Mabasi kulazimishwa warudi Magufuli ni hujuma: lengo SGR ipate wateja na kutafuta mapato stendi kuu

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
12,283
Reaction score
23,443
Jamani hii ni hujuma ya wazi kwa wamiliki wa mabasi;

Serikali sikivu ni ile inayotatua kero, Lakini Tunashangaa sana badala ya kutatua Zinazidishwa: HAIWEZEKANI

Mtakumbuka Enzi za mkurugenzi Kabwe aliyetumbuliwa na magufuli kwa ufisadi kupitia Stand,

Sitaki kugusia makando kando ya uendeshaji mbovu na ukosefu wa huduma mhimu stendi kuu.

HOJA MHIMU ni lini mabasi yalikuwa kero kusogeza huduma kwa wananchi?

Je, kama Wamiliki wa mabasi watakapoamua kuitafsiri kuwa hii fukuza fukuza mabasi mtaani ni hujuma dhidi ya SGR Ipate wateja WATAKUWA WAMEKOSEA?

Je, hatuoni tunahatarisha SGR nayo kuhujumiwa kama wenye mabasi wakiamua kujibu?

WENYE MABASI ni wafanya biashara, Wanamikopo bank wanadaiwa marejesho;

Wenye mabasi wamewekeza Brand na ujenzi wa ofisi zao kwa gharama kubwa zaidi bilioni za fedha ili kuweka mazingira rafiki kwa abiria kupumzika wakijiandaa na safari LEO ghafla unawaambia ONDOKENI pekekeni magari stendi hivi mnajua maumivu ya kuwekeza?

Mnataka abiria warudi kwenye gombea gombea stendi ili kulinda Vizimba na mapato ya stendi huku mkipuuza utu na staha za wananchi?

Mnataka mkafungie mabasi yote stendi ili muanze kuyaruhusu kutoka kwa muda maalum jamani zama zimebadilika, kwanini hamtaki kubadilika?
AU ILE KAULI YA MSAFIRI KAFIRI ndiyo bado inawatawala vichwani?

MNATAKA ABIRIA anaetoka/kwenda mkoani kwa gharama ya nauli ya 60k, Then Akishuka maghufuli, Alake wapi kama ni gesti hiyo gharama anapata wap, au kwenda kwake akodi bajaji 50k Au pengine
kupoteza mali zake kwa kuibiwa stend, ACHILIA MBALI Kero na usumbufu wa wakata tiketi, wabeba mizigo n.k

Mnataka abiria wakimbie kero hizo wakapande sgr, Je wenye mabasi mikopo watalipaje?

Yote 9 kwanza kwanini kujiamulia mambo ambayo si kero ndiyo mnayafanya kero?
Biashara ya mwendokas imewashinda na abiria wapo kibao.
MNAKAA KIKAO KUZUIA WAFANYA BIASHARA WATAOTAFTA ABIRIA MTAANI MBAONA NI SAWA?

VIONGOZI kwa hili mnazingua sana mnatia hasira sana kwetu wananchi tunatamani japo tungetembeza makonzi vichwani mwenu lakini tunawaheshimu na kuwaomba Msijifikilie ninyi tupunguzieni kero na sisi wananchi.

Ninyi huko barabarani hata kukaa foleni tu hamuwezi mnapita na ving'ola ila sisi kutwa kutuongezea usumbufu ni haki kweli?

TABOA GOMENI HII NI HUJUMA, Mkirudi MAGUFULI si Kwanza kuna uchawi mkubwa sana stend ya Magufuli HAPAFAI MTAFILISIKA.
 
CHALAMILA ni mshamba sana. Asiye na akili
 
Acha kufananisha SGR na vitu vya ajabu ajabu. Asilimia kubwa ya watumiaji wa SGR hawakuwa wapanda mabasi. Wengi ni waliokuwa wanaendesha au kupanda ndege. BTW SGR ina njia moja tu Dar-Dom ikitanuka na kwingine si mtatega mabomu relining.
 
Wewe jamaa akili mbovu sn,,kwahyo mtu akikwambia ukajisaidie chooni uache kujisaidia hadharani ni hujuma?..

Hujuma ni kuendelea kutumia mitaa kama stand,
Badala ya kwenda main bus terminal (Magufuli).
-serikali inashindwa kuthibiti na kucontrol uhalifu mbali mbali mfano mirungi nk kama stand zitakuwa nje ya Magufuli..
Kwni huko mitaani wamiliki wanaficha nn?
 
Wewe jamaa akili mbovu sn,,kwahyo mtu ukimwambia ukajisaidie chooni uache kujisaidia hadharani ni hujuma?..

Hujuma ni kuendelea kutumia mitaa kama stand,
Badala ya kwenda main bus terminal (Magufuli).
-serikali inashindwa kuthibiti na kucontrol uhalifu mbali mbali mfano mirungi nk kama stand zitakuwa nje ya Magufuli..
Kwni huko mitaani wamiliki wanaficha nn?
Kwahiyo basi ikenda maguful ndo kuzuia mirungi, kwani lazima mirungi ipakiliwe pale au kushishiwa pale? Kama
 
Wanafanya monitor ya hali ya juu.
Zamani wakati mabus yapo ubungo terminal,
Ilikuwa ni kawaida kwa Police kuvamia pale kabla ya mabus kuondoka na kufanya uchunguzi kuanzia abiria na bus lenyewe.
Leo huko manzese atakukaguwa na nani?
Nani anajuwa umebeba nn au unashusha nn?
Mmiliki kazi yko ni kupeleka gari stand terminal kupakia na kushusha,
Kwnn unalalamika?
Unafaida gani kwa ofisi kuwa mitaani?
 
