Sheria, Kanuni na taratibu zimetungwa kwa ajili ya chaguzi za Serikali za Mitta. Iweje leo tunaziacha na kufuata uamuzi wa mtu binafsi. Kama mgombea kakosea sheria, kanuni na taratibu kwa nini asiondolewe kwenye uteuzi. Nashauri tufuate sheria, kanuni na taratibu. Tusiwe na double standards.