Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,278
- 4,525
Kipindi Cha nyuma tulikuwa na uwezo wa kuangalia namba zangu nilizosajili kupitia namba ya NIDA sasa hii *106# inatambua namba za mtandao husika tuu.
Kama Kuna mtu amecheza na mfuko au na namba yangu au msajili kanichezesha Bila kujua na Mimi sipo mitandao hyo mingine naweza kujuaje?
NIDA hii menyu ya 106 n yenu nasio ya mitandao ya simu sasa iweje nishindwe kujua taarifa zingine zinazohusu namba yangu kupitia huo menu.
Tuma kwa namba hii ndiomana haiishi mpaka