kufufua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni muda wa kufufua mradi wa safari City Arusha

    Habari Wakuu, Safari City ni mradi wa Satellite City uliobuniwa na NHC mwaka 2016 ni miaka 10 imepita bila mradi kuendelezwa ukienda sasa hivi unakutana na mapori, barabara zimefunikwa na nyasi, ni muda sasa wa kufufua mradi huu muhimu kwani uko pembezoni panapojengwa uwanja wa Afcon nashauri...
  2. Urusi yaanza kufufua ndege zake za abiria, kukabiliana na vikwazo vya nje

    Kwa miaka mingi usafiri wa anga wa kiraia wa Urusi umekuwa ukitegemea ndege na baadhi ya vipuli muhimu kutoka nje ya nchi kama Boeing na Airbus. Anga ya kirusi ilijaa ndege za kigeni, zikiondoa ndege za ndani, hivyo kuzuia miradi ya ndege kama vile Tu-204/214 kuendelezwa. Katika kipindi hiki...
  3. R

    Tundu Lissu toa ushauri kusaidia Nchi ishinde kesi kimataifa na kufufua shirika la ndege

    Salaam, Shalom! Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini, Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini, Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za kutosha zilizonunuliwa Kwa Kodi zetu, ndege hizo mara kadhaa zimedaiwa kukamatwa kisa kuvunja baadhi ya...
  4. Serikali Kufufua Usafiri wa Reli ya Kati Kiwango cha META GAUGE Kutoka Dodoma Mpaka Singida

    SERIKALI KUFUFUA USAFIRI WA RELI YA KATI KIWANGO CHA META GAUGE KUTOKA DODOMA MPAKA SINGIDA "Je, Serikali ina mpango gani wa kufufua usafiri wa Reli kutoka Dodoma kwenda Singida? - Mhe. Martha Nehemia Gwau, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida "Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC)...
  5. Kampuni imebuni namna ya kutumia teknolojia ya AI kama njia ya “kufufua” wafu na kuwaunganisha na wapendwa wao walio hai

    Kampuni hiyo kutoka China imekuwa ikitumia teknolojia inayoiga akili ya binadamu (AI technology) kubuni nafsi ya kidijitali ya aliyefariki na kuwezesha jamaa zake kuwasiliana naye jinsi ilivyokuwa kabla ya kufa kwake. Teknolojia hiyo imesifiwa na wengi kwa kuwa inawapa waliofiwa faraja ya muda...
  6. M

    Ujumbe kwa viongozi na watu wote kipindi hiki cha Mfungo wa Ramadhani

    Nawashauri hasa wanasiasa na waislamu, tusishinde kwenye maofisi ya vyama tu katika kipindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani. Ni muda wa kusoma Quran mwezi huu wa Ramadhani. Tujifunze walikuwepo wengi lakini hivi sasa imekua history. Maisha baada ya kufa ndio maisha kuliko haya ya duniani. Pia...
  7. Unahoji uhalali wa BBC kuhusu tuhuma za TB Joshua ila unashindwa kuhoji uhalali wa Gwajima Kufufua Mfu!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Kama kuna jambo kwenye karne hii ya 21 linalowafanya Waafrika wafedheheke huko ulimwenguni basi ni haya mambo ya dini.Dini siyo tatizo ila tatizo ni Dini!. Narudia tena " DINI SIYO TATIZO ILA TATIZO NI DINI" Yawezekana members wenye akili nusu...
  8. Kwangu ni kituko kuona mtu anamwamini mchungaji anaejinadi kufufua watu, wao kwanini walishindwa kufufua watu wao wa karibu?

    Kinachotokeaga ni kwamba mchungaji anaejinadi anaweza kufufua mtu huwa ni filamu inachezwa mbele ya watu weye imani kubwa kuzidi akili, kila kitu kimepangiliwa na wahusika wanapewa script. Wenye imani na hisia kubwa kuzidi akili hasa wanawake ndio huwa wanachotwa akili hapa na ndio maana...
  9. J

    Yanga inambidi amfunge Medeama goli 5 ili kufufua matumaini ya kufuzu

    Ki ukweli japo mi shabiki wa Simba nataka pia Yanga apite robo, sababu itakuwa heshima kwa TZ kuwa na timu mbili robo fainali, katika timu 8 (Hata Misri ni mara chache anafanikiwa kuingiza timu 2 robo fainali) Ili Yanga awe na nafasi ya kufuzu robo sio tu amfunge Medeama bali anatakiwa...
  10. Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

    Kwa Jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM (T) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 17 Mfungo Sita 1436 9 Januari 2015 TAMKO LA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM TANZANIA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI KWA WATANZANIA WOTE, JUU YA MUSWADA WA MAREKEBISHO YA...
  11. Serikali Kufufua Kilimo cha Umwagiliaji Kwenye Bonde la Bugwema

