kufuata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?

    Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi. hebu msikilize na wewe
  2. Salama pekee ya Mtu Mweusi kujikomboa ni kwa Siasa ya Ujamaa na kujitegemea

    Nimekaa na kuwaza sana kuhusu nafasi ya Mtu Mweusi kwenye ulimwengu huu wa kibabe na ni kwa hakika wala siioni nafasi yetu zaidi ya kuonekana tu kuwa tunafaa kubaki kama Jamii ya kuwatumikia hao Wakubwa. Mifumo yetu yote ya Elimu imeasisiwa kwao na Wengine huko nasi kubaki kama wapokeaji...
  3. Kuna Aliyewahi Kufuata Maelekezo Akafanikiwa Kwenye Hili?

    Nimekuwa napokea meseji nyingi za hivi, lakini nikifuata maelekezo sioni matokeošŸ‘‡ Ndugu Mteja, tuma taarifa za UTAPELI unaofanyika kwa njia ya simu kwa kutuma ujumbe wenye neno utapeli kwenda 15040 kisha fuata maelekezo au piga *148*90#
  4. B

    Kufuta Namba za Whatsapp zilizo left

    Naomba kuelekezwa namna ya kufuta namba Whatsapp zilizo left kwenye group. Watu wana left namba kibao zinabakia nahitaji niziondoe. Msaada tafadhali
  5. Ndoa za kikristo ni kituko, wakristo wengi wanakimbilia sheria za mahakamani ndoa zinaposumbua hawataki kufuata sheria zao za kikristo

    Ndoa ndoana, waweza kudhani umepata kwa kumchunguza mda mrefu kumbe ni mtego tu wa kukushawishi muingie kwenye ndoa, weeeehh!!! ingia sasa kwenye hio ndoa akiyacomoa makucha aliyoficha utaomba poo Sheria za wakristo ni kwamba hakuna ndoa kuvunjika na hakuna kuoa tena, kiuhalisia hili ni jambo...
  6. Hatua gani za kufuata ili kuongeza mke(mke wa pili)?

    Habarini wana JF. Naomba msaada je, ni hatua gani za kufuata ili kuongeza mke(kuoa mke wa pili)? Hapa nazungumzia wale wasio waislam. Karibuni.
  7. Kanuni kuu za kufuata unapoenda kuogelea

    KANUNI KUU ZA KUFUATA UNAPOENDA KUOGELEA. Anaandika, Robert HERIEL Kabla ya kuyachezea maji lazima utambue haya; 1. Maji hayana Mjuzi, mbabe. 2. Maji ni kiumbe hai, kwani ni chanzo cha uhai na huweza kukomesha Uhai. Unapozungumzia viumbe vyenye nguvu basi Maji na Upepo ni Moja ya viumbe hivyo...
  8. Wizara ya Elimu: Wadau wa wa elimu zingatieni Kalenda ya Mihula iliyotolewa na WyEST kupitia Nyaraka za Elimu Namba 1 na 2 za mwaka 2022

    Tangazo kutoka Wizara ya elimu, sayansi na teknolojia.
  9. Msaada hatua za kufuata kabla sijaanzisha biashara

    Habari wanajukwaa hili la biashara! Nimekuja kwenu mnisaidie hatua za kufuata kabla sijafungua biashara nataka nifungue duka ambalo nitauza bidhaa zifuatazo Vipondozi aina zote, vitenge, madera, na kwa baadae nifumgue huduma zote za kifedha (M-pesa, Tigo pesa, Airtel money, Halopesa na wakaka...
  10. Haya Magari yenye Bendera za CCM yanayoendeshwa bila kufuata sheria wahusika wakanywe

    Mimi ni mkereketwa wa CCM , mfurukutwa kada kindaki ndaki na mwanachama pia, hii tabia ya magari yanayopeperusha bendera za Chama kuendeshwa hovyo hovyo kwa kasi bila kujali sheria za barabarani haipendezi. Ipo siku italeta balaa na siku sio nyingi. Mfano majuzi pale gari moja ya kiongozi...
  11. SoC02 Umuhimu wa kuzingatia utoaji huduma bora kwa umma kutoka kwa watumishi

    Utangulizi. Huduna ni shughuli ambayo hufanywa kwa manufaa ya wengine, inaweza tolewa na mtu au taasisi. Huduma bora ni shughuli itolewayo ili kukidhi mahitaji ya muhitaji, na muhitaji hurudhika nayo bila kinyongo. Mifano ya huduma ni kama kupata chakula, kutibiwa au hata huduma ya kufundishwa...
  12. SoC02 Maamuzi ya kisheria kwa wale wote wanaovunja sheria yatekelezwe kwa kufuata sheria zilizowekwa

