awamu
baada
bahati
bahati mbaya
ccm
chama
chama cha mapinduzi
ethiopia
hii
kondoo
kufuata
kutamka
kutoka
maelekezo
mapinduzi
mbaya
mbuzi
mgeni
nafuu
rais
rais samia
samia
video
wapi
Nimekaa na kuwaza sana kuhusu nafasi ya Mtu Mweusi kwenye ulimwengu huu wa kibabe na ni kwa hakika wala siioni nafasi yetu zaidi ya kuonekana tu kuwa tunafaa kubaki kama Jamii ya kuwatumikia hao Wakubwa.
Mifumo yetu yote ya Elimu imeasisiwa kwao na Wengine huko nasi kubaki kama wapokeaji...
Nimekuwa napokea meseji nyingi za hivi, lakini nikifuata maelekezo sioni matokeo👇
Ndugu Mteja, tuma taarifa za UTAPELI unaofanyika kwa njia ya simu kwa kutuma ujumbe wenye neno utapeli kwenda 15040 kisha fuata maelekezo au piga *148*90#
Ndoa ndoana, waweza kudhani umepata kwa kumchunguza mda mrefu kumbe ni mtego tu wa kukushawishi muingie kwenye ndoa, weeeehh!!! ingia sasa kwenye hio ndoa akiyacomoa makucha aliyoficha utaomba poo
Sheria za wakristo ni kwamba hakuna ndoa kuvunjika na hakuna kuoa tena, kiuhalisia hili ni jambo...
KANUNI KUU ZA KUFUATA UNAPOENDA KUOGELEA.
Anaandika, Robert HERIEL
Kabla ya kuyachezea maji lazima utambue haya;
1. Maji hayana Mjuzi, mbabe.
2. Maji ni kiumbe hai, kwani ni chanzo cha uhai na huweza kukomesha Uhai. Unapozungumzia viumbe vyenye nguvu basi Maji na Upepo ni Moja ya viumbe hivyo...
Habari wanajukwaa hili la biashara!
Nimekuja kwenu mnisaidie hatua za kufuata kabla sijafungua biashara nataka nifungue duka ambalo nitauza bidhaa zifuatazo Vipondozi aina zote, vitenge, madera, na kwa baadae nifumgue huduma zote za kifedha (M-pesa, Tigo pesa, Airtel money, Halopesa na wakaka...
Mimi ni mkereketwa wa CCM , mfurukutwa kada kindaki ndaki na mwanachama pia, hii tabia ya magari yanayopeperusha bendera za Chama kuendeshwa hovyo hovyo kwa kasi bila kujali sheria za barabarani haipendezi.
Ipo siku italeta balaa na siku sio nyingi.
Mfano majuzi pale gari moja ya kiongozi...
Utangulizi.
Huduna ni shughuli ambayo hufanywa kwa manufaa ya wengine, inaweza tolewa na mtu au taasisi. Huduma bora ni shughuli itolewayo ili kukidhi mahitaji ya muhitaji, na muhitaji hurudhika nayo bila kinyongo. Mifano ya huduma ni kama kupata chakula, kutibiwa au hata huduma ya kufundishwa...
Andiko hili litakua katika sehemu tatu. Moja utangulizi ambao utelezea maana ya sheria. Mbili, hapa nitaonesha baadhi ya maamuzi ya kisheria yenye kuleta utata katika jamii zetu, ya kiuchumi, kisiasa, kijinsia na michezo na burudani
SHERIA
Ni mfumo wa kanuni ambazo hutekelezwa au hufuatwa katika...
MARCUS RASHFORD, KIPAJI KINGINE KINACHOELEKEA KUFUATA NYAYO ZA ADNAN JANUZAJ .
Kalamu ya Nasri Kulemba
Ni usiku wa maajabu ,ni siku nyingine ya ulimwengu kushanga !!! ilikua ni siku ya wanakandanda duniani kushuhudia kipaji kipya kikifanya maajabu ndani ya stadium of light . mashabiki 49,000...
Kitu mapenzi haina formula;
Usisikilize ushauri wa mtu hata kama ni nani!
Fanya mapenzi yako kwa style yako!
Chimbuko kubwa la anguko katika mapenzi ni kufurahisha au kusikiliza maoni ya watu!
Ukipenda kusikiliza story za rafiki yako anavyochepuka ni rahisi sana kuchepuka! hivyo ACHA...
Toka Freeman Mbowe atoke jela/ gerezani, ameshakutana na Rais Samia mara kadhaa sasa.
Bado sijui na sielewi kwa nini hasa wamekuwa wakikutana kutana.
Ni kweli kuwa Mbowe alikamatwa na kufungwa kimakosa.
Mtu yeyote aliye na chembe ya akili kwenye ubongo wake analijua hilo.
Kwenye nchi...
Wana JF tumekuwa wachangiaji wazuri sana wa mijadala juu ya vita inayoendelea huko ulaya kati ya mafahari watatu yaani Urusi, NATO na Ukraine.. mpaka tumefikia hatua tunabishana as if ni simba na yanga... yaani hata timu iwe mbovu hatuachi kuunda sentensi zenye propaganda nyingi ili mradi tu...
Sheria mama ya taifa letu ipo wazi kabisa na imeweka wazi kuwa rais hatalazimika kufuata ushauri wa mtu yoyote yule. Isipokuwa kama imetanabaishwa kwenye katiba ya JMT. Hii ipo wazi kwenye ibara ya 37(1) ya katiba ya JMT.
Sasa kama rais wetu analalamika kuwa ushauri wake haukufuatwa ina maana...
Wananchi wa vijiji vya Bungwe, vikonge, Ngomalusambo katika kata ya Tongwe wilayani Tanganyika katika mkoa wa katavi wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali na kubwa zaidi ni kokosekana kwa zahanati katika vijiji vyao,.
Wanakijiji wa kutoka kijiji cha Bungwe wamekuwa wakisafiri umbali wa...
Sasa Kama ilivyokuwa mwaka 1991 baada ya hali kuwa mbaya nchini urusi na nchi za kisoviet kipindi cha vita baridi vilipekea raisi wa urusi na kiongozi wa nchi za kisoviet kujiuzulu mwaka 1991
Je putin huenda akajiuzulu hali ikizidi kuwa mbaya kwa kama ilivyokuwa kwa michael gobachev alikubali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.