Vipimo na tafiti muhimu kufanya kabla ya kupata ujauzito
Ikiwa umeamua kufanya vipimo vya awali kabla ya kupata ujauzito, mtaalamu wako wa afya au nesi anaweza kukuliza kuhusu:
Kazi yako-atakuuliza kama kazi yako inahusisha kufanya kazi na vitu hatari
Kama una tatizo na siku zako za hedhi
Hali...
Habari yako,
Nakuja hapa kuomba msaada kwa yeyote yule mwenye kujua ni kiwanda kipi ndani ya Dar kinachopokea kibarua naomba anifahamishe maana natafuta kazi kwenye kiwanda chochote kile kinachopokea kibarua.
Asante sana.
Nataka kwenda Mwanza for personal issues. Naomba kufahamu the best hotel, located at the beach front na ambayo ina big rooms, madirisha makubwa facing the beach. Price siyo tatizo. Umbali kwenda mjini au airport siyo tatizo pia.
Shukrani sana.
Naomba kufahamishwa kwamba ni kweli mgonjwa akisha anza kutumia ARV hawezi kuambukiza ugonjwa?? Kuna jamaa hapa mtaani kaathirika ila anatumia ARV kwa muda na ukimuona afya yake iko imara. Shida huyu jamaa anatembea na watoto wadogo wadogo ila nasikia kwamba sababu anatumia ARV basi hawezi...
Bandugu nina wahi sana kuota ndevu na masharubu(timba) yaani nikinyoa hazipi siku tano yashajaa tena haswa haswa hizi timba ndiyo kero kabisa.
Nikisema nikae mwezi bila kunyoa unaweza sema muisrael.
Kwa yeyote anaye fahamu dawa ya kuzuia ndevu kuota kwa haraka ama kuzuia zisiote kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.