ulinzi shirikishi mjini una harufu ya upigaji!
Kuna wakati huwa nashawishika kuamini huenda PANYA ROAD ni PROJECT?
Kwasababu...
Ikiwa 'umeuza' mechi au kondomu imepasuka, basi usihamaki kwea bodaboda fasta wahi hospitali ya karibu na jipatie PEP kwa siku 28 na utakua safi.
TAHADHARI: Utapewa PEP baada ya kupimwa HIV na kuonekana NEGATIVE pia utapaswa kupitia hatua kadhaa za mahojiano (ya kukera) utawekwa kwenye foleni...
Tunaambiwa kwamba filamu ya Royal Tour yenye kupromote Utalii imegharimu Shilingi za Kitanzania Bilioni tisa. (9).
Leo tunaambiwa Rais ana safari ya kikazi yeye na delegation yake marekani na moja wapo ya mambo atayoyafanya ni kuzindua filamu ya Roya Tour.
Kwakua hizo kazi nyingine atazofanya...
Mahusiano kwa upande wa mwanaume yana gharama sana.
Kama hutokuwa makini, hutofanya kitu cha maana katika maisha yako. Utajikuta kila siku, wewe ni mtu wa kutoa hela tu.
Ukija kupiga mahesabu, kwa fedha ulizozitumia kwa mwezi mzima katika mahusiano, inazidi kipato chako.
Na hii imepelekea...
Nimepanda parachichi miaka kadhaa iliyopita huko kwetu Kusini, soko ikaporomoka parachichi zikaoza nikakosa pa kuzipeleka nikatamani nifuge Mbwa wanisaidie kula yanapoanguka lakini too late
Najuta kuacha kulima miti ya mbao nikadamganyika na faida ya parachichi bila kujiuliza Kuna viwanda...
PrEP ni nini?
Pre-exposure prophylaxis au PrEP ni matumizi ya dawa za kupunguza makali ya VVU na watu wasio na VVU ili kuzuia upatikanaji wa maambukizi ya VVU.
Tangu Septemba 2015, WHO imependekeza kwamba watu walio katika hatari kubwa ya kuambukizwa VVU, wanaojulikana kama watu walio katika...
Uraia alionao na tuliompa after the fact unaweza kupingwa kwenye mahakama za juu za mpira kama timu iliyofungwa na Simba au taifa stars ilimchezesha Kibu Denis kwenye mechi zake.
Kibu alisajiliwa na Simba kama raia wa Tanzania na kucheza mechi za ndani na nje ya Nchi kama raia wa tz wakati...
Baada ya Mama 'kutangaza' nia yake ya kuingia ulingoni 2025, ni vema chama kikuu cha upinzani kikaanza jitihada za kumtengeneza mwanamke atakayepambana na Chifu Hangaya kuwania kiti namba moja hapa nchini.
Kuweka mgombea mwanaume itakuwa ni ukatili wa kijinsia na hoja hiyo itatumika kuwaangusha.
Juzi nilikutana na mbio za Mwenge pale Mkata, watu wamekusanyika balaa na msafara umezuia magari yasiende.
Jamani mbona hatuko serious na afya za watu wenyewe? Dunia itatuelewaje sisi jamani?
Kwani kwenye Mwenge kuna nini kiasi hiki?
afya
corona
covid
covid 19
gwajima
kipindi
kuepuka
kusambaza
mbio
mbio za mwenge
mikusanyiko
mwenge
mwenge wa uhuru
serikali
vita
waziri
waziri wa afya
Utangulizi:
Ndoa ni muunganiko wa hiari unaotokana na maridhiano baina ya mwanaume na mwanamke. Maridhiano haya hutoka moyoni kwa kila mmoja baada ya kuwa ameshawishika na kuridhika na mwenzake, kulingana na vigezo anavyovitaka na hivyo huamua kuushusha upendo wake kwa mwenzake, humuamini na...
1. Vyama vyote vya siasa ni mali ya serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hivyo Nchi ina jukumu la kuvilea, kuvilinda na kuvipa nafasi ya kushiriki kazi za kimaendeleo ya nchi kwa ujumla.
2. Baraza la usalama na Deep state Viwe na jukumu la kuweka mfumo wa uongozi wa kila chama na uteuzi...
Mbowe alipotoka kumzika kaka yake aliyekufa kwa Corona alitakiwa kujiweka Lockdown kunusuru wengine badala ya kuendelea kuzurura kwenye mikusanyiko ya watu.
Corona inaonyesha imepiga kambi kwenye familia ya Mbowe sababu mwanawe Mbowe aliumwa Corona kwa mujibu wa Mbowe mwenyewe.
Baada ya hapo...
Alitoa kauli hii kabambe mara tu baada ya kumaliza kuwaapisha wateule wapya kwenye nafasi ya Ukuu wa Wilaya Mkoani Dodoma.
Bila shaka kauli hii kali ililenga kuwakumbusha Viongozi hao wapya wasitumie madaraka yao vibaya
Chanzo : Mwananchi
Wazanzibari hawakutaka mashehe waachiwe kama ilivyotokea. Wameachiwa na watu wasiojulikana kwani hata mawakili hawakutaarifiwa walisikia tu mashehe wa au wateja wenu wameonekana mitaani.
Wazanzibari wanahitaji au walihitaji haki itendeke, mahakama iliyopewa dhamana iendeshe kesi kililahi bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.