Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe imewahukumu kunyongwa hadi kufa Washtakiwa tisa akiwemo Beatus Salum aliyekuwa Mtendaji wa Kijiji cha Kipengere Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe Mkoani Njombe kwa makosa ya mauaji ya Ndugu wawili mwaka 2020 Kijijini hapo.
Hukumu hiyo ya kesi ya mauaji namba...
Polisi Moro wakiwa na vifaa vyao timamu, yakiwamo yale magari pendwa yenye uwezo kamili wa kuzima moto bali yakitumika kama washawasha wamefanya mazoezi ya kufa mtu Moro:
https://m.youtube.com/watch?v=kKIzxrOI-V4
Ni wazi kuwa isingalikuwa taabu kuudhibiti moto ule na mapema asubuhi Kariakoo...
GENTAMYCINE nilikuwa naambiwa hakuna Madereva Waliodata na Wasioogopa lolote, Wathubutu na Majasiri kama wa Masafa Marefu ( Malori ) ila kwa nilichokishuhudia Mubashara leo Ubungo SIMU 2000 nimekubali na Kuwanyooshea mikono.
Ilikuwa ni mida ya Saa 7 Mchana ambapo Askari wa Ubungo SIMU 2000...
Hebu angalia teuzi nyingi za siasa hapa tanzania wengi wamesoma masomo ya Sanaa i.e hgj, hgl, hgk nk.
Nakumbuka wakati tupo secondari ikionekana unsoma masomo hayo kila mtu anakudharu na unaonrkana booonge la kilza.
Tuliyokuwa tunaonekana na kila mtu anatuheshimu na kitupigia salute ni wale...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salalam, iliyoketi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, All Balanda Idofulo, kunyongwa hadi kufa, baada kupatikana na hatia ya kumuua mkewe, aitwaye Selan Kondo kwa kumchoma kisu begani.
Hukumu hiyo imetolewa leo Jumanne Septemba 26, 2023 na Hakimu...
Yes, kama kichwa cha uzi kinavyosema" Chama cha siasa kisicho tofautiana mitazamo baina ya wanachama ni chama kilicho kufa".
Chama chochote cha siasa hapa duniani ambacho wanachama wake wote wanakubalina kila kitu anachosema sema mwenyekiti au katibu bila pingamizi lolote hata katika mambo ya...
Hello,
Nichukue fursa hii kuwaasa waluojipumbaza kwa kushabikia kuoa na ndoa, kama mnapenda sana kuoa basi chunga sana wanaume wanaoingia mkenge Kwa kuoa wanawake micharuko wengi wameishia kufa maskini wa kutupwa.
Epuka kuisha kama ngedere na ukazeeka na kufa maskini kataaa uzombi wekeza...
Aloo dunia ina mengi!
Mwamba alianza kwa kunyanyua vyuma, mwili ukawa jumba na mtaani akawa anatisha. Vijana wakamuogopa na vichuchu vikampenda. Kazi alikuwa nayo nzuri tu, hivyo kila mchuchu alieingia chumbani kwake alihitaji aishi nae.
Anyway jamaa kwa vile umri umesogea, ikabidi ateue...
Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kuelimika zaidi kutoka Kwenu Wepenyaji wa Milangoni ( kama GENTAMYCINE ) na Wamiliki hasa na Milango yenyewe husika ambayo Kiasili inasemeka huwa inapitika muda Wowote na kwa Mzigo wa aina yoyote ile.
Bado dunia iko kwenye kizungmkuti cha kinachoitwa kifo cha Boss wa Wagner PMC Prigozhin na wenzake katika ajali ya ndege.
Huyu mwamba aliwahi kufeki kifo chake hivihivi kwa jina lake kuonekana lilikuwemo kwenye list ya watu waliosafiri. Hii ilikuwa ni ajali ya ndege iliyotokea Congo mwaka...
Habari ya usiku wakuu,
Natamani kupata ka vaccation kidogo nipunguze machungu ya hii dunia.
Nimekua nikitamani kwenda Dubai na kwa mambo ninayopitia naona kama huu ndio wakati muafaka wa kwenda huko nikiamini nitafurahi kidogo na kusahau kidogo mateso ya dunia hii.
So wakuu hiyo pesa itatosha...
Kuna kijiwe ambacho mida ya jioni, wazee hukutana kujadili baadhi ya vitu na kubadilishana mawazo, watu wengi hukusanyika hususani vijana kuchota busara za wazee hao.
Watajadli mambo mbalimbali kuanzia mpira, Imani mpaka siasa na yote wanayojadli vijana huokota chochote Cha kuwafaa maishani...
Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, mtu akifanya yafuatayo huhesabiwa kama amefanya kosa la jinai la uhaini hivyo huadhibiwa kulingana na ukubwa wa kosa hilo.
Kifungu cha 39 (1) cha kanuni za adhabu kinasema kuwa mtu yeyote ambaye yumo ndani ya Jamhuri ya Muungano au popote, kujaribu kumuua...
Tumewahi kuona mikataba mikubwa ya kuuza au kubinafsisha raslimali zetu ikisainiwa kati ya Tanzania na mataifa mbalimbali lkn huu wa kuuza bandari zetu unaoneka kuwa utavunja rekodi ya kuwa mkataba mbovu kuwahi kusainiwa na rais aliye madarakani na utamwachia legacy mbaya Rais Samia.
Tukiondoa...
Fernando Villavicencio ameshambuliwa wakati akitoka kwenye mkutano wa kampeni wa uchaguzi ujao wa Rais katika Mji wa Kaskazini wa Quito.
Mwanasiasa huyo ambaye pia ni Mbunge baada ya kuhitimisha kampeni akiwa anelekea kupanda gari ndipo Mwanaume akajitokeza na kumpiga risasi tatu kichwani...
Watu 13 wanahofiwa kufariki dunia huku wengine 14 wakiokolewa baada ya mitumbwi miwili kuzama ndani ya Ziwa Victoria wakati wakitoka kusali ibada ya Jumapili Kijiji cha Ichigondo Wilaya ya Bunda mkoani Mara.
Akizungumza kwa simu na Mwananchi leo Jumatatu Julai 31, 2023, Mkuu wa Wilaya ya Bunda...
Naam,
Siku moja Nabii Mussa (a.s) alimueleza MUNGU yakwamba; Ewe Mwenyezi MUNGU nina maombi nataka nikuombe.
Mungu akamjibu, omba ombi lako lolote Mussa, mimi nitakujibu.
Mussa akamueleza Mwenyezi Mungu
Ewe mwenyezi Mungu, ninakuomba hizi habari za kuwachoma watu kwenye moto siku ya mwisho...
Haieleweki nani anawamaliza na kwa nia gani...
Hawa oligarch ndio huwa wamemuweka Putin mjini kwa hela yao....
Russian Billionaire Igor Kudryakov — US Times Post/File
At the age of 64, billionaire Igor Kudryakov, one of Russia's oligarchs, was discovered dead in his Moscow flat following a...
Watu wasiojulikana na waliojihami kwa silaha katika mji mkubwa zaidi wa watu wanaozungumza Kiingereza nchini Cameroon, wamewaua takriban watu tisa, wakiwemo wanandoa wapya.
Simplice Lontsi Tsomene, 37, na Hélène Raisa Tanga, 25, walikuwa wazazi wa watoto watatu na walikuwa na duka la simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.