kufua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ujasiri wake wa ovyo unaendelea: Alianza kuwalloby CDU pale Bundestag tusijenge hili bwawa la kufua umeme megawati 2215

    Amerukia kwa Norway inayotupatia wastani wa dola milioni 7.kila mwaka wa fedha. Walianza kuipinga serikali yao isiwekeze ujenzi wa bwawa la kufua umeme megawati 2215. Wakaja kuipinga DP WORLD yenye kutoa TRILIONI 22 kwa mwaka na malengo ya kufikia TRILIONI 60. Leo vibaraka koko wameingia...
  2. Kwa wanandoa: nani ana jukumu la kufua nguo zenu za ndani?

    Huko kwenu mnafanyaje? na kwanini? (A) Kila mmoja anafua underwear yake (B) Hakuna formula maalum (C) Mume anafua ya kwake na ya mke (D) Mke anafua ya kwake na ya mume (E) Dada/kaka wa kazi
  3. Sio ujinga kutumia sabuni ya unga na kipande kwa pamoja wakati wa kufua nguo?

    Huwa naona watu wanatumia sabuni za aina mbili katika kufua, mtu analoweka nguo kwa sabuni ya unga kisha baadaye anatumia sabuni ya kipande wakati anazifua! Sasa hii maana yake huwa ni nini? Kwamba sabuni ya unga haitoshi kutakatisha nguo wakati wa kufua? Sijawahi kuolewa mantiki ya hili jambo.
  4. Kwanini wanawake ni wepesi sana kufua kuliko wanaume?

    Kwanini kazi ya kufua nguo inaonekana kuwa nyepesi sana kwa upande wa wanawake...siri ni nini? Mimi ni mtu wa mazoezi lakini kufua nguo mbili huwa nachoka haswa, lakini utakuta mdada anafua furushi la nguo, hizo nguvu wanazitolea wapi? Mbususu na kufua ndio zitakuwa sababu za msingi sana mimi...
  5. B

    INAUZWA Usiteseke kufua, jipatie washing mashine yako sasa! weekend ni siku ya kupumzika

    Mashine za kufulia za kisasa zipo karibu yako kwa bei nafuu. Ni za Kilo 4.5 - 120,000 tu Kilo 7 - 560,000 tu Bei zetu ni nafuu sana mtu yoyote anaweza ku afford Offer hii si ya kukosa kwa kipindi hiki cha sabasaba. Kwa mawasiliano zaidi tunapatikana kwa 0772835536. Karibuni sana wateja
  6. B

    INAUZWA Usiteseke kufua, jipatie washing mashine yako sasa! weekend ni siku ya kupumzika

    Mashine za kufulia za kisasa zipo karibu yako kwa bei nafuu. Ni za kilo 3 - tsh 120,000 tu Kilo 4.5 - 350,000 tu Kilo 7 - 560,000 tu Bei zetu ni nafuu sana mtu yoyote anaweza ku afford Offer hii si ya kukosa kwa kipindi hiki cha sabasaba. Kwa mawasiliano zaidi tunapatikana kwa 0772835536...
  7. Mbunge wa Lupembe, Edwin Swalle: Ipi Kauli ya Serikali Kuhusu Taarifa za Mitambo Miwili ya Kufua Umeme Katika Bwawa la JNHPP

    Mbunge wa Lupembe, Edwin Swalle: Ipi Kauli ya Serikali Kuhusu Taarifa za Mitambo Miwili ya Kufua Umeme Katika Bwawa la JNHPP Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema kutokana na jitihada za Serikali na wakandarasi, kwa mara ya kwanza jana Februari 15, 2024 yamefanyika majaribio ya kuwasha...
  8. P

    Natafuta kazi kati ya hizi

    Wapendwa, Ukiwa 2mil unaweza anzisha biashara ya uwakala/miamala ya cm Na je inalipa ?? Nahitaji kufahamu faida na changamoto zake
  9. Kuna wanaume mnadanganywa kujali mwanamke ni kumsaidia kupika ama kufua. Niwasihi kwamba hayo sio majukumu yenu ni uboya

    Especially mwanamke akiwa msomi kapata ka exposure ama wawe awe born town wa kuangalia hizo sinema za wakorea. Ni wazi kwamba huwa kuna majukumu mna wajibu wa kuyafanya pamoja ama kusaidiana lakini kuna makujumu ya mwanaume unayohitaji kuyafanya bila msaada wa mwanamke na kuna majukumu ya...
  10. R

    TANESCO watoa ufafanuzi kuhusu Bwawa la kufua umeme la Mwl. Nyerere kuwa na nyufa

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI HALI YA UBORA WA MRADI WA JNHPP NA UHIFADHI WA WANYAMA PORI Jumapili, 10 Septemba 2023. Kuna taarifa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mradi wetu wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere (JNHPP). Taarifa hizo zinaelezea na kuleta hofu kuhusu Ubora...
  11. D

