Mtu mmoja aliomba, "Mungu, naomba unibariki mimi na mke wangu na mtoto wangu John na mke wake. Sisi wanne tu, na si zaidi"
Hiyo inatoa picha jinsi binadamu alivyo mbinafsi kwa asili. Ndiyo maana watu wengine hupika kiwango cha ustaarabu wa mtu kwa kuangalia kiwango ambacho amefanikiwa kuushinda...