Habari ya wakati huu wananchi wa JamiiForums, mimi ni mtanzania ninayeishi Canada naomba kufahamu kwasasa ni maeneo gani kwa mkoa wa Dar es salaam geografia yake ni tambarare na hayana watu wengi nataka kununua sqm 4000 - sqm 8000 nije kujenga apartments.
Nitashukuru kwa michango yenu.
Note...
Hili limekuwa likizungumzwa na watu wengi sana nadhani inawezekana ni robo tatu(1/3) ya tunaoishi na hata kwa bahati mbaya wale waliopoteza maisha....
Hili si suala dogo kwenye kulifanyia maamuzi ingawa unaposikia likizungumziwa unaweza kuhisi ni kitu rahisi mnoo! Najua unajiuliza hadi hivi...
Naomba kufahamu wimbo unaohit kwa sasa wa Chibu Dangote.
Sababu za kuuliza swali langu ni huu mfululizo anaoufanya kuachia nyimbo kama fungu la.mchicha.
Itakuwa vyema kuwa na chati ya TopHit kwa nyimbo zake pekee. Kwa sababu wafuasi tunaona anaachia banzi juu ya banzi
Gari toleo moja inakuja na engines tofauti tofauti..
Kuna baadhi ambazo muonekano wake unakupa code ya engine iliyopo..
Baadhi ni hizi
Prado 70..
Imeandikwa neno Turbo kwenye front grill hiyo ni 2LTE..!
Imeandikwa 3.0 turbo mlango wa nyuma hiyo ni 1KZ
Landcruiser Mkonga
Pua mbele.. 1VDFTV...
Nikijamiiana na mwenzangu Huwa analalamika kuwa anapigwa na vitu kama shoti,eneo la shingoni,kwenye maungio ya mgongo(anapifika kileleni) ,huyu mwenzangu aliwah kuchomwa sindano za ganzi ,ni Kwa ,namna Gani hii ishu inaweza kuwa solved?
Nampongeza mchungaji kwa kuujua na kuufahamu ukweli yote aliyoyasema ni kweli, vijana wa kikristo sio waaminifu hata kidogo kiufupi ni wezi na sio waastaarabu.
Mimi kama mkristo wa Lutheran naomba mchungaji Kimaro arudishwe kazini maana amezungumza ukweli kabisa vijana wa kikristo wengi wao ni...
Ndugu zangu Nipo Dar es Salaam,
Nataka kufahamu utaratibu wa upatikanaji wa Kibali cha Muda cha kuingia Kenya najua njia za shortcut zipo ila mimI sitaki hizo nataka kufahamu utaratibu wakupata official temporally Permit ya kuingia Kenya.
Ofisi ziko wapi na kuna malipo au la, na nahitqjika...
Habari wakuu,
Nimekuwa nikipitia nyuzi nyingi kuhusu magari tofauti lakini sijabahatika kukutana na uzi ukijadili Toyota Altezza na Subaru Legacy ni gari ambazo natamani kununua.
Naomba kufahamishwa pros and cons zake, binafsi sina uzoefu au ujuzi wa magari, hivyo nategemea kupata maoni yenu...
Naomba kufahamu aina ya lotion, cream au mafuta yanayofaa kwa ajili ya kuondoa madoa mwilini na yasiyochubua yaani kuondoa rangi ya asili.
Pia naomba kufahamu kwa matumizi ya cream kama goldie pearlybeauty cream ni nzuri kwa matumizi ya rangi nyeusi.
Agosti 9, huko Hohhot Mkoani Mongolia ya Ndani, watoto walitazama utengenezaji wa dawa za jadi za Kichina. Watoto walitumia fursa ya mapumziko ya majira ya joto kujifunza, kuelewa ujuzi wa dawa za Kichina, na kuelewa utamaduni wa dawa za jadi za Kichina.
Ahh nawasalimu,
Tuendelee kupambana na bei za mafuta na wafanyakazi tuendelee kusaga meno kwani yalishawahi semwa ' tutasagia meno na tutaishi kama mashetani'.
Hicho ni kibwagizo tu ila sio nia yangu. Nia ya uzi huu ni kushea maoni au mawazo yangu kwa zoezi la kitaifa linaloendelea nchi nzima...
Salaam wakuu,
Kama heading inavyojieleza. Niende kwenye mada moja kwa moja.
Ninahitaji kuweka pavings kwenye eneo lenye ukubwa wa square meter 165.
Landscape generally ni flat.
Wataalamu na hata wazoefu wa haya mambo naomba nisaidiwe kujua total cost average inaweza kuwa kiasi gani...
Ndugu wanajamii forum habari za hapa wapambanaji wenzagu:
Nawaombeni msaada kama kuna wadau wana fahamu maeneo ya udongo wa mbuga nyeusi yenye kufaa kilimo cha dengu maeneo ya Kondoa maana kuna rafiki yangu kanidokeza kuna eneo linaitwa Kambi ya Moto lakini yeye pia haijui vizuri ni ameambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.