    AHADI YA MHESHIMIWA RAIS YATEKELEZWA - SERIKALI KUFUFUA KILIMO CHA UMWAGILIAJI KWENYE BONDE LA BUGWEMA Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipokea na kukubali ombi la kufufua kilimo cha Umwagiliaji kwenye Bonde la Bugwema la Musoma Vijijini. Ombi hilo la Wana-Musoma Vijijini liliwasilishwa kwa...
  12. Tunaweza kufufua shirika la Posta, kodi zilizopo sio rafiki pia sio rahisi kwa mteja kuzielewa

    Pamoja na kazi nzuri ya Serikali ya kuboresha uchumi na miundombinu, Nafikiri ipo haja sasa ya kuja na mpango mkakati wa kufufua shirika letu la posta kwani lina uwekezaji mkubwa wa miundo mbinu karibu Nchi nzima wa Mabilioni iliyojengwa kwa kodi za wananchi Kwanini tusije na mpango mkakati na...
  13. Serikali Kufufua Kiwanda cha Nguo cha MUTEX Musoma

    GHATI CHOMETE - SERIKALI KUFUFUA KIWANDA CHA NGUO MUTEX MUSOMA MASWALI NA MAJIBU BUNGENI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete ameiuliza swali Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara ambalo lilijibiwa na Naibu Waziri Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe "Pamoja na Uwekezaji...
  14. Njia alizotumia Msukuma kuingia kwenye Siasa Za Fanana na Za Gwajima, Msukuma upambe kwa Lowasa mpaka unafiki Gwajima Kufufua Amina na Misikule!

    Wana JF Ukimwona kwa macho ya kurukaruka unaweza ukadhani Msukuma na Gwajima ni ndugu lakini hawana ubini kabisa japokuwa wote ni kabila moja la kanda ya ziwa. Katika harakati za kutafuta pesa wamejituma haswa na baada ya kufanikiwa bila kujari viwango vyao vya elimu wakajongea kwenye siasa...
  15. N

    Kufufua gari na kuipaka rangi

    Salama wanajukwaa, Nimejiangalia nimeona siwezi kununua land Cruiser amazon au jamii ya zile gari. Lakini nimejiwa na wazo nitafute gar kama hiyo ambayo imekufa ninunue bodi lets say mil 3 au 4 then nikanunue engine mpya mil 5 matengenezo niweke mil 5 rangi pamoja na kumodify nipeleke kwa...
  16. Mandonga ni fursa ya kufufua boxing, aangaliwe kwa jicho la kibiashara, anapromoti vizuri sana

    Binafsi niliacha kufuatilia ngumi baada ya checka na Rashid matumla kustaafu, lakini ni hivi karibuni naanza kufuatilia mchezo wa boxing kutokana na Tambo za mandonga. Kuna vitu kidoogo anavikosa, sponsors wakimuona, atakuwa vizuri. Huyu jamaa ni fursa ya kuunyanyua mchezo wa ngumi
  17. Waziri Makamba, nakushauri kuwa 'strategic thinker' suala la mafuta. Fufueni TIPER

    Nimeona luninga Waziri Makamba akitamba kuwa Tanzania itafanywa kuwa kituo kikubwa cha usambazaji mafuta. Mimi nikifikiri serikali itafufua kiwanda cha refinery cha TIPER, kumbe sivyo. TIPER, Tanzania Italian Petroleum Refinery, ilianzishwa na Mwalimu Nyerere kama strategic plant around 1965...
  18. I

    Asante Rais Samia kufufua utalii mahoteli, Sasa hivi yanaogelea faida. Kipindi cha Magufuli utalii ulikuwa umekufa

    Asante mama kila unachoshika kinazaa matunda bila ubabe Wala mbwembwe za eti kishindo Cha jpm tofauti mtangulizi wako ambaye kitu kidogo tu kelele nyingi. Tumeona watalii wanavyomwagika nchini na bila shaka watanzania vinana maskini wameanza kuona umuhimu wako baada ya kilazimishwa kuwa...
  19. Rais Samia Suluhu Hassan: Serikali kufanya mazungumzo kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa serikali ipo katika mazungumzo ili kuweza kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo. Hayo ameyasema leo Tarehe 26, 06. 2021 wakati wa hotuba yake katika mkutano wa 12 wa baraza la biashara. Rais Samia amesema pia hiyo itakwenda sambamba na mradi wa Mchumchuma...
  20. Ni sababu zipi ziliwafanya hawa washindwe kufufua Viwanda?

    Mwijage, Kakunda wakiri kushindwa kufufua viwanda WEDNESDAY JUNE 23 2021 Summary Mawaziri wa zamani wa viwanda na biashara leo Jumatano Juni 23, 2021 wamekiri bungeni mjini Dodoma kuwa walishindwa kufufua viwanda. By Habel Chidawali More by this Author Dodoma. Mawaziri wa zamani wa viwanda na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…