kufanikiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Uliwezaje kufanikiwa kimaisha kwa kutumia mbinu au kanuni uliyosoma kwenye kitabu au ushauri?

    Ndugu wanajamvi, Kwenye jamii inayotuzunguka kuna msemo ya wahenga na busara au elimu ambayo ili kusaidia au kukunufaisha na kutuwezesha either Iwe positively au negatively kuwa na nidhamu au kanuni za kimaisha. Naomba tushare baadhi ya hivo Vitu either umesoma, kusikia, kuona au namna...
  2. Nitaoa ili nizidi kufanikiwa

    Habarini wana jamvi... Natumai mu wazima wa afya kabisa na Mungu anasaidia katika mihangaiko yetu. Aaiiiseee nimekaa nimefikiria kiundani zaidi. Nimeona mimi kama kijana wa kiume kuna umuhimu wa kuowa. Kwa upande nimeamua kwamba nitaowa kwa ajili ya mambo mawili: 1. Kuwa na Familia bora...
  3. 5

    Hivi kuna Mtu yeyote amefanikiwa kujaza form ya mikopo Loan Board (HESLB)?

    Imebidi nije hapa huu mtandao wa Loan Board hauko vizuri hasa hasa kwenye kipengele cha Preliminary information hakuna chochote unachoweza kujaza na uka submit na ukakiona kwenye preview. picha hata useti kwa kiwango kipi 120x150px haionyeshi wala haikai kwenye mfumo. Tunaomba kujua hapa nina...
  4. Naomba kufahamu tofauti ya Kutajirika na Kufanikiwa

    Haya maneno mawili yananichanganya kidogo naomba mwenye uelewa aniandikie hapa nijifunze Kufanikiwa si ndio kutajirika huko au kutajirika ndio kufanikiwa kwenyewe mi sielewii.
  5. Namtafuta Rafiki yangu Shunie. Tulipotezana humu mwaka 2015 mwanzoni enzi za JK

    Wakuu mpaka Leo huwa najiuliza Shunie alienda wapi loo!! Huyu mtu tulipendana Sana humu JF Enzi hizo ndiyo alikuwa bae wangu humu kila Uzi lazima atupie comment kipindi hicho humu JF kulikuwa na ladha ya kipekee Sana. Shunie popote upatapo ujumbe huu nakutafuta mwenzio ni Kitambo sana...
  6. Uongo uliowahi kufanikiwa zaidi

    Ni uongo gani uliwahi kufanikiwa kukamata akili yako au maisha yako kwa muda mrefu. Mimi binafsi 1. Shule Nilienda kutafuta majibu ya maswali amabayo sikuwa nayo. Kumbe kusoma koote kule ilikuwa najifunza namna ya kujifunza. 2. Serikali Nilidhani ipo kwaajiri yetu kumbe ipo kwa ajili ya watu...
  7. Ukifanikiwa wafanye wengine pia wafanikiwe kupitia wewe

    Jambo letu Haitoshi tu kuwa na mafanikio makubwa bali tumia nafasi hiyo kuwasaidia wengine kufanikiwa pia. Tunaelewa ili ufanikiwe ulipita vikwazo vingi, ulishinda mengi; tumia muda huu kuwa mwalimu wetu. Maendeleo ni kama bahari na hakuna bahari yenye kisiwa kimoja na kisiwa hakizuii kingine...
  8. SoC03 Maisha ni Safari ya Kujitafutia Mafanikio: Njia za Kujiimarisha na Kufanikiwa

    MAISHA NI SAFARI YA KUJITAFUTIA MAFANIKIO: NJIA ZA KUJIIMARISHA NA KUFANIKIWA Imeandikwa na: Mwl.RCT Utangulizi: Karibu katika Makala hii, ambayo itajadili kwa kina ujumbe wa "Maisha ni Safari ya Kujitafutia Mafanikio: Njia za Kujiimarisha na Kufanikiwa". Katika makala hii, tutajadili umuhimu...
  9. K

    Gharama ya LATRA kupata kadi ya taksi za mtandaoni

    Habari wanazengo, Nilikuwa naomba msaada kuhusu kupata kadi ya Latra kwa ajili ya kufungua akaunt za Uber na bolt gharama yake ni sh ngapi kufanikiwa
  10. SoC03 Changamoto za Kufanikiwa katika Elimu na Maisha ya Kijamii nchini Tanzania: Ushauri na Hatua za Kukabiliana Nazo

    CHANGAMOTO ZA KUFANIKIWA KATIKA ELIMU NA MAISHA YA KIJAMII NCHINI TANZANIA: USHAURI NA HATUA ZA KUKABILIANA NAZO Imeandikwa na: Mwl.RCT Utangulizi: Mafanikio katika elimu na maisha ya kijamii ni ndoto ya kila mtu. Hata hivyo, kufikia ndoto hii sio rahisi kama inavyoonekana. Kuna changamoto...
  11. Nampenda sana Lady Jaydee. Sema ni kwa vile nilichelewa kufanikiwa

