kufuata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bill

    INAARIFIWA: Yanga kwenda Uwanjani 08/03/2025 mechi ilipoahirishwa ni kufuata majini yao na kuondoa uchawi wao.

    Kwanini Yanga walilazimisha kwenda uwanjani hata baada ya mechi kuahirishwa hiyo tarehe 8 Machi 2025? Ilikuwa ni kwenda kuondoka na majini na uchawi wao waliouacha uwanjani. Hakukuwa na namna nyingine ya kuhamisha uchawi wao mara baada ya bodi ya ligi kutangaza mechi haipo. Sasa wanaingiaje...
  2. Stephano Mgendanyi

    Wastaafu Kufuata Huduma ya NHIF Dodoma Sasa Limekwisha

    Wastaafu Kufuata Huduma ya NHIF Dodoma Sasa Limekwisha "Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita Aliandika Barua Kwenda Wizara Ya Afya Kuomba Wazee "Wanatakiwa Wasije Hapa Dodoma Ama Kwenda Ofisi Za Mikoa Kwenda Kuhudumiwa Kule Na, Tumeiona Barua Yako na Mimi Nikwambie Sasa Wale...
  3. Poppy Hatonn

    Wazalendo wanasema kila mbuzi anakula kwa kufuata urefu wa kamba yake.

    Wazalendo,wale militia wa DRC, wanasema kila mbuzi anakula kwa kufuata urefu wa kamba yake. Wanasema wanataka kuiteka Kigali. Wanasema hawatapora mali ya mtu yeyote,au kufanya uovu wowote dhidi ya raia. Watawalenga tu RDF Isipokuwa wamesema ikumbukwe kwamba kila mbuzi anakula urefu wa kamba...
  4. BabaMorgan

    Mke wangu ni mpambanaji anafanya biashara mara nyingi anasafiri mikoani kufuata mzigo.

    Kama mwanaume inabidi ujisikie aibu kutoa statement ya namna hiyo sisi graduate wa Cuba tunakuchora na kukuonea huruma jinsi mali yako inavyotafuna bila huruma na wafuatao. 1. Supplier 2. Dalali anayetafuta mzigo 3. Transporter 4. Dalali anayetafuta wateja 5. Mteja Kila trip ambayo mkeo...
  5. Z

    Taasisi ya elimu ya juu imeanzisha chama cha kusaidiana kufuata dini ndani ya Ofisi ya serikali

    Kuna taasisi ya elimu ya juu imeruhusu umoja wa kusaidiana kwa misingi ya dini. Tafsiri yangu ni kwamba, kwa kuunda umoja huo, na kuhamasishwa na viongozi wa taasisi ni ishara ya kuwatenga watu wa dini zingine. Nimeona ushahidi kupitia kumbukumbu ya malipo ya mishahara (salary slip) ya mmoja wa...
  6. R

    Lissu kuhusu mustakabali wako CDM, jifunze Kwa JK kuliko kufuata ya Lowwassa.

    Hellow!! Kuna wajinga humu wanakudanganya kuwa Eti ikitokea umeshindwa uenyekiti Kwa namna yoyote Ile kwamba ukiondoka CHADEMA utasomba umati wa wanachama wengi na kukiua CHADEMA! Hii Si Kweli, ni kujillisha upepo, wewe ni mtu mmoja, CHADEMA ni Taasisi. Ni vyema ukajifunza Kwa Jakaya Kikwete...
  7. LA7

    Umeshawahi au kunusurika kwenda korokoroni kwa kufuata mkumbo?

    Hii inaweza kumtokea mtu yoyote haijalishi unahusika Moja kwa Moja au lah! Mimi nakumbuka Kuna siku rafiki yangu akuja na mteja anauza dsk 1tb kwa 20 tu basi kwasababu nilimwambiaga nahitaji hivo akaamua kumleta muuzaji kwangu Basi sijui nn kilitokea Ila nikajikuta nimekataa kununua ile zaga...
  8. MAKA Jr

    NJIA PEKEE YA KUJITENGA (AU KUWA SAWA) NA WANYONYAJI KUTOKA ULAYA NA MAREKANI NI KUFUATA NYAYO ZA CHINA NA URUSI

    Baada ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupigwa marufuku kukanyaga anga la Ulaya, mimi binafsi nimefurahishwa na hoja nzuri za kizalendo zilizotolewa na Watanzania wengi. Wengi wao wanalaani na kulaumu njia za kinyonyaji za Umoja wa Ulaya (EU) pamoja n washirika wake. LAKINI mimi naona...
  9. MAKA Jr

    Njia pekee ya kujitenga (au kuwa sawa) na Wanyonyaji kutoka Ulaya na Marekani ni kufuata nyayo za China au Urusi

    Baada ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupigwa marufuku kukanyaga anga la Ulaya, mimi binafsi nimefurahishwa na hoja nzuri za kizalendo zilizotolewa na Watanzania wengi. Wengi wao wanalaani na kulaumu njia za kinyonyaji za Umoja wa Ulaya (EU) pamoja n washirika wake. LAKINI mimi naona...
  10. Mag3

    Kongole Chadema! Kiongozi ni yule anayejua njia, anaonyesha njia, kutengeneza njia pale hakuna njia!

