Kipindi Cha nyuma tulikuwa na uwezo wa kuangalia namba zangu nilizosajili kupitia namba ya NIDA sasa hii *106# inatambua namba za mtandao husika tuu.
Kama Kuna mtu amecheza na mfuko au na namba yangu au msajili kanichezesha Bila kujua na Mimi sipo mitandao hyo mingine naweza kujuaje?
NIDA hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.