kufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Vita na mafisadi na wauza madawa ni kukiendea kifo?

    Binadamu wote ni jasiri! Hata mimi na wewe, sote ni majasiri na wakati mwingine vile viwango vyetu vya uvumilivu vinapokoma, nafsi na miili yetu hufika ukomo wa kuona maumivu kufaa kuvumilika tena, na hatimaye hujikinahi na kuona sawa tu kwa lolote! Na hapo mtu hukubali hata kukabiliana na kifo...
  2. Tajiri Tanzanite

    Baada ya kufa sitaki niwe kwenye species ya waafrika, sitaki nakaataa milele

    Hapo vip!! Tokea nije katika sayari hii ya Dunia sijawahi kufurahishwa wala kupenda kuzaliwa katika jamii hii nyeusi ya kiafrika.Ni jamii ninayoichukia sana na angali nipo miongoni mwao. CHuki niliyozaliwa nayo dhidi ya jamii ya watu weusi imekuja kupaliliwa sana na mambo yafuatayo. Kwanza...
  3. kwenda21

    Kwanini tunafanya kazi ngumu sana ikiwa tunafanya kazi ili tuishi?

    Hivi jamani kama tunafanya kazi ili tuishi, sasa kwanini tunafanya kazi ngumu inayopelekea kutuua? If we work for the living,why do we kill ourself working
  4. Phobia

    Kwenye mashirika kuna uzandiki,unafiki na majungu ya kufa mtu

    Kwenye mashirika haya wakuu kuna unafiki,majungu na uzandiki nimechoka aisee na watu wanaongoza kwenye majungu ni wale wenzetu wa ukerewe yaani sio poa kabisa sema tu mimi ni blessed man ukinipiga majungu ndiyo kwanza nazidi kusifiwa na kila mtu yaani imefikia hatua naomba watu wanipige majungu...
  5. Kaka yake shetani

    Ongezeko la shule ndiyo sababu ya shule nyingi kufa na kuibuka mpya

    Elimu inatakiwa kufika kila kona ila sio elimu ili mradi elimu tu. Nilitembelea shule moja iliyopo Yombo Vituka ya wazazi, kiukweli ni kama imebaki magofu ukilinganisha kipindi cha 2008 kushuka chini. Miaka ya nyuma kulikuwa na shule chache zenye ubora na kutoa idadi nzuri ya wanafunzi ila kwa...
  6. Sanyambila

    Mjadala: Kwanini wanaume wengi hufa mapema? Wanawake tuhurumieni please...

    Habari ya Jumapili waungwana! Nimekuwa nikitafakari saana na ukisoma baadhi ya maandiko ya afya, uchumi na wanasaikolojia wote wanazungumzia LIFE EXPECTANCY YA MWANAUME YAANI kiwango cha muda wa kuishi wanaume ni kidogo duuu!! Ndipo nikarejea katika uhalisia, babu alishakufa bibi yupo, mwalimu...
  7. Mtuniwatu

    Naomba msaada wa ajira au connection

    Habari zenu wanajukwaa! Mie Ni kijana wa kitanzania. Shida yangu nakuja kwenu kuomba Ajira mwenye kuweza kunisaidia iwe kwa kuniunganisha mahala nitashukuru. Nina Hali mbaya mno ndugu mpaka inafikia hatua nakunywa uji nalala na familia yangu ya watoto wawili ,yaani mpaka nalia mbele ya...
  8. comte

    Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'

    Kikomo cha kukosa ustaarabu ni kushangilia kifo cha kiumbe mwenzako hasa binadamu hata kama amekukosea kiasi gani. Alipofariki JPM makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu alikiita kifo cha JPM a poetic justice (a fitting or deserved retribution for one's actions). Tunaamini huu pia...
  9. mrengo wa kushoto

    "Metaverse"....Wazo zuri linaloelekea kufa, je liko mbele sana ya muda? Kitu gani angeweza kufanya tofauti kuokoa ndoto hii?

    Kama tunavyojua Mark Zuckerberg alikuja na wazo la Facebook, Social media na kuwa peoneer katika ulimwengu wa SOCIAL MEDIA na huwezi kuongelea historia yake bila kutaja jina lake tunaweza kumuita THE FATHER OF SOCIAL MEDIA. Miaka ya hivi karibuni amekuja na wazo la "METAVERSE" Nakuwekeza sehemu...
  10. MK254

    Magaidi wamtia kiberiti kasisi wa kanisa la katoliki kule Nigeria

    Magaidi kwenye jimbo la Niger (ambalo asilimia 98% ni waumini wa dini isiyopenda kutajwa humu), wamemchomea ndani kasisi wa katoliki huku kasisi mwingine akapigwa risasi alipojaribu kutoroka....Mungu ailaze roho yake pema peponi... ===================== Until his death, Achi was attached to St...
  11. Tajiri wa kusini

