kufahamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Naomba kufahamu ni namna gani naweza kujiunga na JWTZ baaada ya kumaliza kidato cha sita

    Mwaka huu namaliza kidato cha 6 na ningependa kujiunga na jwtz baada ya hapo na inakuaje Kama sitapangwa JKT.
  2. M

    Naomba kufahamu gharama za kujenga hii nyumba

    Wakuu habari za mwaka huu wa 2022! Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimeshajenga msingi tu. Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master, choo Cha public kipo ndani pia, sebule, jiko, stoo, dining, veranda mbili nyuma na mbele na pia kuna gharama za kuchimba chemba ya choo na kujenga fensi/ukuta...
  3. Idugunde

    Job Ndugai watanzania wanataka kufahamu ukweli, itisha press conference. Eleza ukweli, tatizo ni mkopo au urais?

    Mpaka sasa kuna wingu kubwa sababu ya Ndugai kusakamwa na mpaka akajiuzulu. Kama kuhoji juu ya mkopo wa tril 1.3 huku kuna tozo za miamala haukuwa na kosa. Maana ulihoji kama Spika na mtanzania. Kama una nia ya kugombea urais napo hauna kosa maana ni haki yako ya kikatiba. Sasa, watanzania...
  4. Sky Eclat

    Unaponunua viwanja vya mradi wa viwanja, unaweza kufahamu ujirani?

    Unaponunua nyumba au kiwanja ni uwekezaji wa kudumu. Ni muhimu ufahamu; Kiwango cha uhakifu, Utoro na mahudhurio ya watoto ma shuleni, Kiwango cha kelele na udhibiti wake. Haya mambo uyafahamu wakati umehamia, yanaweza hata kuathiri thamani ya nyumba au kiwanja unapotaka kukiuza. Mfano tu...
  5. Mshirazi

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje... ============== July 2014 UPDATE:
  6. MwanawaMUNGU41

    Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Habari wadau, Baada ya kuwa kwenye ajira kwa miaka 10 na kuona msoto uko pale pale,nimeamua kuingia kwenye kilimo kama njia ya kuongeza kipato cha ziada. Nimeanza kwa kukodi shamba Ruvu kwani mimi niko Dar na niko kamili kwa kuanza na heka 2. GHARAMA Nimekodi shamba laki 3(@150,000),nikafyeka...
  7. Superbug

    Naomba kufahamu kama hawa jamaa walikufa au walipona

    Kuna video inatrend jamaa wawili wako kwenye gari ndogo wanajirekodi video. Kufumba na kufumbua gari ya mbele yao inafunga break ghafla wanaipiga kwa nyumba hawaja kaa sawa dreva anataka kuitoa pembeni wanakutana na Basi uso kwa uso na wote wananyamaza kimya kwenye video. Je, wamekufa? Hiyo...
  8. Panctuality

    Naomba kufahamu hili kuhusu Rejesho la NSSF

    Habarini wadau, nizame moja kwa moja kwenye lengo la uzi. Kumekuwa na Changio la NSSF la kisheria kwa wafanyakazi wa umma na binafsi na baadhi yenu mmekuwa mkisaidia taasisi zenu kukusanya na kudeposit kwenye control number husika. Cha kushangaza kama inavyosemekana ni kwamba imekuwa ngumu...
  9. Superbug

    Naomba kufahamu CV za Prof. Mark Mwandosya na Prof. Homeli David Mwakyusa

    Nianze na Profesa Mwandosya Ni mhandisi wa umeme Alisomea Japani Amefundisha vyuo vikuu vingi kwanjia ya video conference kitambo Hakusomea masters ila akawa Prof how? Alikuwa wizara moja na JK enzi za Mwinyi. Wakagombana. Mwinyi akawapatanisha JK alipokuwa waziri akamteuwa kwenye serikali...
  10. Liston Cosmas

    Nahitaji kampuni zinazoweza kunitengenezea kreti za vinywaji kwe bei nafuu

    Habari wan JF. Kuna yeyote anayeweza kunipa connection ya kampuni yoyote inayotengeneza kreti za vinywaji hapa Tanzania?
  11. C

