Mdada unaolewa huwezi kupika wala kufua kiafrika, hii imekaaje?

kulagha nenga

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2026
Posts
690
Reaction score
1,375
Mgonile wadau,

Mdada anakuja kwako kukusalimia ,umeandaa vyazi nyama na mazagazaga kibao unajua Leo umempata mtu WA kupika chakula kizuri. Anakuambua agiza chakula yeye hawezi pika anatoa visingizio kibao kumbe hawezi kupika

Unampeleka binti kwenu , mtihani wakwanza mama anamwambia ampikie chakula fulani Tena ni chakawaida kabisa. Binti jashi Lina mtoka.

Anahangaika huko anakuja kuja kuleta mezani chakula chaajabu hapo yupo mama baba na dada ZAKO. Aibu ya mwaka!!
Shida hapa nini , malezi au uzungu mwingi.

Sifa kubwa ya mwanamke WA kiafrika ni kusimamia nyumba yake. Yaani familia wale washibe Tena chakula kilichopikwa vizuri. Hapo ndugu jamaa na marafiki watakusifia Kwa kuoa mke bora
 
Mgonile wadau,
Mdada anakuja kwako kukusalimia ,umeandaa vyazi nyama na mazagazaga kibao unajua Leo umempata mtu WA kupika chakula kizuri. Anakuambua agiza chakula yeye hawezi pika anatoa visingizio kibao kumbe hawezi kupika
Unampeleka binti kwenu , mtihani wakwanza mama anamwambia ampikie chakula fulani Tena ni chakawaida kabisa. Binti jashi Lina mtoka. Anahangaika huko anakuja kuja kuleta mezani chakula chaajabu hapo yupo mama baba na dada ZAKO. Aibu ya mwaka!!

Shule, tuition, homework, chuo, and labda baadaye kazi/sjira/biashara.

Unatarajia ajifunze muda gani wakati nyumbani kuna house girl anayetakiwa kuhakikisha kila wakitoka kwenye mizunguko hiyo wakute chakula tayari?
Kwa kukusaidia ni kwamba, ukiamua kuoa bint wa aina hiyo lazima sehemu ya mfumo wa maisha aliyokuwa akiishi kwao ui adopt pia kwake ili aendelee kuwa Mwanamke yule uliyempenda na kuvutiwa naye, ndiyo maana tunapohamisha mmea uliiota ili kwenda kuupandikiza kwingine huwa tunahamisha mmea na sehemu ya udongo wa hapo ulipokuwepo huo mmea.

Kimgine ni je, unaoa mwanamke wa kisasa au umeenda kuoa miaka ya 80?
 
Binti lazima afundishwe mapema vitu kama hizo, LAKINI wazazi tunawalea vibaya watoto wetu. Mimi ni mwanaume LAKINI najua kupika hata kama sio Kwa kiwango kikubwa. Hii ni kwasababu wazazi wangu walinifanya niwe HIVI kupitia malezi yao me
 
Mgonile wadau,
Mdada anakuja kwako kukusalimia ,umeandaa vyazi nyama na mazagazaga kibao unajua Leo umempata mtu WA kupika chakula kizuri. Anakuambua agiza chakula yeye hawezi pika anatoa visingizio kibao kumbe hawezi kupika
Unampeleka binti kwenu , mtihani wakwanza mama anamwambia ampikie chakula fulani Tena ni chakawaida kabisa. Binti jashi Lina mtoka. Anahangaika huko anakuja kuja kuleta mezani chakula chaajabu hapo yupo mama baba na dada ZAKO. Aibu ya mwaka!!
Shida hapa nini , malezi au uzungu mwingi.
Sifa kubwa ya mwanamke WA kiafrika ni kusimamia nyumba yake. Yaani familia wale washibe Tena chakula kilichopikwa vizuri. Hapo ndugu jamaa na marafiki watakusifia Kwa kuoa mke bora
Cha msingi angalia kama anakingine cha ku offer kwenye familia....
Kupika ni ujuzi tu kama kuendesha baiskeli, kufua nk wadada waliotumia muda mwingi shuleni baadhi yao sio wapishi wazuri; hivyo fanya utaratibu ajifunze. Kupika kunafundishika hasa kama anapenda
 
Mgonile wadau,
Mdada anakuja kwako kukusalimia ,umeandaa vyazi nyama na mazagazaga kibao unajua Leo umempata mtu WA kupika chakula kizuri. Anakuambua agiza chakula yeye hawezi pika anatoa visingizio kibao kumbe hawezi kupika
Unampeleka binti kwenu , mtihani wakwanza mama anamwambia ampikie chakula fulani Tena ni chakawaida kabisa. Binti jashi Lina mtoka. Anahangaika huko anakuja kuja kuleta mezani chakula chaajabu hapo yupo mama baba na dada ZAKO. Aibu ya mwaka!!
Shida hapa nini , malezi au uzungu mwingi.
Sifa kubwa ya mwanamke WA kiafrika ni kusimamia nyumba yake. Yaani familia wale washibe Tena chakula kilichopikwa vizuri. Hapo ndugu jamaa na marafiki watakusifia Kwa kuoa mke bora

Naona wachangiaji wengine wametoa ushauri wa busara, umenyooka!

Hakuna anayejua kila kitu, kuna vitu inawezekana yuko vizuri anajua kuvifanya unavifurahia na vingine inabidi ajifunze.

Kupika ni ujuzi unaofundishika, kama ana utayari wa kujifunza, na wewe unampenda kwa dhati, basi mpe sapoti ajifunze.

Hata huku kwenye jamii, wapo wamama watu wazima tu ambao hawajui kupika vizuri kivile, kwenye mashughuli wao kazi zao huwa ni kuandaa viungo vya kupikia, so ni mambo ya kawaida tu hayo.
 
Umewasilisha tatizo ambalo linaanza kuwa common miongoni mwa mabinti wengi sasa

Hii imesababishwa na Wazazi wengi kuwalea watoto kisasa kama mayai, bila kuwafundisha hizo skills muhimu za kumuandaa kuwa mama bora baadaye

Hata vijana wa Kiume nao kushindwa hata kuchemsha chai, nalo ni tatizo

Kuna siku mke anakuwa amelazwa unashindwa hata kumpikia uji 🙌
 
Dunia inandaa Wanawake wa Kizaz Cha Ajabu
Kaz ku scroll Tiktok na kujipamba
8410C512-E51C-48C6-ABA6-8DBD7DC3C44F.jpeg
 
Hawa wa siku hizi hawapitii michezo ya kibaba baba na mama mama, huko kuna kujipilikisha. Demu anapika msoso kwenye kopo unaiva na we meni unakula. Kozi za kupikapika huanzia utotoni huko michezoni. Kilichobaki ni kubeba midoli tu
 
Back
Top Bottom