Samaleko wana Jukwaa na Moderators kwa ujumla.
Unapotokea msiba wa mtu maarufu hapa nchini kuanzia Viongozi, Wafanyabiashara na Wasanii kumekua na mtindo kwenye mitandao hii Jamii watu wakitaka kufahamu mazingira na nyumbani kwa mfiwa kuna Nyumba nzuri? Amejenga?
Ni mtindo uliozuka baada ya...
Tumekuwa kwenye foleni ya magari toka Saa 7 mchana, Hadi muda huu wa saa 11 jioni, ndiyo foleni hiyo ya magari imeanza kufunguka.
Tunaomba watu wa "traffic Police" watueleze tatizo lilikuwa nini?
Kwa kuwa watu wengi wameathirika Sana Kwa kuchelewa kufika makwao Kwa zaidi ya massa 3
Wakili Jonathan Mdeme, aliyekuwa akimwakilisha mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Bernard Membe (69) kwenye kesi dhidi ya mwanahabari Cyprian Musiba, amesema deni la waziri huyo wa zamani wa mambo ya nje kwa Musiba liko palepale na msimamizi wa mirathi ataendelea alipoishia.
Membe ambaye...
Wako wapi waliofurahia kifo cha Samora Machel akina Peter W Botha? Walikufa kwa fedheha.
Waliomuua Patrice Lumumba na wakafurahi akina Mobutu Sese Seko
Waliomuua Thomas Sankara na kufurahia walishakufa kwa fedheha.
Na hata waliofurahia kifo cha shujaa wa Tanzania watakufa kwa fedheha
Habari wadau!
Ninaomba wataalamu mtusaidie hapa hasa wa sociology, psychology, na wale by experience hivi kwanini
1. Wasomi WENGI wanakufa kwa pressure, BP, sukari , pumu n.k.
Sisi wengine tuna KUFA kwa kuhara, malaria, typhoid, hukosa Choo n.k?
2. Wanaume waliooa mwanamke mmoja wanakufa...
Mauti ya mtu ni siri kubwa, na ni kitendawili kigumu kukitegua.
Ingekuwaje tungejua tutakufa lini?
Nasukumwa kuandika uzi huu baada ya kuondokewa na mpendwa wangu Dunstan Charles, msoma ramani mkongwe wa mbio za magari.
Jana nimeonana naye muda kama huu, nilikuwa nataka anisaidie kuniendesha...
Sisi wanasimba furaha yetu tulishazimaliza na kuwapongeza kwa mafanikio yetu ya msimu huu baada ya timu kutoka Morocco. Sisi kauli ni ile ile hatuwadai benchi la ufundi, hatuwadai wachezaji na hatuwadai viongozi hakika malengo yetu ya msimu tumefanikiwa. Tuna kombe la robo fainali, kombe la kufa...
Mbali na kupoteza mechi ya kimataifa kizembe na ku draw na Namungo lakini bado benchi la ufundi hawajifunzi na hata wachezaj hawaoneshi seriousness ya mechi zilizobaki. Wakiingia tu mikwaju ya penality basi wamekwisha.
Yajayo yanagurahisha.
Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea...
Kila kitu kilikuwa kinaenda ovyo kana kwamba tunaongozwa na darasa la saba au nursery kabisa.
Hebu fikiria yafuatayo:
1. Uhuru wa habari ulikuwa umezimwa kama mshumaa ikabaki ni kumsifia tu mpaka kikaanziaha kipindi Cha kishindo Cha awamu ya tano.
2. CAG alivyoibua madudu tu akatumbuliwa...
Ulianza kama ufichuzi ambao ungeyeyuka baada ya muda mfupi wa mihemko na lalama.
Lakini kilichoanzia kati kati ya msitu eneo la Malindi Pwani ya Kenya wiki moja iliyopita sasa kinageuka kuwa donda ambalo kumbukumbu zake hazitafifia hivi karibuni.
Kufukuliwa kwa makaburi ya kina kifupi ambayo...
Wafuatao ndiyo Watu pekee ambao GENTAMYCINE nitawalilia kila Siku na siyo Wengine waliojitakia Kufa kwa Kukubali Kufa huku Wakijiona ambao mpaka sasa naambiwa Wamefikia 60.
1. Mwalimu Julius Nyerere
2. Kwame Nkurumah
3. Kamuzu Banda
4. Kenneth Kaunda
5. Samora Machael
6. Nelson Mandela
7...
Utaahira aliowafanyia waumini wake huyu mchungaji wa huko Kilifi Kenya ukishawahi kufanywa Uganda na mtu anaeitwa Kibwetere.
Financial gains are at the heart of these ludacris acts! Kibwetere aliwaambia waumini wake wakiandae kwenda mbinguni siku flani ya tarehe fulani, hivyo wauze kila kitu...
FATED TO DIE
(MWENYE HATMA YA KUFA)
SEHEMU YA 01
“Baby, mambo ni mengi nashindwa hata kutulia” aliongea Salome akiwa ameshikilia simu yake, yalikuwa majira ya usiku na alikuwa akiongea na mpenzi wake ambaye kwa muda huo alikuwa maeneo ya mbali na nyumbani kwao. Baada ya kama nusu saa kupita...
UPDATE: Miili zaidi imefukuliwa katika Makaburi yanayohusishwa na 'ibada ya njaa', na kufanya jumla ya vifo kufikia 83, huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka
-
Polisi wamekuwa wakizunguka msitu wa #Shakahola kwa takriban Siku 4 baada ya kupokea taarifa kuhusu dhehebu linaloongozwa na...
amavubi gfsonwin
bado
hii
kenya
king'asti asprin
kufa
kufunga
kufunga hadi wafe
kutoka
kutoka kenya
maiti
malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli
mbinguni
njaa
polisi
tanzania
tena
wafa
waliofunga hadi kufa
waumini
Habari vijana wenzangu pamoja na wanajukwaa Kwa ujumla..
Na tumai mko salama wote ,
Jambo kuu ni kwa wapenda sketi hasa vijana.
Vijana Sasa hivi tunakumbwa na magonjwa mengi hasa yanayotokana na kufanya ngongo isiyo salama.
Kuna Kila sababu wanaume kujali sana afya zetu Ili tudumu Kwa mda...
Ilikua jioni moja tulivu, mwanamke mmoja alielekea kisimani kuteka Maji..
Alipokuwa Huko Kisimani Mara Akatokea Mwanaume Mmoja Na Kumuuliza Yule Mwanamke "samahani Dada yangu Hivi Unaweza Kunitajia visa vya mwanamke?".
Yule mwanamke ghafla Akaanza Kulia Huku Anapiga Makelele Kwa Sauti Sana...
Habari wakuu.
Nimekuja tena kuwatisha. Ipo hivi, watu wengi wanafikiri pombe huchochea utendaji wa akili, ukweli ni kuwa pombe hupunguza utendaji wa akili. kama ilivyo heroin. Ndiyo sababu mtu aliyekunywa pombe hawezi kufikiri wala kutenda mambo sawasawa. Inafanya hivyo kwa kuzuia sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.