    Kushuka kwa elimu: Kila mtu asome

    Ninajua hii itaondolewa hapa haraka,, some na usambaze. Chanjo ya covid 19 inamtengeneze mtu mpya. Hutakuwa wewe tena wala watoto wako, na vizazi vyakkko vyote. Ndiyo sababu inapigiwa kelele kwa lazima bila kujali kuna magonjwa mengi zaidi yanayoua kuliko corona. Sasa hivi serikali...
  12. Frank Lyova

    Nahitaji kufahamu nini chanzo cha majipu na tiba zake sehemu za siri

    Habari zenu wana JF, Kuna magonjwa mengine kama yanadharirisha hivi jinsi ya kuyatamka kwa watu.. lakin ndo hvyo waswahli walishatwambia mficha malazi kifo umuumbua.. Mimi ndugu zangu nina tatizo la jipu limenitokea kwenye makalio pemben kidogo mwa njia ya haja kubwa.. Ni kama uvimbe ulio...
  13. M

    Naomba kufahamishwa kuhusu ESRA Company

    Wakuu habari za asubuhi, Naomba kujua kwenye ufahamu na hii kampuni esra company ltd nimejaribu kuifuatilia sielewi ofisi zao ziko wapi kwa hapa Dar mana walinitumia Email kuhusu kazi kupatikana. Mwenye uelewa anijuze.
  14. The Assassin

    Naomba kufahamu wizi wa magari unafanyikaje

    Habari wakuu. Kuna kitu hua nashindwa kukielewa hasa wizi wa magari. Je wizi wa gari unafanyikaje kama gari imefungwa. Je unakutamwizi ana funguo ya ziada ama nini kinafanyika. Je kwa gari ambazo ni keyless za push to start pia zinaibiwaje maana nyingine kama hujaingia na ufunguo haiondoki...
  15. kilamba lamba

    Je, ni muhimu kufahamu chanzo cha kuvunjika mahusiano ya mpenzi wako na EX wake?

    Nawasalimu wana jukwaa. Natumai mu wazima sana humu ndani. Kuna jambo ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je, hivi ni muhimu kufahamu chanzo cha kuvunjika mahusiano aliyotoka mpenzi wako kabla ya kuwa na wewe. Na hii ni kwa wote, wanaume na wanawake? Ukweli wako kwa upande wako ni muhumi hapa.
  16. Mbu

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Wajemeni eeh Kuuliza si ujinga na kuuliza njia ndio kujua njia! Nahitaji bastola, kwa self defence tu, si vinginevyo! Sababu; najiona vulnerable mno huko 'uswekeni' ninakoishi. Hamna umeme, na majirani wanahesabika, BTW, practicing targets zipo za kutosha huko! Najua humu kuna wengi tu...
  17. GIRITA

    Msaada naomba kufahamu desktop computer ya kawaida sana kwa kazi za video editing

    Salam ndugu zanguni. Naomba kufahamu ni desktop computer yenye sifa zipi inauwezo wa kufanya kazi za kuzalisha na kuhariri picha za video, naomba kusaidiwa hili kwa wataalamu wa humu jukwaani wanaofanya kazi hizi na wasiofanya. Inatakiwa iwe ya gharama za chini kabisa kuliko zote,Nataka kujua...
  18. Drc congo

    Jamani nahitaji kufahamu dawa yakung'arisha meno

    Jambo kwa jumla mimi nikijana wa miaka 20 meno yangu yana rangi mbaya sa kama kuna mtu umu ana fahamu dawa ya kungarisha meno aniambiye
  19. G

    Naomba kufahamu oil ya gear box ya Toyota Sienta na bei yake

    Naomba kujua bei ya oil ya gear box ya Toyota sienta, Pia nikiwasha gari nyakati za asubuhi au injin inapokuwa imepoa huwa inatoa muungurumo wa juu kana kwamba nimekanyaga mafuta... Kisha baada ya dk 1 inatulia. Msaada tafadhali
  20. TheDreamer Thebeliever

    Wajuaji naomba kufahamu je board ya engineering inaundwa na majina gani?

    Habari wadau! Nilikuwa nataka kujua je board ya wahandisi au engineering (ERB) inaumdwa na watu wangapi na majina yao kama yapo..! Je yule mzee Dokta wa Civil engineering pale Kilimani mwenye kuingia na camera kama camera man ili ukicheat tu anakupiga picha anaposimamia mithiani yupo kwenye...
Back
Top Bottom