Habari Hongera na weekend!
Nianze hivi kilichomkuta Kaizer sio kusema kanunuliwa sio kusema sijui ana udhamini wa GSM ni kapigwa Mpira unaitwa Kosa Kujisahau tu.
Kwa wasiojua Kaizer Alienda Pre season nje ya Sauzi na tangu atangazwe NABI alikua hajapoteza huko Pre-Season yani ilikua full dozi...
Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka.
Choo mlangoni wameweka gunia au khanga
Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga.
Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri.
Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa...
Naomba nieleweshwe kabisa maana leo wakati nipo na washikaji tunapiga story nikaambiwa na hawa watu wakristo ya kwamba hata kama mtu amefanya mabaya sana kama vile amefanya mauaji kama yale ya akina ben saa nane,azory gwanda na akwalina au yale mauaji ya zanzibar akiombewa kwa sala ya toba eti...
Tatizo la miguu kufa ganzi na kuuma linaweza kusababishwa na hali ya kukaa kwa muda mrefu kupelekea kupunguza mtiririko wa damu au kuweka shinikizo kubwa kwenye mishipa.
Kutetemeka na kufa ganzi kwa muda mrefu au isiyoelezeka kwenye miguu (paresthesia) inaweza kuashiria athari katika mfumo mkuu...
Kuna kisa kimoja kilitokea marekani ambacho mama mmoja alijikuta mikononi mwapolisi baada ya kwenda kituoni kuanza kueleza kuwa eneo fulani kuna mwili wa mtu fulani nendeni mkautoe.
Lile jambo liliwashtua polisi na kuanza kufanyia uchunguzi ila kutokana na umbali mfano tuseme mama yule yupo...
Hatua za kufa au kufariki
Kila kiumbe kitakufa.
Mwanadamu naye atakufa.
Kila kiumbe kina hatua yake ya mwisho na ndipo kinafikia kukufa.
Hakuna dawa ya kutokufa.
Ila zipo njia za kupunguza kufa mapema.
Kupiga kelele sana kunakafanya uzeeke mapema na kufa mapema.
Kushangilia sana kunakufanya...
1. Mrembo sana
2. Msanii (wa filamu, muziki)
3. Askari
4. Baa medi/hotelia
5. Mlokole
6. Nesi / Daktari
7. Msomi (Hasa ngazi ya chuo kikuu)
8. Mwanamke kutokea familia ya kishua
NB. Picha haihusiani na mada
"Siku hizi Mtu akiwa tu ni Maarufu, Mchekeshaji, Msanii au Mbwabwaji Mitandaoni basi haraka sana anakuwa Mtangazi wa Redio na Tv. Naumia sana kuona hii Fani yenye Heshima kubwa duniani kote sasa hapa Tanzania ikiwa ipo ICU na Siku si nyingi inaenda Kufa kabisa. Sikatai ujio wa Teknolojia kwani...
Habari za Leo mabibi na mabwana.
Mnamo 14/05/2024 tulimzika mzee mmoja kijijini kwetu jina (..)
Mzee yule alikuwa amemuoa shangazi yangu Mimi. Chanzo Cha kifo chake ni ugonjwa wa kisukari uliodumu Kwa muda mrefu.
Baada ya kuzunguka huku na huko na hospital mbalimbali kutafuta matibbu ya...
Tembo na jamii ya nyani wanaonekana kuomboleza wanapompoteza mwenzao pengine na dolphin kwa jinsi alivyo na akili huenda akawa anajua japo sina uhakika.vipi kwa wanyama wengine Kama Fisi,simba,ngamia,punda,kuku na wengineo huwa wana kaa na kufikiria kwamba kila nafsi itaonja mauti?yaani ukute...
Mwl Nyerere philosopher
Nelson Mandela -Politician and activist
Bob Marley , Muimbaji wa Reggie
Mohammed Ali, boxer
Malcolm X -Mwanamapinduzi
Martin Luther king Jr - Activist
2 PAC - huyu ni msanii wa hip hop
BIG notorious - Artist .
Habari za wana JF?
Kwa kipindi cha miaka miwili sasa Bibi yangu amekuwa na tatizo la kuishiwa nguvu kwenye miguu, Umri miaka 70.
Akisimama kwa mda wa lisaa lazima aanguke chini, akitembea nyayo zinakuwa na ganzi.
Naimbeni tiba na ushauri.
Yuko DAR ES SALAAM.
Ombi la rafiki yangu wa karibu...
UPDATE
Kituo cha Taifa cha Majanga kimeomba Msaada wa Uokoaji kwa Jumuia za Kimataifa na kueleza kuwa takriban Watu 2,000 wamefukiwa na katika Maporomoko ya Udongo yaliyotokea Mei 26, 2024
Kituo hicho kimesema bado idadi kubwa ya Wanakijiji wamezingirwa na Vifusi, hawana msaada wowote na hali...
Mtoto mdogo anayedaiwa kuwa alikuwa ni mwanafunzi wa darasa la 6 Shule ya msingi Malamba Mawili amejinyonga eneo la Msikitini.
Mwili huo umegunduliwa ukining'inia chini ya mti mbele ya nyumba ya mtu ambaye inadaiwa watu hawakai hapo.
Polisi wamefika eneo la tukio wamechukua mwili wa marehemu...
Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Jimbo la Tanga Rogassion Hugho anadaiwa kujinyonga hadi kufa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amezungumza na JamiiForums na kusema “Ni kweli huyo Mwanafunzi wa Upadri amekutwa amejinyonga kwenye...
Sio jellyfish wote hawafi ila kuna huyo kitaaluma anaitwa Turritopsis dohrnii yeye pia huanza maisha kama lava, inayoitwa planula, ambayo hukua kutoka kwa yai lililorutubishwa. Planula huogelea mara ya kwanza, kisha hukaa kwenye sakafu ya bahari na kukua katika koloni kisha hutokeza medusa hii...
Watu wengi wamekua wakijiuliza kwa nini siku hizi night clubs zinakufa sana, mfano Maison na nyinginezo hapa Tanzania.
Ukweli ni kwamba night Clubs Dunia nzima zinakufa kwa sababu kizazi Z ambao ndio walipaswa kua wanaruka majoka usiku kucha hakipendi kwenda night Clubs.
Sababu nyingine ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.