Sina tabia ya kujadili ishu za mahusiano hapa jukwaani lakini nimeona niongee kidogo na Zuchu.
Zuchu unatakiwa kufahamu ukiingia kwenye mahusiano na Diamond tayari upo vitani.
Najua sasa hivi hauelewani na ndugu wa Diamond kasoro yule mpwa wa Diamond.
Umegombana na wadada wa mjini na...
Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million
Maisha ya siku hizi njia za kupata mikopo zipo nyingi na tofauti
Wapo watu wanaokopeshana wenyewe pasipo kuhusisha taasisi za mikopo huku wengine wakitumia taasisi za mikopo
Nahitaji kufahamu vigezo hii itasaidia endapo nataka...
Wakuu mimi ni Mgeni katika mkoa huu wa IRINGA, lakini pia ni mchezaji wa basketball, Ningependa kama kuna mwenyeji au yeyote anayefahamu viwanja vya basket iringa vinapatikana wapi.
Naomba unitajie viwanja vyote unavyovijua na sehemu vilipo
Mi nipo IRINGA MJINI.
Ahsante sana kwa atakaeshiriki...
Habari zenu,
Naomba kufahamu kwa mtu alekuwa akifanya kazi shirika zisizo za Kiserikali kisha akahamia taasisi za umma, akiwa shirika binafsi alikuwa akichangia kwenye mfuko wa jamii la NSSSF.
Je, akihamia Serikalini huyu mtu ataweza kutoa mafao yake NSSSF?
Habari za siku, wabunifu na watengenezaji wa multimedia!
Huu uzi ni maalumu kwa kuwakaribisha nyote wenye ujuzi na ubunifu katika usanifu na utengenezaji wa michoro ya kidijitali (digital graphics), video fupi, na sauti (audio) kwa ajili ya utambulisho (branding) na utangazaji wa biashara...
Habari zenu
Nataka kusearch mtandaoni ile midoli inayovalishwa nguo katika maduka ya nguo
Naomba kuuliza je kwa kiingereza inaitwaje? ili niweze kuisaka huko Alibaba
Ahsanten
Fahamu mambo ambayo huruhusiwi kuyafanya unapotembelea Dubai
1. Ingawa Dubai ni kitovu cha mitindo, hauruhusiwi kuvaa Nguo fupi, zinazobana sana, au zenye kufichua Mwili kwa kiasi kikubwa katika maeneo ya Umma. Hakikisha unavaa Mavazi yanayofunika Mabega na Magoti unapokuwa hadharani
2. Pia...
Nataka kuwa wakala wa kuuza magodoro ya TANFOAM ARUSHA, naweza kupata mawazo jengefu zaidi kuihusu hii biashara.
Nataka niuze mattress, mataulo, mashuka nk. Mbeleni niongezee vitanda pia.
Hii biashara changamoto zake ni zipi na faida yake imekaaje kwa wenye ujuzi nayo tafadhali.
Ahsanteni.
Wadau najua wengi tunatumia sana Bodaboda,swali je unafahamuje kuwa boda boda niliyemchukua ni mharifu?
Basi ungana na mimi kujua ni jinsi gani walivyo na endapo ukiona yupo hivi jua huyo ni muharifu usipande bodaboda wake.
Kwanza chombo chake lazima kiwe kikukuu!
Bodaboda yake lazima iwe ni...
SURA YA AROBAINI NA SITA
DESTURI YA KUTAFUTA WACHAWI, NA JINSI YA KUWAADHIBU
Hapo zamani mtu akifariki, akiwa mwanamume au mwanamke, wenye ndugu baada ya kumaliza kilio tu huenda sehemu mbali mbali kutafuta ni kisa gani kimemwua yule ndugu yao. Basi safari hiyo hufungwa kwa kuambatana kwa...
Wakuu nadhani mtakuwa wazima Afya .
Ndugu zanguni nimekuja na ombi langu kwenu,na siku zote jamii forum ni sehemu imejaa waungwana kweli kweli.
Ombi langu ni kufahamishwa chimbo la vifaa vinavotumiwa zaidi na mafundi seremala Kama vile tapes,misumari,msasa,gundi ya mbao aina zote,vanishi nk...
Hello wakuu.
Ningeomba kufahamu, ni nyimbo gani zinaweza kua identified kua hizi ni za asili halisi ya Kitanzania, yaani Bongo-Flava.
Maana kwa wingi muziki wetu wa nyumbani umekua influenced na miondoko ya nje, tofauti ikiwa tu ni lugha ndio Kiswahili.
Sasa, kwa wale wadau wa haya mambo...
Habarini ndugu zangu wapendwa wanajamvi,
Naomba kufahamu ikiwa inawezekana kama mzazi kuwajibishwa kwa kosa alilofanya mtoto wangu. Hali iko hivi: hapa mtaani kuna mzee fulani anasema anataka kunipeleka kwenye vyombo vya sheria kwa sababu binti yangu alivunja kioo cha gari yake.
Walikuwa...
Yuko nchi gani!?
Uraia wake!?
Anafanya Nini!?
Anaongea lugha gani?
Ni kweli Ni mkulima?
Karibuni.
JF hakipoi kitu. Najua Kuna watu Wana taarifa sahihi.
Tufanye hivi Uingereza na Waingereza hapa utakuta
U.K
Canada
Australia
New Zealand
U.S
Pia Uchina na wachina hapa utakuta
China
Hong-Kong
Macau
Taiwan
Singapore
Hapa tunaweza weka mjumuisho mwengine mkubwa wenye maana kama tukihitaji uelewa zaidi China, Japan, Korea maana hizi ni jamii...
Leo nilipokuwa ninaperuzi mtandao wa Quora, nilikutana na mada moja inayohusiana na mighahawa ya KFC na McDonald barani Afrika.
Mmoja wa wachangiaji alieleza kuwa Afrika Kusini na Misri ndizo nchi zinazoongoza kwa kuwa na hiyo mighahawa barani Afrika. Hata hivyo, baadhi ya matawi ya KFC Afrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.