Utabiri wa mwisho wa dunia umetolewa miaka mingi na mbali mbali huko nyuma.Utabiri wa namna hiyo ulipita na kuondoka na baadae watu kurudi kwenye shughuli zao na starehe zao kama kawaida.
Tangu kuzuka kwa corona binadamu wamepatwa na hofu iliyo kubwa kiasi kwamba wale waliozowea kuona dunia...