Kuna mwanamke ninaye yaani kila nikitafakari naona napigwa akinitafuta ujue anaomba hela, nikishamtumia hata kushukuru hawezi ukimwomba mapenzi ananizungusha zungusha mpaka tugombane ndio atanipa sasa kivumbi jana usiku nimerudi zangu job nimekaa sebuleni kucheki movie nikaingia whatsapp...
Ndugu WanaJf,
Jana niliweka hapa bandiko linalohusu pesa za kujikimu wilaya ya Ileje kufanyiwa zengwe na baadhi ya viongozi,Kuna issue mpya imeibuka ambayo tunaomba wanaojua humu watusaidie sisi ajira mpya.
Issue yenyewe ni hii:pesa za kujikimu zimetolewa na zimefika halmashauri,wakaziweka...
Naomba msaada wa hivi vinyama vilivyoniota pembezoni mwa shimo la haja kubwa vinaitwa piles kwa kimombo, kiswahili sijui. Hivi vidude huwa vinauma na kuacha, naweza kukaa miezi 8 hadi mwaka sivisikii ila vikianza kuuma nashindwa kukaa au hata kutembea. Naomba msaada wa dakatari yoyote...
Salaam!
Naomba mwenye ufahamu anijuze mtandao ulio kama JamiiForums katika ngazi ya Kimataifa, usihusishe Facebook, Twitter, na Instagram.
Ninapendelea forums zenye mijadala fikirishi, yaani, yenye mada zinazojenga ufahamu mzuri.
Asante.
Wakuu habarini za jioni!
Nafikiria kuanza mchakato wa kufunga ndoa na huyu mchumba wangu wa tangu vidudu Hadi Sasa, kutokana na Mambo kadhaa ambayo yapo nje ya uwezo wetu, naomba kufahamu utaratibu wa kufunga ndoa ya serikali upoje? Nikiwa namaanisha process za kufunga ndoa ya kiserikali upoje...
Haya maneno mawili yananichanganya kidogo naomba mwenye uelewa aniandikie hapa nijifunze Kufanikiwa si ndio kutajirika huko au kutajirika ndio kufanikiwa kwenyewe mi sielewii.
Kabila la Wachaga linafahamika kwa wengi kuwa linapatikana mkoani Kilimanjaro.Kwa asili, Wachaga ni mchanganyiko wa Wamasai, Wasambaa, Wataita, Wakamba na Wakahe.
Wachaga walianza kuhamia kwenye miteremko ya Mlima Kilimanjaro kwenye karne ya 17.
Walipofika wakiwa katika vikundi vidogovidogo...
Je, kuna utaratibu uliotolewa na wizara ya elimu kupanga kiwango cha utoaji wa mchango wa chakula kwa shule za msingi uwe hivi kwa shule za serikali zote? Maharage dum la 3, mahindi dum la 12 na hela sh20,000 tena zitolewe kwa mara moja.
Kama ndiyo, Serikali haioni ni mzigo kulipa haya kwa...
Wasalaam Wakuu.
Naomba kufahamu mwenye uelewa juu ya mafundisho ya Rui na imani ya Kibahai.
Nimepitia mtandaoni, nimeambulia kitu. Ila bado sijashiba na kuielewa barabara juu ya imani hii mpya kuisikia.
Natanguliza Shukrani.
Cc Mshana Jr
Mimi huwa nasikiliza miziki ya Kicongo lakini sio mjuvi sana wa kudadavua mziki huo.
Sasa nimekuwa nikipata mkanganyiko kuhusu Wenge BCBG na Wenge Musica.
Naombeni mnijuze, haya makundi yana uhusiano? Na je waliwahi kufanya kazi pamoja? Lipi ni kundi lenye mafanikio zaidi?
Karibuni mtiririke...
Naomba kujuzwa Kwa utaratibu wa kubadilisha jina Kwa mtumishi wa umma kwenye I'd yangu ya NIDA Ili majina yaende sawa ,kama iliyo kwenye ajira yangu ,nawasilisha nilishaenda NIDA ila walivyogundua mimi ni mwajiriwa hawakuendelea,na hili jambo linakuwa ni changamoto kwangu
Mambo vipi wanajamii forums
Ningependa kuchukua fursa hii kuuliza
Hivi gharama za mafundi wakuinstall steel structure huwaga wanachaji kwa mfumo upi ikiwa unataka kumuuzia kazi ya installation ya steel structure full mpaka mabati ya juu na pembeni huk mnatumia puff panels kuzunguka godauni...
Mimi sio mpenzi sana wa kufatilia mpira, huwa nacheki games muhimu tu ambazo zinazungumzwa sana mitandaoni. Sasa kuna baadhi ya vitu natamani kuvijua. Kwa sababu humu kuwa wakongwe wa haya mambo naamini nitapata kuelewa.
Huwa najiuliza maswali haya,
_ hivi wale linesman huwa hawaruhusiwi...
Habari zenu watu wa Mungu,
Naomba msaada wa kufahamu juu ya namna gani nitalipwa mafao yangu baada ya ajira yangu kukoma. Niliajiriwa katika kampuni binafsi na niliajiriwa nje ya taaluma yangu.
Je naweza kupata mafao yangu yote kwa mkupuo?
Shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.