    Nianze kwa kuelezea hisia zangu kwake. Nampenda sana huyu bidada. Kila ninapoisikia sauti yake ikichomoza kwa vyombo huwa najihisi faraja sana. Nasisimka akili mpaka moyo. Hajawahi kukosea kwa kweli Lady Jay Dee, kama ningekuwa na pesa kipindi kile ningekutafuta nikuoe kabisaaa, nikuweke ndani...
  12. Jiji la Dar es Salaam ndio nguzo kuu kwenye kufanikiwa, vijana kimbilieni huko

    Hapa nazungumzia nyanja za mafanikio kwa sisi wasakatonge, nimezaliwa Moshi-kilimanjaro nimezunguka pande Nyingi za Tanzania Lakini dar-es salaam ndio Kila kitu kwa mtu ambae ana chachu ya mafanikio. MWANZA Ukienda Mwanza na hakika asilimia 100% utashindwa kujua uanzie wapi umalize wapi, labda...
  13. Kufanikiwa ni nini?

    Habari wanajukwaa. Naomba tujadiliane dhana ya maendeleo Ni nini. Kwa Nini mwingine anafanikisha Jambo mwingine anafanikisha. Imani yako ama mtizamo wako ni nini kinachopelekea
  14. Miujiza ya uponyaji na kufanikiwa kiuchumi

    Yaani nashindwa kuelewa Watu wanaosema/wanaoshuhudia wamepona baada ya kutumia mafuta na maji ya upako. Wapo wanaosema wamekunya au kutapika au kujifungua; kobe, hirizi, panya, tandu, jongoo, nyoka, toothpick, nyuzinyuzi. Au wameua nyoka nje ya nyumba zao au paka. Nisaidieni hii ni miujiza...
  15. Bila walimu hatuwezi kufanikiwa

    Competence based education, juhudi ziimeonekana katika kutekeleza sera hii kwa kwa vitendo kwa ujenzi mkubwa mpya wa madarasa kwa hakika Mimi pia ni shahidi mwaka wa fedha 2021/2022 madarasa mengi yamejengwa naamini uandikishaji utaongezeka kwa asilimia kubwa kwa darasa la kwanza na hata wale...
  16. Rafiki yangu alivyonishika mkono hadi kufanikiwa

    Wanajukwaaa wazima nyie? Kiasili mimi ni mzaliwa kutoka Nyanda za Juu Kusini ndani ya Mkoa flani hivi. Elimu yangu niliipata mkoa wa Kaskazini (Kilimanjaro) kuanzia kidato cha pili hadi Chuo nilisoma kule baada ya maza kupata kazi Kilimanjaro. Nilibahatika kupata Rafiki yangu ambaye amekuwa...
  17. Uganda: Wizara ya Afya imesema mgonjwa wa mwisho wa Ebola ameruhusiwa kutoka Hospitali

    Wizara ya Afya imetangaza taarifa hiyo na kueleza hali ya matumaini ya kufanikiwa kuudhibiti ugonjwa huo ulioathiri watu 142 na kuua wengine 56 imerejea nchini humo. Afisa Kutoka Wizara ya Afya, Diana Atwine ameandika pia kupitia Twitter "Ninafuraha kutangaza kwamba tumemruhusu mgonjwa wa...
  18. S

    Historia ya maisha yangu, chamgamoto niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa

    Wakuu habarini. Mtanisamehe kdg kwa uwandishi wng Kama mada apo juu inavyosema nitasimulia niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa na mke wng. Mimi ni mtot wa 2 katika familia yetu tuliobahatika kuzaliwa 5 mimi nikiwa ndie mtoto pekee wa kiume kwa upande wetu sisi mzee alikua na wake 2 mke...
  19. M

    Tuambie unahisi ni jambo gani limesaidia kufanikiwa kwenye kilimo

    kipi kilimo kinalipa, mtazamo na ukweli ninaojua ni kilimo cha mazao ya kudumu, kahawa, korosho, parachichi, ndizi nk ni mazao machache sana yasiyo ya kudumu yanayolipa mfano viazi mviringo, mpunga, tumbaku, mahindi(huku tunapiga pesa kutegemea msimu nimetaja mazao yanayolimwa nyanda za juu...
  20. Kwanini ajali nyingi zinazotokea mataa Mbezi Beach huwa zinaua tu Vijana walioanza kufanikiwa kimaisha na kiutajiri?

    Karibia 85% ya Ajali mbaya zinazotokea hapo Mataa ya Mbezi Beach Jirani na Kanisa la KKKT huwa zinachukua tu Uhai ( Zinaua ) Vijana ambao Wameshaanza Kutusua ( Kutoka ) Kimaisha. Na kwanini zote ziwe ni eneo hilo hilo na hapo hapo Mataa upande wa Barabara ya Kuelekea Rainbow au pale kwa CDF...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…