Utabiri wa mwisho wa dunia umetolewa miaka mingi na mbali mbali huko nyuma.Utabiri wa namna hiyo ulipita na kuondoka na baadae watu kurudi kwenye shughuli zao na starehe zao kama kawaida.
Tangu kuzuka kwa corona binadamu wamepatwa na hofu iliyo kubwa kiasi kwamba wale waliozowea kuona dunia...
wana jf
kwa sasa naona bendi nyingi zimegukia mwendo wa bia kama kiingilio, sijui wanalipanaje lakini najiuliza hawa wakongman wamefanyiwa nini hawatungi nyimbo mpya au wanaangushwa na maproducer wa tzm tuje kwenye bendi zetu zilizikuwa zinaiga miziki ya kongo na kuigeuza kuwa ya kitzed m nao...
Jana mkuu kasema hatatekeleza adhabu ya kunyongwa kwa watu walopewa hukumu hiyo, sasa nashauri sheria hii ifutwe badala ya kila anayekuja kuipotezea... ugumu uko wapi kuifuta sheria hii?
Jukwaa la habari na wachambuzi mbalimbali wanadai kukosekana kwa wateja kwenye vyombo vya habari kumeletwa na teknolojia ya mitandao!
Wanadai kwamba Siku hizi watu wengi wanapata taarifa mitandaoni hivyo ndiyo maana hawanunui magazeti au kuangalia TV.
Madai kama haya hayaakisi ukweli halisi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.