Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,767
- 26,079
Kazi kweli kweli, changamoto nyingine ni hii huwa hawataki kujifunza, nyie mnaosema mpeleke VETA sio rahisi, wanawake wa namna hiyo huwa hawakubali kubwa hawajui na kuchukua hatua wenyewe, badala yake unapewa option ya kuagiza chakula au kumtafuta binti ili yeye abaki kwenye hali ile ile.
Jiulize kama kweli tuko katika zama za AI ambaye anaweza kukufundisha kupika, wewe binti kwa nini usijiongeze kupata hayo maarifa?
Jiulize kama kweli tuko katika zama za AI ambaye anaweza kukufundisha kupika, wewe binti kwa nini usijiongeze kupata hayo maarifa?