    Tukabidhi sisi jukumu la kufua na kunyoosha nguo zako

    Dobimaridadi Mtaalamu(specialist) wa kufua na kunyoosha nguo yupo kwa ajili yako kuhakikisha umaridadi wa muonekano wako kwa kuvaa nguo nadhifu. Tupe nguo zako leo tukufulie/kunyoosha kwa umakini wa hali ya juu wewe leta nguo ya aina yoyote bila kujali ni ngumu kiasi gani sisi tutahakikisha...
  12. INAUZWA Mashine ya Kufua na Kukausha Nguo 10kg Inauzwa

    Mashine ya Kufua na Kukausha nguo 10kg inauzwa bei chee. Acha kufua kwa kutumia mikono. Kazi hiyo ziachie mashine zifanye. Bei 450K Wasiliana na muuzaji: 0757669270
  13. U

    Lissu: Wakati wa Magufuli waandishi walikuwa wanaogopa kunihoji, kwa sasa wanaweza kunisogelea

    Ameyasema leo akihojiwa na Ngasa TV leo Dodoma akiwa njiani kuelekea nyumbani kwao Ikungi, Singida.. Akizungumzia utawala wa Rais Samia Suluhu, amesema moja ya mambo yaliyobadilika kidogo baada ya Mwendazake John P. Magufuli kufa, ni waandishi wa habari kuwa na ujasiri wa kumsogelea na kumhoji...
  14. Leo nalibatiza bwawa la kufua umeme Mto Rufiji

    Asanteni JF Kwa maua maua kuelekea mwisho wa mwaka Na ikawe heri next year panapo majaliwa Bwala la mto Rufiji dedication ni kwa Magufuli na Nyerere. Hawa Ndiyo washika maono wetu. Wamechukua maamuzi magumu kuhakikisha Tanzania iwe na umeme wa uhakika. Bwawa hili Nalibatiza Kwa jina la "...
  15. Wagonjwa watakiwa kufua mashuka ya hospitali

    Ukosefu wa maji katika Kijiji cha Chihangu kilichopo Wilaya ya Newala, Mkoa wa Mtwara umesababisha wagonjwa wanaotibiwa katika Kituo cha Afya Chihangu kutakiwa kufua nguo za hospitali kabla ya kuruhusiwa. Mkazi wa Kijiji cha Kihangu B, Musa Kajana amesema wagonjwa wanapomaliza kupata matibabu...
  16. TANESCO: Mabwawa ya kufua umeme yamekauka

    "....Kihansi, Hale na Bwawa la Mungu yote yamekumbwa na uhaba wa maji hali inayopelekea mchana kutozalisha umeme ili kujaza maji ili usiku uzalishaji ufanyike." TANESCO. ======= Mamlaka ya Hali ya Hewa hivi karibuni ilitoa taarifa juu ya mabadiliko ya tabia ya nchi yanayoleta athari nyingi...
  17. N

    Mradi uliokwama kwa miaka 24 wafufuliwa rasmi

    Waziri wa Nishati, January Makamba amefika kwenye Wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe na kufika kwenye mradi wa kufua umeme kwa Njia ya Maji wa Rumakali (MW 222) wenye thamani ya Shilingi 1.4 Trilioni uliosanifiwa tangu mwaka 1998. Mbele ya Waziri Makamba, Wananchi wamesema walishakata tamaa ya...
  18. Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

    Huu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi Tunapaswa kuelewa maisha yamebadilika na yanatubadilisha, tutake tusitake. Tunapoweka faida za kuoa mwanamke msomi na asiye msomi tujue tunaelezea hizo sifa tukiwa katika era ipi. mfano: 1...
  19. Rasmi Ethiopia waanza kufua umeme kutoka Mto Nile, Nchi jirani zakasirika

    Ethiopia, leo Jumapili inatarajiwa kufua umeme kutoka kwenye Bwawa la The Grand Ethiopian Renaissance linalokabiliwa na utata lililoko katika Mto Nile. Bwawa hilo limekuwa chanzo kikuu cha mzozo wa kikanda tangu kuanza kwa ujenzi wake muongo mmoja uliopita. Mataifa jirani ya Ethiopia, Misri na...
  20. Kuna nini nyuma ujenzi wa bwawa la Nyerere la kufua umeme

    Mengi yamezungumzwa kuhusu ujenzi wa hilo Bwawa. La hivi karibuni ni pale Waziri husika alipodai mkondrasi wa ujenzi, ambaye ana utaalamu, ujuzi, uzoefu na uwezo mkubwa, ati hana mtambo wa kubeba (winch) wenye uwezo wa kusimika milango ya kuzuia maji yenye uzito wa tani 26. Au ni hadithi ile ile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…