    Andiko hili litakua katika sehemu tatu. Moja utangulizi ambao utelezea maana ya sheria. Mbili, hapa nitaonesha baadhi ya maamuzi ya kisheria yenye kuleta utata katika jamii zetu, ya kiuchumi, kisiasa, kijinsia na michezo na burudani SHERIA Ni mfumo wa kanuni ambazo hutekelezwa au hufuatwa katika...
  13. Marcus Rashford, kipaji kingine kinachoelekea kufuata nyayo za Adnan Januzaj

    MARCUS RASHFORD, KIPAJI KINGINE KINACHOELEKEA KUFUATA NYAYO ZA ADNAN JANUZAJ . Kalamu ya Nasri Kulemba Ni usiku wa maajabu ,ni siku nyingine ya ulimwengu kushanga !!! ilikua ni siku ya wanakandanda duniani kushuhudia kipaji kipya kikifanya maajabu ndani ya stadium of light . mashabiki 49,000...
  14. D

    Epukeni kuiga mapenzi, wala kufuata ushauri wa mtu, kila mtu ashinde mechi yake

    Kitu mapenzi haina formula; Usisikilize ushauri wa mtu hata kama ni nani! Fanya mapenzi yako kwa style yako! Chimbuko kubwa la anguko katika mapenzi ni kufurahisha au kusikiliza maoni ya watu! Ukipenda kusikiliza story za rafiki yako anavyochepuka ni rahisi sana kuchepuka! hivyo ACHA...
  15. Sioni haja ya kukutana, Naona haja ya kufuata Katiba

    Toka Freeman Mbowe atoke jela/ gerezani, ameshakutana na Rais Samia mara kadhaa sasa. Bado sijui na sielewi kwa nini hasa wamekuwa wakikutana kutana. Ni kweli kuwa Mbowe alikamatwa na kufungwa kimakosa. Mtu yeyote aliye na chembe ya akili kwenye ubongo wake analijua hilo. Kwenye nchi...
  16. Ukraine wasipokuwa makini wakiendelea kufuata ushauri wa magharibi taifa lote litapotea..

    Wana JF tumekuwa wachangiaji wazuri sana wa mijadala juu ya vita inayoendelea huko ulaya kati ya mafahari watatu yaani Urusi, NATO na Ukraine.. mpaka tumefikia hatua tunabishana as if ni simba na yanga... yaani hata timu iwe mbovu hatuachi kuunda sentensi zenye propaganda nyingi ili mradi tu...
  17. Hatua za kufuata kununua kiwanja

    Wakuu naulizia hatua za kufuata kununua kiwanja kwa mtu. Naomba ushauri nisije kuingizwa mjini Nawasilisha wakuu
  18. Ibara ya 37(1) ya katiba ya JMT ipo wazi kabisa rais halazimiki kufuata ushauri wa mtu yoyote. Rais Samia hakupaswa kulalamika yeye kutosikilizwa . Ni

    Sheria mama ya taifa letu ipo wazi kabisa na imeweka wazi kuwa rais hatalazimika kufuata ushauri wa mtu yoyote yule. Isipokuwa kama imetanabaishwa kwenye katiba ya JMT. Hii ipo wazi kwenye ibara ya 37(1) ya katiba ya JMT. Sasa kama rais wetu analalamika kuwa ushauri wake haukufuatwa ina maana...
  19. Tanganyika: Wanakijiji kutembea umbali wa zaidi ya kilomita 50 kufuata huduma za Afya

    Wananchi wa vijiji vya Bungwe, vikonge, Ngomalusambo katika kata ya Tongwe wilayani Tanganyika katika mkoa wa katavi wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali na kubwa zaidi ni kokosekana kwa zahanati katika vijiji vyao,. Wanakijiji wa kutoka kijiji cha Bungwe wamekuwa wakisafiri umbali wa...
  20. Vita vya ukraine huenda vikamfanya putin kufuata nyanyo michael gobachev 1991

    Sasa Kama ilivyokuwa mwaka 1991 baada ya hali kuwa mbaya nchini urusi na nchi za kisoviet kipindi cha vita baridi vilipekea raisi wa urusi na kiongozi wa nchi za kisoviet kujiuzulu mwaka 1991 Je putin huenda akajiuzulu hali ikizidi kuwa mbaya kwa kama ilivyokuwa kwa michael gobachev alikubali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…