Fanya observation ndogo 1.utagundua mazingira unayokaa kuna Ile hali ya kuridhika ya wale wazawa wa eneo Husika(maendeleo mara nyingi yanaletwa na watu wakuja)
2.Ubaguzi wa kazi pia unapokuwa unaishi mahali ulipozaliwa kuna Ile hali ya uoga inakuja automatically kwamba kazi siwezi fanya Ila...
Hatua Muhimu za Kufanikiwa Kiuchumi katika Maisha
Kufanikiwa kiuchumi kunahitaji mchanganyiko wa mambo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na mipango, ujuzi, na mtazamo sahihi. Hapa kuna baadhi ya hatua muhimu ambazo unaweza kuchukua:
### 1. Elimu na Ujuzi:
Elimu ya juu: Ingawa si lazima kwa kila...
KIAPO NA MAAGANO YA KUFANIKIWA KATIKA MAISHA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hii ni Moja ya zile Siri ambazo nilikuahidi nitakueleza. Na lolote nitakalokuahidi nitatimiza. Wala sitasahau kutimiza lolote nililokuahidi.
Haya nisikie Sasa,
Mafanikio yapo ya aina mbalimbali. Kîla Mtu anahitaji...
Hii kanuni bwana kanjibhai wa Simba aliitumia ipasavyo kwenye zoezi Zima la usajili msimu huu!
Akutaka kuumiza kichwa kusajili wachezaji Wenye profile kubwa Wala Wenye uzoefu wa michuano ya kimataifa!
Alijua kabisa wachezaji dizaini iyo gharama yake ni kubwa sana na walikuwa wametolewa macho na...
Wakati mwingine nafikiri Israel inaachilia makombora yasiyo na madhara ili inapolalamika inavamiwa jumuiya ya mataifa iwaelewe vizuri
Pia inaachia makombora yasiyo na madhara makubwa ili ikilipa kisasi mataifa mengine yaweze kuelewa nani mchokozi na mkorofi
Kwa Sasa Yemen na Lebanon ikipokea...
Katika moja ya matamanio ya wana dunia wengi ni kupata mafanikio makubwa katika upande wa kifedha, hivo husababisha watu kujaribu kutumia njia nyingi sana ili kuongeza nafasi zao za kufikia utajiri huo, lakini ukwel wa utajiri umejificha katika sehem ndogo sana
Mimi sio tajiri lakini nlipofikia...
Kuna usemi maarufu unaosema, "watu wazuri wanamaliza mwisho," ambao mara nyingi hutumika kuelezea hali ambapo watu wenye roho nzuri, ambao ni waaminifu, wanyenyekevu, na wenye huruma, wanakosa mafanikio katika maisha. Wakati huo huo, wale ambao wanaonekana kuwa na roho mbaya, wanaoweza kuwa na...
Bakhresa, GSM, Mo Dewji na wafanyabiashara wachache hapa Tanzania wamechana msamba, ni ndoto za abunuwasi kudhani unaweza fika hapo kwa kuacha kitu cha uhakika unachoweza fanya bila backup plan, connections, resources, n.k. utashangaa mtu anaacha kazi na hajawahi kufanya biashara eti hakuna...
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN amezungumzia utendaji kazi wa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe na kusisitiza kuwa ukitaka kufanikiwa kwenye Kilimo mpe jukumu hilo Msomali.
Pia soma:Kamati kuu CCM yamtosa Hussein Bashe, adaiwa si raia wa Tanzania
Kwenye mbio za nani atatangulia kwenye teknolojia ya mawasiliano ya 6G ilikuwa ni race kati ya China na Marekani na washirika wake.
China ilikuwa imeshajiwekea mkakati wa kuifanyia tafiti teknolojia ya 6G hivyo ikawa moja ya kipaumbele cha taifa kwenye mpango wa miaka 5 ulioitwa China's...
Vijana wenzangu, maendeleo makubwa mnayoyaona hapa Tanzania ikiwemo biashara kubwa, majumba makubwa na magari ya kifahari hayajapatikana kwa hela za mitandaoni
Bali maendeleo haya yalipatikana kwa kufanya kazi kwa bidii kubwa ndipo mafanikio haya yakapatikana
Nyumba mnazoziona Salasala, Mbezi...
Muweke kwenye fungu moja na watoto wako na familia yako. Yani kama ni hela ya matumizi basi uwe unampigia hesabu ya kila siku.
Kama unapanga kuwa una mpa lets say elfu 20 kila siku au lets say elfu kumi kila siku basi uwe unampa kila siku au kama unampa kwa wiki basi umpe kwa wiki.
Siku...
Nipo najaribu kutafakari nawezaje kufanikiwa from nothing yaani ile zero to something nakosa majibu wakati Mimi nakosa majibu Kuna mtu anatoa ushuhuda wa kuanza na biashara ya mtaji wa elfu kumi mpaka kufanikiwa kumiliki biashara ya mamilioni inawezekanaje wakuu.?
“Lazima mabadiliko yapatikane sio kuivunja tu Bodi ya Wakurugenzi, bali hata wachezaji kwa sasa hivi hawako watu wanaoweza kuiendeleza ile klabu, klabu imekuwa na mambo na kiubinafsi, hawathamini watu sio mimi tu tupo wengi ambao tulipoteza ujana wetu kuitumikia Simba” Abdallah Kibadeni Maarufu...
Salaam, Shalom!!
Salamu hapo juu itoshe kukujulisha kuwa walengwa wa HOJA hapo juu ni Wana wa Mungu, ni wale ambao wanahangaika,wanafanya KAZI Kwa bidii, wanajitenga na UOVU, walipao ZAKA nk nk, lakini Bado malengo Yao hayafanikiwi Kwa hatua za kuridhisha.
Neno la Mungu lasema katika
( Yakobo...
Hata hivyo, miongoni mwa wabantu wapo baadhi ya wabantu ambao wamefanikiwa ku walk out of this curse. Mfano wachagga, wakinga etc.
Ila wengi wa wabantu hawawezi kabisa kufanikiwa kwenye biashara.
Sababu kuu ni hii hapa chini:
Wabantu wanapokuwa wanafanya biashara huwa wanashindwa...
Mafuta
Vyakula
Madini
Usafirishaji
Fedha
Media
Elimu
Afya
Dini/kanisa
Michezo
Utalii
Mifugo
Vifaa vya ujenzi
Mimi nimejikita kwenye vyakula? Changamoto zipo ila napambana
Mimi si shabiki wa awa wachekeshaji wa kizazi cha sasa ambao wanatumia zaidi social media kufikisha sanaa yao. Ila nimekuwa navutiwa na juhudi zao kujaribu kusukuma kazi zao zifike kwa watu.
Inawezekana kwenye ubora bado wanajitafuta lakini wanaonesha juhudi za hali ya juu. Siku zote kwenye...
Kuna nyakati unaweza kupitia katika biashara yako ambapo unaona unaelekea kuanguka vibaya sana na bado unafamilia na bills nyingine. Inaweza kuwa sio usimamizi mmbaya ila labda ni factors za hali ya kiuchumi na factors nyingine ambazo hata wewe haulewi mambo yamekuharubikiaje.
Inapelekea sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.