kufuata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mgosi Mbena

    Mliopata utashi wa kufuata dini tofauti na za kurithishwa na wazazi wenu, mliwezaje?

    Hapa kazini nimekutana na binti Wa kisabato.Nimekua nae karibu sana na ananiheshimu sana kikazi lakin pia kimahusiano ya kawaida. Ni binti mwenye maadili ya hali ya juu, kutokana na mazoea nikaamua nimchimbe alikujaje kua msabato kwan nilijua amezaliwa kwene familia ya kisabato haswaa. Cha...
  2. Webabu

    Tanzania kupitia TRA ianze kufuata uchumi halali kuondosha malalamiko ya wafanyabiashara na kukuza uchumi

    Malalamiko ya hali mbaya za kiuchumi na kutoka kwa wafanyabiashara yamekuwa sugu. Njia zote kuleta nafuu zimeshindikana.Sababu ya hali hiyo ni kwa vile njia za uchumi zinazofuatwa si halali. Tumezoea kurithi kila tunacholetewa kutoka kwa watu wa Ulaya waliowahi kuwa wakoloni wetu.Na kwa vile...
  3. Etugrul Bey

    Njia za kufuata ili kutatua matatizo yoyote yale

    Matatizo ni sehemu ya maisha ya mwanadamu,,kwa maana kwamba kama kusingekuwa na matatizo basi huyu mwanadamu asingekuwa na umuhimu wowote hapa duniani Kwahiyo shida na matatizo ndio yanatufanya tutafakari kwa kina,tuwaze na kuwazua na mwisho wa siku tunapata ufumbuzi Kuna njia nne kuu za...
  4. T

    China yahitimisha kubadilisha majengo ya misikiti kutoka mtindo wa Kiarabu na kufuata mtindo wa Kichina

    Mwaka 2018 China ilitangaza kuyabomoa majengo yote ya kidini yenye usanifu wa tamaduni nyingine na kuyajenga kwa kufuata majengo ya Tamaduni za Kichina. Katika waraka huo wa mpango mkakati wa miaka 5, China ilisema itabomoa majengo mengi ya kidini ya mtindo wa Kiarabu ama mtindo mwingine usio...
  5. U

    Taratibu za kisheria za kufuata unapotaka kununua chombo cha moto ni zipi?

    Wanajf Ninaomba mnijuze taratibu za kisheria za kufuata ili kununua na kumiliki chombo cha moto mfano bodaboda. Ninauliza kwa sababu wauzaji wamekuwa wengi,vinavyouzwa navyo ni mchanganyiko halali na visivyo halali! Ubora nao ni nadra kuujua kwani "orijino na feki" navyo vinapatikana kundi...
  6. ngara23

    Kumbe Kuna taratibu za kufuata ili kununua sumu

    Elimu haina mwisho Leo nilikuwa nasikiliza radio Fulani wakawa wanaeleza taratibu za kuuza na kununua sumu. Kumbe haitakiwi kununua sumu nyingi bila kibali cha mamlaka maana yaweza sababisha madhara Kwa jamii Labda mtu anaweza akawa na nia ovu ya kuua halaiki ya watu na mifugo. Labda kuweka sumu...
  7. Azniv Protingas

    Ni hatua gani za kufuata ili kuishtaki kampuni binafsi ambayo imenitapeli

    Kama kichwa kinavyoelezea hapo juu, kuna kampuni moja binafsi imenitapeli kiasi cha pesa. Sasa naomba kujua nawezaje kufungua kesi na kuishtaki ili niweze kupata haki yangu. Pesa yenyewe ninayowadai ni kidogo (250,000) ndio maana nasita kwenda kushtaki kwa kuhofia kuwa kunaweza kuwa na gharama...
  8. stakehigh

    Dinari Kuwaiti: Ndio Sarafu Imara Duniani na Njia Tanzania Inaweza kufuata ili Kuifikia

    Dinari ya Kuwait (KWD) ndio sarafu yenye nguvu zaidi duniani. Lakini ni nini hasa kinachoifanya kuwa imara, na je, Tanzania inaweza kujifunza nini kutoka kwa mafanikio ya Kuwait? Wacha tuchunguze sababu za nguvu ya dinari na kuchunguza njia zinazowezekana za ukuaji wa uchumi wa Tanzania. Nguvu...
  9. Dr. Said

    Pata Wazo Zuri la Biashara ya Mtandaoni Kwa Kufuata Formula Hii

    Hello wanajamii, Baada ya kuwasaidia zaidi ya wafanyabiashara 3000 kujenga biashara mtandaoni, moja ya swali ninaloulizwa sana na watu ni formula nzuri ya kupata wazo zuri la biashara. Nimejibu swali hilo katika video ifuatayo: https://www.youtube.com/watch?v=oN9ZQWzAoxk Enjoy. Kama una...
  10. chiembe

    Hili la Jerry Silaa kuzuia maafisa ardhi kuwashauri watu waende Mahakamani, anataka watu wauane mitaani badala ya kufuata sheria?