    Uongozi, hufafanuliwa kama uwezo wa mtu binafsi, kikundi, au shirika wa kushawishi njia mbadala na si kufuata tu njia aliyoikuta hata kama njia hiyo inaelekea kuzimu. Hatua ya Mbowe naye kutangaza kutetea nafasi yake, mimi naipongeza kwani itakiwezesha Chadema kuitafsiri falsafa yake ya...
  11. K

    Je tunatakiwa kufuata sheria au maamuzi ya mtu fulani?

    Sheria, Kanuni na taratibu zimetungwa kwa ajili ya chaguzi za Serikali za Mitta. Iweje leo tunaziacha na kufuata uamuzi wa mtu binafsi. Kama mgombea kakosea sheria, kanuni na taratibu kwa nini asiondolewe kwenye uteuzi. Nashauri tufuate sheria, kanuni na taratibu. Tusiwe na double standards.
  12. jingalao

    LGE2024 Kama kuna aliyeenguliwa bila kufuata kanuni afuate utaratibu wa kawaida kujitetea

    Mimi kama mwanakijiji nataka Mwenyekiti aliyewiva katika kuzijua kanuni mbalimbali ...sitaki mwenyekiti mshari au lialia. Sasa kama unahisi umeonewa onesha weledi wa kupambana kupitia kanuni sio vurugu wala media.
  13. A

    Hatua gani napaswa kufuata ili nimiliki muhuri wa Architect?

    Nahitaji kuwa na muhuri wa Architect ambao naumiliki mimi mwenyewe ni hatua zipi nifuate ili niweze kupata Muhuri wa Archotct?
  14. Mr Why

    Nchi ya Tanzania itafanikiwa endapo 90% ya Wananchi watakuwa wamepata elimu na kujifunza nidhamu ya kufuata sheria

    Ndugu zangu Watanzania napenda kuwaeleza kuwa matatizo ya Tanzania yanasababishwa na ukosefu wa elimu (ujinga) na sio umasikini. Utajiri unapatikana hata kwa kuuza mboga endapo nidhamu ya pesa itazingatiwa Wananchi wanapokosa elimu matokeo yake ujinga unatawala katika fikra zao na mwisho wake...
  15. kichongeochuma

    Viongoiz jifunzeni kufuata utawala wa sheria! Mkuu wa mkoa manyara huna mamlaka ya kuzuia Uhamisho wa Watumishi wa Umma

    Nchi hii ifike mahali tuwe na chombo kinacho wasimamia hawa viongozi maana nikama wakisha kuwa na madaraka ya juu basi wapo overall, Haya ya kuendelea kuwaacha waongoze kwa utashi wao na sio kuzongatia sheria kuna siku yatatokea ya Dr. Kleruu na mwamwindi Mkuu wa mkoa kwa utashi wake anasimama...
  16. U

    MWONGOZO rasmi wa kiroho wa kufuata mnapokuta maiti ya mtu ameuawa mtaani kwenu na hamjui nani kamuua

    Wadau hamjamboni nyote? Huu ndiyo utaratibu wa kufuata inapotoea mtu ameuawa kwenye maeneo yenu na aliyemuua mtu huyo hajulikani Kumbukumbu la Torati 21:1- 9 1 Aonekanapo mtu ameuawa katika nchi akupayo Bwana, Mungu wako, kuimiliki, amelala kondeni, wala haijulikani ni nani aliyempiga; 2...
  17. Lomaa lolusa

    Taratibu za kufuata ili kupata kibali cha kuendesha lodge

    Members habari za wakati huu nauliza ni taratibu zipi za kufuata ili kupata leseni ya biashara ya lodge
  18. K

    Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga: Zifuatazo ni hatua za kufuata katika kuboresha mita yako

    TAARIFA KWA WATEJA KANDA YA KATI NA KANDA YA KASIKAZINI MABORESHO YA MITA ZIMEBAKI SIKU Kwa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga Zifuatazo ni hatua za kufuata katika kuboresha mita yako HATUA YA KWANZA: Pindi unaponunua umeme kwa simu au wakala wa kuuza...
  19. W

    'Hakuna Matata Acrobats' wanaendelea kufuata nyayo za 'Ramadhan Brothers'

    Kundi la waruka sarakasi kutoka Tanzania liitwalo 'Hakuna Matata Acrobats' wanaendelea kufuata nyayo za 'Ramadhan Brothers', hii ni baada ya kutua kwa kishindo katika hatua inayofuata kwa kupewa Golden Buzzer kutoka kwa jaji Sofia Vergara. Kupitia ukurasa wao wa Instagram wame-share video...
  20. Yoda

    Ni sahihi kijana wa karne hii kufuata ushauri wa "wazee" katika ndoa au mahusiano?

    Nyakati zimebadilika sana, wanawake single mothers , talaka kwa Wakristo na ndoa kwa watu wa makabila tofauti sio mwiko(taboo) tena, katika mazingira haya je kuna haja ya kuwasikiliza na kuwatilia maanani wazee walioishi karne hiyo kuhusiana na masuala ya ndoa au mahusiano?
Back
Top Bottom