Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Kauli ya Mchungaji Rose Shaboka kuhusu kuwa na digrii nne na kukataa majukumu ya nyumbani kama kupika inaleta hofu kubwa.
Elimu inapaswa kumjenga mwanamke kuwa msaidizi bora na mwenye hekima, na sio kumpandisha kiburi cha dharau hadi kukataa kufua boxa za mumewe. Iko siku atakataa tendo la ndoa na kutafuta njia mbadala zisizo za asili kama vifaa vya ngono (dildo).
Mwishowe atatmani kubadili jinsia (transgender) kwa kisingizio cha mafanikio ya degree 4. Hii inakiuka kabisa uumbaji na asili ya mwanamke. Elimu ya juu haiondoi thamani ya huduma ya upendo na unyenyekevu ndani ya nyumba.
Biblia inabainisha wazi majukumu na nafasi ya mwanamke kwa mume wake katika Waefeso 5:22-24:
"Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana. Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye alivyo kichwa cha Kanisa... Lakini kama vile Kanisa lilivyo chini ya Kristo, vivyo hivyo wake nao wawatii waume zenu katika kila jambo."