Naomba msaada nimeona soundcard nzuri Ebay bei yake ni nzuri ukiacha na shiping cost kuna icho nakisikiaga custom fee na Import fee zikoje kwa bidhaa ka hiyo ninayotaka?
Kumbe nchi hii ndogo kwa eneo ina mabomu mengi hivi ya nyuklia?
Pamoja na kuzungukwa na maadui wengi, hawajawahi kutumia silaha hizo kuwaangamiza. Hii ni nchi inayojali utu. Ni nchi yenye ujasusi wa hali ya juu.
Hii nchi imesaidia kulinda usalama mashariki ya kati kwa kuhakikisha iraq, iran...
Sio kila kiwanja kinaweza kukutengezea fedha. Sio kila nyumba ya kupangisha inaweza kukutengezea kipato kikubwa na kipato endelevu kwa kila mwaka. Kwa sababu hii, unahitaji kufanya tathmini kabla ya kufanya uwekezaji kwenye ardhi/nyumba.
Kwenye somo hili nimekuandalia mambo ya msingi sana ya...
Wakuu heshima kwenu.
Naomba kufahamu kuhusiana na uchaguzi bunge la Afrika Mashariki, mwaka wa uchaguzi ni lini? Je, kuna utaratibu gani kuchukua fomu mpaka kugombea?
Natanguliza shukrani.
Wakuu lile banda pale Muhimbili Bado lipo la kujifukiza naomba kujua maana naskia mzee wa Chapa ilale mara ya mwisho aliingizwa kwenye banda na ndo ikawa Mwisho wake.
Nipo huku nje ya mji nipeni Update wakuu.
Tuwe serious na hili tokea 2019 mpaka sasa kuna mtu hajaolewa na kuna mtu hajaoa mpaka sasa leo hii mtuelezee matatizo mnayokumbana nayo ili muweze kutoa dukuduku zenu.
Halafu kingine ninaomba kujua kama mpo single mnaishije? Tuambizane.
Changamoto mnazokutana nazo.
Nipo serious
Kwenye hizi gari ndogo za Mjapan ambazo nmefanikiwa kumiliki nimekuwa nikipenda kuwa na Gari ambazo ni Auto Manual- Binafsi mimi ni mpenzi sana wa Gari Manual. Ingawa kwa hizi ndogo ni nadra sana kuzipata Manual. kwa hizi ndogo nimekuwa na Toyota Harrier, Toyota Crown, Toyota Rumion na Toyota...
Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu kiasi cha data ambacho watu hununua na kutumika wengi wakisema wametumia data kwa muda mchache na hivyo kulalama wanapoona data imeisha kwa ghafla. Katika uzi huu naomba kuwajuza namna ya kujua matumizi yako ya data ili unapopokea sms ya bundle lako kuisha uwe...
Wakuu, nimeshtuka kutoka usingizini takribani zaidi ya nusu saa iliyopita nikitafakari juu ya ndoto hii niliyoiota.
Nimeota nipo mazingira yangu ya kazi ( inaniunganisha mimi na wateja) kuna kitu mteja alijieleza lakini Meneja wangu hakumuelewa ila mimi nilikua nimemuelewa nikaamuru ahudumiwe...
Habari wanaJF, mimi ni Mtanzania nataka kufahamu gharama za kutalii Ngorongoro national park (kiingilio, Malazi na Chakula) maana natamani kwenda ila nahofia nisije kuumbuka kwenye bajeti.
Kama bango linavyosema
Wajuzi naomba mnifahamishe juu ya hizi simu za xiaomi ambazo ni chinese version, zinasuport huduma za google?
Na je zinautofauti gani mkubwa na zile za global version?
Mara kadhaa kabla ya ununuzi wa simu imesababisha watu wengi kuamini kuwa RAM kubwa zaidi kama 3GB, 4GB, 8GB na 12GB ndio suluhisho kuu la kuboresha utendaji wa simu. Ingawa bila shaka ni muhimu, sio suluhisho pekee la utenda kazi bora, au hata lazima liwe sahihi, kulingana na mahitaji yako...
Mwenye kufahamu madini yanayopatikana zanzibar tafadhali
Niko Dubai expo 2022 na tayari nimepata wawekezaji wenye nia ya kuwekeza Zanzibar kwenye sekta ya uchimbaji wa madini .
Ninawasilisha
Wakati tunapita JKT miaka 80+ kigezo Cha uaskari kilipimwa Kwa mambo yafuatayo;
1. Urefu
2. Mwonekano wa umbo
3. Uwezo wa kupiga paredi
4. Smartness Kwa maana ya unadhifu wa mavazi.
5. Unoko
Watu wenye sifa zilizoelezwa hapo juu bila kujali uwezo wao wa kufikiri,kupambanua mambo na kufanya...
Huenda watu wengi hufikiri kwamba wanapoliona jua angani, ndivyo hivyo, na wengine hata hufikiri kwamba ndege hupita inaporuka.
Lakini sivyo ilivyo, jua linazama na kuzama huku likiwa na habari za kushangaza ambazo hata huzifahamu.
Watu wengi huamini kwamba jua huchomoza na kuzama, yaani, mawio...
Naomba masaada kwa wenye kufahamu zaidi nahitaji kuagiza mzigo AliExpress nishaweka order zangu kwenye cart lakini sina uzoefu wowote wa kununua bidhaa online kwa njia hii, nimewahi kununua kupitia kikuu pekee...
Nahisi namna ya kuagiza sio shida sana maana naweza kusoma kwenye tovuti yao na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.