    Huyu ni Waziri, kazuia watu kushauriwa waende Mahakamani, na ndiye anapaswa kusimamia utawala wa sheria, anataka watu wachapane makonde mitaani? Amewapa maafisa ardhi gepu la kufanya bomoa bomoa nchi nzima kama yeye anavyofanya? Ajabu kabisa huyu ni mwanasheria! Kuna mtu ambaye hajui hawa ndio...
  11. JamiiCheck

    Hatua za kufuata unapofanya uhakiki wa Picha kwa kutumia Yandex

    Yandex ni njia nyingine ya utafutaji inayotumika sana kufanya uhakiki wa picha. JamiiCheck imekuandalia utaratibu wa hatua kwa hatua wa jinsi ya kutumia Nyenzo hii kufanya uhakiki wa picha. 1. Fungua Kivinjari Chako Anza kwa kufungua kivinjari chako kwenye kifaa chako cha mkononi au kompyuta...
  12. S

    Bomoa bomoa Kimara Mwisho-Bonyokwa zimeanza tena

    Barabara ya Kimara mwisho bonyokwa kwenda segerea ilkua chini ya TARURA ghafla tumeskia imechukuliwa na TANROADS ambao wanajenga barabara bila kulipa fidia kwenye maeneo ya watu ambapo barabara imewakuta na kutoa notisi ya siku 30 tu watu wabomoe barabara. Barabara tunaipenda ila ni walipe...
  13. chama mpangala

    Natamani kufahamu hatua zipi za kufuata ili niweze kuwa wakala wa kampuni za betting

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natamani kufaham hatua zipi za kufuata ili niweze kuwa WAKALA wa kampuni za Betting kama, MERIDIANBET, PLAYMASTER, PRIMIERBET na nyingine zinazofanana na hizo. Naomba Mwenye uzoefu au aliyefungua Ofisi anisaidie hatua za kufuata niweze kufungua Ofisi Mkoani...
  14. Dr Adinan

    Nashindwa kudhibiti kisukari licha ya kutumia dawa na kufuata masharti

    Siku moja tukiwa tunaongea na wagonjwa katika mijadala ya kawaida kuhusu kudhibiti kisukari na presha, mgonjwa mmoja aliuliza swali la muhimu sana. Dr. Mimi nashangaa, ninamuiga mume wangu aina ya vyakula na kiwango lakini yeye ameweza kudhibiti ila mimi siijaweza. Tatizo nini? Wagonjwa...
  15. I

    Kabila la wahindu linataka kuhamia Israel kufuata asili yao na liko tayari kupambana na Hamas

    Huku kukiwa na mzozo wa kikabila nyumbani, jumuiya ndogo kaskazini-mashariki mwa India inajaribu kuhamia Israel, ambako wanasema mizizi yao ni uongo. --- Aizawl, India – Joseph Haokip, an undergraduate student in Manipur, is excited at the thought of going to Israel. He is ready to join the...
  16. C

    Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kurudia mtihani wa Kidato cha Nne

    Naomba Team mnipe hatua zamsingi za kuzingatia ili kujiandikisha kuridia mtihani wa kidato cha nne. (Mhitaji anataka kituo tu, yeye atajisomea online).
  17. Sildenafil Citrate

    Mamlaka ya usimamizi wa wanyama pori Tanzania (TAWA) yasema taratibu zote za kisheria zilifuatwa kwa mamba aliyewindwa na kuuawa ziwa Rukwa

    Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) imesema imekamilisha uchunguzi uliokuwa unafanywa ili kuona kama kuna ukiukwaji wa sheria za uwindaji baada ya kuonekana kwa video ya Mwindaji wa Marekani Josh Bowmer akifurahia kuwinda mamba mkubwa chini Tanzania na kuleta taharuki, ambapo uchunguzi...
  18. UMUGHAKA

    Kufuata Bidhaa hapo China kusikufanye ukajiona umeyapatia maisha ukadharau watu!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Kama kuna watanzania ambao wanajiona wameyapatia maisha kuliko watanzania wote,basi ni hao wanaofuata bidhaa hapo China!. Aisee,asikwambie mtu jamaa wanajiona wako matawi kinoma!. Bidhaa zenyewe mnaleta feki na kama ni nguo basi ni midosho ya kufa...
  19. Cobrahypnosis

    Taratibu za kufuata ili kupunguza thamani za hisa za kampuni

    habarini wanajukwaa natuamini wote ni wazima wa afya na mlio na changamoto mungu awe nanyi katika kila hatua AMEN. Naomba muongozo wa taratibu gani za kufuata ili kuweza kupunguza thamani ya hisa za kampuni. mfano katika memats ya kampuni tuliandika thamani ya hisa moja ni 2 million lakini...
  20. el_magnefico

    Naomba msaada juu ya tararibu za kufuata na hatua zakufunga ndoa na raia wa kigeni

    Habari wanajamii, kuna rafiki yangu (raia wa Tanzania anataka kufunga ndoa na mpenzi wake ni raia wa Marekani anayeishi nchini kwa kufuata taratibu zote . Hivyo nahitaji kufahamu ni taratibu zipi afuate ili aweze kufunga naye ndoa ya kiserikali.
Back
Top Bottom