    Ponda mali kufa kwaja! Nifanye saving ili iweje? Mimi ni mwendo wa kuponda mali tu

    Kwanza mimi ni marehemu mtarajiwa nifanye saving ili iweje? Nigundue nini hasa? Nitaponda mali mpakss maji yaseme mma kwanza maisha yenyewe ni mafupi hasa cha kufanya saving mimi ili iweje? Juzi kuna mwana 30's amepoteza maisha hivi lakini kwenye account alikuwa na almost 150 million mbio zote...
  12. luangalila

    TBC 1 ni kweli sikio la kufa halisikii dawa?

    Hii TBC 1 kweli imeamua kupuuzia maoni ya watazamaji wake, yaani TBC1 ikishafika saa 10 usiku hakuna kitu zaidi ya mitaarabu tu; hivi hii tabia itakwisha lini? Hamuwezi kutuwekea hata movie tuburudishe akili? Sasa taarabu saa 10 usiku kiukweli haileti afya. TBC1 enzi za Tido burudani za ku...
  13. BARD AI

    Utafiti: Kunywa Maji Mengi kunapunguza hatari ya kupata Magonjwa na kufa mapema

    Unaweza kujua kwamba kuwa na maji ya kutosha ni muhimu kwa utendaji wa kila siku wa mwili kama vile kudhibiti halijoto na kudumisha afya ya ngozi. Taasisi ya Afya ya Marekani kupitia utafiti uliochapishwa na jarida la eBioMedicine umeonesha kunywa maji ya kutosha pia kunahusishwa na hatari...
  14. Suzy Elias

    Tetesi: Utata kifo cha Mchungaji Mnigeria 'pusha' anaedaiwa kufa Segerea

    Ni bwana Oezeama kama sikosei. Mwamba huyo ni Mchungaji lakini 2019 alikamatwa kwa tuhuma za kukutwa na zaidi ya kilo 20 za unga wa cocaine na pamoja naye pia walikamatwa wazungu wawili aliokutwa nao. Inasemekana bwana yule kafia Gerezani Segerea kwa shinikizo la damu. Duru za eneo lile...
  15. Chizi Maarifa

    Bila JF ningekuwa nimeshajinyonga zamani au kufa kwa Stress na upweke

    Kuna watu wengi humu wapweke sana. Na wengi wana matatizo ya akili. Wengi sana. Kuna mtu utakuta kiakili anaamini anasemwa yeye tu kumbe ndo afya ya akili ime-shake hapo. Anakuja kuanzisha uzi humu. " Mnikome sana. Mnanisema mmenizaa nyie?na mkipata shida msije omba msaada mbwa nyie...mtaishia...
  16. B

    Je, Yanga ni sikio la kufa?

    Muda mwingine unaweza kukubali kuwa Yanga ni sikio la kufa iwapo km suala la Fei Toto litawabwaga chini. Je Yanga hawakupata somo kupitia kwa Morison? Ni kweli Yanga Wana wanasheria tena mahili, lakini sio kila nwanasheiria ni mjuzi wa sheria zote na Duniani kote hakuna mtu anasomea sheria kwa...
  17. B

    Je Yanga ni sikio la kufa?

    Muda mwingine unaweza kukubali kuwa Yanga ni sikio la kufa iwapo km suala la Fei Toto litawabwaga chini. Je Yanga hawakupata somo kupitia kwa Morison? Ni kweli Yanga Wana wanasheria tena mahili, lakini sio kila nwanasheiria ni mjuzi wa sheria zote na Duniani kote hakuna mtu anasomea sheria kwa...
  18. saidoo25

    Balile atamba niko tayari Kufa

    MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri, Deodatus Balile amesema yuko tayari kufa lakini hatoacha kuendesha mapambano ya kulinda Mto Ruaha dhidi ya wakulima na wafugaji walioko kwenye eneo hilo. Balile anasema yuko tayari kufa baada ya kupokea vitisho vingi baada ya kutaja familia 12 zinazoharibu Mto...
  19. Restless Hustler

    Anyongwa hadi kufa kwa kupambana na 'Mungu'

    Iran imemnyonga Majidreza Rahnavard ambaye ni Mtuhumiwa mwingine aliyetiwa hatiani kutokana na vurugu kwenye maandamano yanayopinga utawala wa Kiislamu Iran. Amekutwa pia na kosa la kutangaza vita dhidi ya Mungu ambalo adhabu yake ni kifo kwa sheria za Iran.
  20. S

    Natamani kufa

    Kuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli I don't wish to see 2023 hope this one will...
Back
Top Bottom