Leo Shoboka kakataa kufua boxer, iko siku atatamani kumiliki dildo

Leo Shoboka kakataa kufua boxer, iko siku atatamani kumiliki dildo

Nini maana ya niishie kuosha boxer? Nafikiri yeye hatopenda awe tu mama wa nyumbani anataka awe anajishughulisha
 
Mbona kuongea kitu cha kawaida kabisa wala sijaona baya lolote, "kwa uwekezaji ambao mzee wake amefanya katika kumsomesha hategemei awe mwanamke wa kuishia kuolewa na kufanya majukumu ya kawaida ya nyumbani, badala yake anatakiwa aende mbali zaidi" hivyo tu
 
Watu hawajamsikiliza wameona headings tu
 
Kwanini wanawake wanaharakati wengi wao wanatoka uchagani
 
Attachments

  • 20260709_012941.jpg
    20260709_012941.jpg
    432.3 KB · Views: 15
View attachment 3620061
Kauli ya Mchungaji Rose Shaboka kuhusu kuwa na digrii nne na kukataa majukumu ya nyumbani kama kupika inaleta hofu kubwa.

Elimu inapaswa kumjenga mwanamke kuwa msaidizi bora na mwenye hekima, na sio kumpandisha kiburi cha dharau hadi kukataa kufua boxa za mumewe. Iko siku atakataa tendo la ndoa na kutafuta njia mbadala zisizo za asili kama vifaa vya ngono (dildo).

Mwishowe atatmani kubadili jinsia (transgender) kwa kisingizio cha mafanikio ya degree 4. Hii inakiuka kabisa uumbaji na asili ya mwanamke. Elimu ya juu haiondoi thamani ya huduma ya upendo na unyenyekevu ndani ya nyumba.

Biblia inabainisha wazi majukumu na nafasi ya mwanamke kwa mume wake katika Waefeso 5:22-24:
Watu wengi wamemuelewa vibaya ila hakumaanisha hivyo wanavyo tafsiri. Alicho maanisha degree zake 4 hazimfanyi kuishia kuwa mama wa nyumbani bali atafanya zaid ya umama wa nyumbani
 
Back
Top Bottom