Muuguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, David Mtaita (30) amejinyonga hadi kufa kwa kutumia kamba ikiwa ni baada ya kujichoma sindano ya kutuliza maumivu.
Akizungumza leo Alhamisi Aprili 29, 2021 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo amethibitisha kutokea kwa tukio...
Kimbunga hiki/upepo mkali ukiambatana na mvua kubwa huenda vikatokea pwani yetu hususan miji ya Lindi,Mtwara,Dar es salaam,Unguja,Mombasa,Malindi
Chanzo kinasema upepo huo unatarajiwa kati ya tarehe 21/4/2021 na 26/4/2021.
Hivyo tuchukue tahadhari na bahari kwa siku hizi,na kufuatilia utabiri...
Mimi sijui kwa nini ile reli yetu ya kaskazini ilikufa na tufanyeje ili hii iliyofufuliwa isife kamwe? Tumejifunza mengi sana kwa hayati John Magufuli, na Mungu amuweke mahala pema peponi. Mimi nahamini kila binadamu ataenda peponi na hilo ndiyo kusudio la Muumba wetu.
Je kuna nini cha...
Mods naomba msifute uzi huu kwa maslahi ya taifa kwa ujumla.
Kiukweli kwa hali jinsi inavyoenda miaka miwili itakuwa mingi treni ya Deluxe kutoka Dar kwenda Arusha itakufa. Kwa Kigoma sijajua maana ni wavumilivu sana, sio walalamishi
Tunakumbuka jinsi mwendazake (JPM) alivyotumia nguvu na...
Magufuli pamoja na mazuri yote yanayosemwa kama yapo, lakini ndio kiongozi pekee Tanzania aliedhibiti sana vyombo vya habari kuliko Raisi yoyote yule. Kama Kuna watu hawalioni hili kuna tatizo.
Baada ya kuanzisha Bunge Live, ni Utawala wa Magufuli pekee ndio ulioondoa Bunge kuoneshwa Live.
Ni...
Watu 20 zaidi wamefariki kutokana na kupata Virusi vya Corona na kufanya idadi ya watu waliofariki kwa Corona nchini Kenya kufikia 2,244
Aidha watu 460 wameripotiwa kupata maambukizi ya virusi kwa saa 24 zilizopita idadi inayofanya walioambukizwa kufikia 139,448
Wizara ya Afya imetangaza watu...
Nauliza tu kwa nyie makamanda mliomo humu jamvini, baada ya komandoo wa kupambana na ufisadi hayati Magufuli kumaliza safari yake hapa duniani, CHADEMA itairudia ile sera yake ya kupambana na mafisadi?
2015 CHADEMA waliachana na sera ya mafisadi baada ya kuwapokea makada maarufu wa CCM...
Kwanza kabisa natangulia kusema SIIJUI KESHO YANGU lakini siwezi kuwa mnyonge kila siku.
Watanzania tumejengewa dhana potovu sana. Hivi unajua kujiita mnyonge ni kujidhalilisha?
Kama ulikua hujui usipopata changamoto katika maisha utakuwa mjinga tu,ukiishi ukiamini"mimi ni mnyonge" utakuwa...
Duniani wanaitwa wasomi, Afrika wanaitwa wasomi ila Tanzania nachelea kuwaita wasomi.
Endapo Mawakili mtashindwa kuungana nakupigania Uhuru wenu basi kitambo kidogo mtapigania kutoka gereza la fikra. Mkwamo wenu ni mkwamo wa jamii, nimkwamo wa Taifa. Natambua mna familia ila nawakumbusha kuwa...
BINADAMU WOTE TAYARI TULISHA KUFA, KWASASA TUNAONESHWA KILA MTU JINSI ALIVYO ISHI.
Unaweza kuta wote tupo mbinguni tayari, halafu haya maisha yanayo endelea ni kumbukumbu ya kila mtu kwa maisha aliyo yaishi kipindi yupo duniani. mungu anakuonesha ulivyo ishi kumbukumbu ikiisha inaonekana...
Biashara ya kujenga na kupangisha Tanzania inaelekea kufa kabisa. Sasa hivi hii biashara inapumulia mashine ICU.
Kwa wakazi wa Dar es Salaam mtakuwa mashahidi, malls nyingi na majengo mengi ni matupu miaka sasa, Mkuki house sasa inaanza kujaa panya, Quality Centre and Plaza mnajua...
Licha ya suala hili kubaki kuwa la muhanga na tukio lenyewe la kifo bado zipo tafiti za kitabibu zilizofanyika miaka ya karibuni zinazotoa majibu changamani ya wahanga yanayoweza angalau kudokeza kiasi juu ya nini kinachoendelea.
Upo utafiti ulifanywa kwa manusura wa shambulio la moyo 140...
Mbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima ameongoza sala ya kumuombea marehemu Dr Kijazi nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam na sasa anaongoza msafara ambao umeanza kuelekea viwanja vya Karimjee ili viongozi na wananchi wapate fursa ya kutoa heshima za mwisho.
Zoezi la kutoa heshima za mwisho...
Maalim Seif alikuwa ndio nguzo ya CUF na alipohama CUF nayo ikawa imekufa " kimsingi " Maalimu Seif akawa nguzo ya ACT Wazalendo ambayo wabunge wake wote ni wafuasi binafsi wa Seif. Kufariki kwa Maalim Seif kunaweza kuwa ndio mwanzo wa kifo cha ACT Wazalendo pia.
Lakini naamini Mwamba Zitto...
Wengi nikiandika humu maisha yangu wanadhani mimi ni tajiri. Wala si tajiri. Maisha ya kumiliki gari GMC,RR,Mercedes Benz, BMW, VW za miaka ya hivi karibuni na kukaa apartment Oysterbay si utajiri.
Nawakatilia kabisa.ni maisha ya kawaida ambayo mtanzania yeyote anaweza ishi. Mimi kusafiri kwa...
Huyu sichana ni jinga na huyu kijana hajielewi.
Alianza kumtafuta Peter wa P square akijisogeza sogeza kwama awe anampost. Akaweka waji kwamba akiconnect na watu maarufu atapata fanbase kubwa. Peter wa P Square akamtolea nje.
Alipopata kuona macho ya huyu mondi yanamwelekea akajibeba mzima...
za jumapili na weekend kwa ujumla,
ni wazi kwamba wengi wetu tunajua nini ambacho mama diamond amekiwasha huko anga za habari na kusababisha kila mahali kuwa ngumzo tu,
kwa yanayoendelea nin halali kabisa kwa familia nyingi kupoteza wanaume kwa maana ya kufa na wanawake kuwa ndio wenye nyumba...
Waziri wa Serikali za Mitaa, Lingson Belekenyama na Waziri wa Usafirishaji, Sadik Mia wamefariki Januri 12 asubuhi kutokana na COVID19.
Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera ametangaza siku tatu za maombolezo kwa ajili ya mawaziri na wamalawi waliofariki kwa COVID19.
Bendera zitapepea nusu mlingoti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.