Wiki hii tumepangiwa kujadili mambo ya simba na yanga na hii ni sehemu zote si vijiweni si ofisini, barabarani, wala hospitali.
Kwenye mikusanyiko yote rasmi na isiyo rasmi story kuu ni hizi timu za CCM.
CHADEMA mna safari ndefu sana, hii ndiyo nchi yenu ndiyomaana yule mzee akaona awaruhusu...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Amesema ya Kuwa...
Wageni wanapofanikiwa zaidi kuliko wazawa katika nchi nyingi za Afrika, ikiwemo Tanzania, kuna sababu nyingi za msingi zinazoeleza hali hii. Wageni mara nyingi wanauelewa mfumo wa kiuchumi, kisheria, na kiutawala kwa namna ambayo huwapa faida kubwa. Pia, kuna masuala ya kihistoria, kisera, na...
Ni makosa kufikiria muda unakwenda.
Muda hauendi. Muda upo mpaka utimilifu wa dahari
Wewe ndiye unayeenda.
Huupotezi muda. Muda hauna mwisho. Unajipoteza mwenyewe.maana una mwisho wako
Ni wewe unazeeka na kufa. Muda haufi. Kwa hivyo jitumie vyema kabla ya muda wako kuisha.
Na mojawapo ya...
Fanya kazi au biashara ambayo unaweza kukuinua, kuna kazi ukifanya automatically umejiandaa kuwa masikini.
Kazi zenye asili za kimasikini ni zile kazi ngumu ngumu zenye malipo madogo.
HUWEZI kujenga au kuwa na maisha ya maana kwa kazi ya Bodaboda nk
Fanya biashara ambayo histologically...
Kwa nini wale wanaotenda kwa nia mbaya au bila kujali maadili huonekana kustawi?
Kwa nini watu wanaodanganya, kupotosha, au kuvunja sheria huishia kupata mafanikio, utajiri, na mamlaka? Inakera, sivyo?
Tumelelewa tukiamini kwamba haki lazima itawale, kwamba wema utalipwa, na waovu watapata...
Share experience yako,
ni makosa gani mliyofanya ?
kuna ishara zozote mlizoziona kabla ya kuporomoka ?
Mlikabiliana vipi na aibu ya kuporomoka mbele ya jamii ?
Kuna watu waliochangia kwenye kuporomoka ?
maamuzi gani magumu mlifanya baada ya kuporomoka ?
maisha yenu ya sasa yanatofautianaje na...
Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha ndiyo maana neno ndoa limekuwa likipigiwa kelele kila kona huku maswali ya kuoa au kuolewa yakizidi kusumbua akili za watu wanaoulizwa au kuwakera ikitegemea na namna mtu anavyochukuliwa
Ukweli ni kuwa Kuoa au Kuolewa sio...
Si muda mrefu uliopita vilabu hivi vikubwa vilikuwa na uwezo wa kujaza uwanja wa Uhuru au Mkapa hata katika mechi ndogo tu za ligi achilia mbali zile za kimataifa.
Zikaja story za ukarabati wa uwanja wa Mkapa, wote tunajua hakuna kilichofanyika mpaka sasa. Wakati huo huo uwanja wa Uhuru nao...
Kwa wanandoa wengi, kuanzisha biashara ya pamoja ni ndoto ya kuwa washirika wa maisha na kazi.
Unapomuona mpenzi wako sio tu kama mwenza wa maisha bali pia mshirika wa biashara, inatoa nafasi ya kuimarisha uhusiano wa kifamilia na kifedha.
Lakini wakati ndoto hiyo inaweza kuonekana kama...
Sio lazima wanafamilia / ndugu / wana ukoo wote wawe wamekusanyika sehemu moja, No !! Inaweza kuwa Mzazi, Dada, Kaka, Last born, Baba mkubwa na mtoto wake kila mtu ana biashara yake ila kuna baadhi ya mambo wanafanya na kufaidika pamoja
1. Ununuzi kwa Wingi
Kundi la Familia / Ndugu / Ukoo: Kwa...
Makonda ni aina ya watu ambao wakisha pewa Mic kuonfea kabla hajaanza kuongea watu huanza kuinamisha vichwa chini na kuwaza sijui ataharibu ay.
Makonda sio wa kumuachia MIC jukwaani yaani hajui aongee nini anatatizimo sawa na yule Makamo wa Raisi wa akenya alio ondolewa Madarakani Gachagua, na...
Nguvu waliyo nayo CHADEMA imewatisha sana
Ari waliyo nayo CHADEMA imewaogopesha sana
Uchaguzi wa kwanza serikali za mitaa uliosababisha mauaji ya wapinzani wengi kwa wakati mmoja
kuna kivuli kinawatisha sana na ndicho kinachowafanya watende mambo ya kikatili sana
Uchaguzi mkuu ni miezi 12 ijayo...
Asilimia 70 na zaidi ya watu wote wanaofutila siasa za Marekani wamefurahishwa na ushindi wa Trump, hata mataifa hasimu ya Marekani yamefurahishwa sana na ushindi huo.
Pongezi ni kwa Trump, lakini tuna la kujifunza sote katika maisha maisha yetu ya kawaida
Pamoja na Trump na wengi tunaowasoma...
Hili Taifa litaangamizwa na unafiki na uchawa.Samia anasifiwa kwa kupigania nishati safi na salama ya kupikia, ipi hio na wapi? Mbona kasi ya mikaa na kuni iko juu sana?
Nani asie jua matumizi ya Mkaa bado yako juu sana? Nani asie jua hata huko Serikalini kwenyewe taasis zake wanatumia mkaa kwa...
Habari za mda huu wakuu
Hili ni swala ambalo nimekuwa nikiliwaza Sana after breakup ila Kwa sasa naliona dhahiri kabisa
Ni mwaka mmoja na miezi Toka penzi liishe nilivyooachwa Yani ya uyu mdada wa kijita sababu kubwa ilikuwa haoni future kati yetu in short (LACK OF CAPITAL)
Nikakubari...
Mtu mwenye akili timamu huwezi kumuambia ili atajirike inabidi akauze pipi kwa mtaji alionao au mayai ya kuchemsha kama kianzio kwa sababu anajua fika mtaji mdogo utampa faida ndogo ataona ni upotevu wa muda na nguvu kwa sababu hesabu anazijua. Sometimes ujinga ni mtaji.
Lakini mtu asiye na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.