Jamani hii ni hujuma ya wazi kwa wamiliki wa mabasi;

Serikali sikivu ni ile inayotatua kero, Lakini Tunashangaa sana badala ya kutatua Zinazidishwa: HAIWEZEKANI

Mtakumbuka Enzi za mkurugenzi Kabwe aliyetumbuliwa na magufuli kwa ufisadi kupitia Stand,

Sitaki kugusia makando kando ya uendeshaji mbovu na ukosefu wa huduma mhimu stendi kuu.

HOJA MHIMU ni lini mabasi yalikuwa kero kusogeza huduma kwa wananchi?

Je, kama Wamiliki wa mabasi watakapoamua kuitafsiri kuwa hii fukuza fukuza mabasi mtaani ni hujuma dhidi ya SGR Ipate wateja WATAKUWA WAMEKOSEA?

Je, hatuoni tunahatarisha SGR nayo kuhujumiwa kama wenye mabasi wakiamua kujibu?

WENYE MABASI ni wafanya biashara, Wanamikopo bank wanadaiwa marejesho;

Wenye mabasi wamewekeza Brand na ujenzi wa ofisi zao kwa gharama kubwa zaidi bilioni za fedha ili kuweka mazingira rafiki kwa abiria kupumzika wakijiandaa na safari LEO ghafla unawaambia ONDOKENI pekekeni magari stendi hivi mnajua maumivu ya kuwekeza?

Mnataka abiria warudi kwenye gombea gombea stendi ili kulinda Vizimba na mapato ya stendi huku mkipuuza utu na staha za wananchi?

Mnataka mkafungie mabasi yote stendi ili muanze kuyaruhusu kutoka kwa muda maalum jamani zama zimebadilika, kwanini hamtaki kubadilika?
AU ILE KAULI YA MSAFIRI KAFIRI ndiyo bado inawatawala vichwani?

MNATAKA ABIRIA anaetoka/kwenda mkoani kwa gharama ya nauli ya 60k, Then Akishuka maghufuli, Alake wapi kama ni gesti hiyo gharama anapata wap, au kwenda kwake akodi bajaji 50k Au pengine
kupoteza mali zake kwa kuibiwa stend, ACHILIA MBALI Kero na usumbufu wa wakata tiketi, wabeba mizigo n.k

Mnataka abiria wakimbie kero hizo wakapande sgr, Je wenye mabasi mikopo watalipaje?

Yote 9 kwanza kwanini kujiamulia mambo ambayo si kero ndiyo mnayafanya kero?
Biashara ya mwendokas imewashinda na abiria wapo kibao.
MNAKAA KIKAO KUZUIA WAFANYA BIASHARA WATAOTAFTA ABIRIA MTAANI MBAONA NI SAWA?

VIONGOZI kwa hili mnazingua sana mnatia hasira sana kwetu wananchi tunatamani japo tungetembeza makonzi vichwani mwenu lakini tunawaheshimu na kuwaomba Msijifikilie ninyi tupunguzieni kero na sisi wananchi.

Ninyi huko barabarani hata kukaa foleni tu hamuwezi mnapita na ving'ola ila sisi kutwa kutuongezea usumbufu ni haki kweli?

TABOA GOMENI HII NI HUJUMA, Mkirudi MAGUFULI si Kwanza kuna uchawi mkubwa sana stend ya Magufuli HAPAFAI MTAFILISIKA.
Kufanya mitaa kuwa ni stand za mabasi sasa mnataka kuwa kama bodaboda....

Huduma lazima ziwe centralized.

SGR inaenda Dom tu hayo mabasi yanaenda kila mkoa sasa hujuma ipo wapi?

Mnataka kuleta shida ya kama malori mtaani msipodhibitiwa sasa huko mbeleni mitaa itachafuka kila kampuni itataka kuwa na ofisi...

Changamoto za MBEZI MAGUFULI zinaweza kurekebishwa.
Upiga debe
Fujo
Wizi
Hv vyote ni kawaida tu.

Pia serikali inajenga mwendokasi kila sehemu hao wa mbagala, tegeta sijui wapi ziwekwe mwendokasi pale za kutosha. Unashuka unakamata mwendokasi......
Changamoto haifanyi kufanya mambo kiholela. Ni kuangalia namna ya kuzitatua.
 
Jamani hii ni hujuma ya wazi kwa wamiliki wa mabasi;

Serikali sikivu ni ile inayotatua kero, Lakini Tunashangaa sana badala ya kutatua Zinazidishwa: HAIWEZEKANI

Mtakumbuka Enzi za mkurugenzi Kabwe aliyetumbuliwa na magufuli kwa ufisadi kupitia Stand,

Sitaki kugusia makando kando ya uendeshaji mbovu na ukosefu wa huduma mhimu stendi kuu.

HOJA MHIMU ni lini mabasi yalikuwa kero kusogeza huduma kwa wananchi?

Je, kama Wamiliki wa mabasi watakapoamua kuitafsiri kuwa hii fukuza fukuza mabasi mtaani ni hujuma dhidi ya SGR Ipate wateja WATAKUWA WAMEKOSEA?

Je, hatuoni tunahatarisha SGR nayo kuhujumiwa kama wenye mabasi wakiamua kujibu?

WENYE MABASI ni wafanya biashara, Wanamikopo bank wanadaiwa marejesho;

Wenye mabasi wamewekeza Brand na ujenzi wa ofisi zao kwa gharama kubwa zaidi bilioni za fedha ili kuweka mazingira rafiki kwa abiria kupumzika wakijiandaa na safari LEO ghafla unawaambia ONDOKENI pekekeni magari stendi hivi mnajua maumivu ya kuwekeza?

Mnataka abiria warudi kwenye gombea gombea stendi ili kulinda Vizimba na mapato ya stendi huku mkipuuza utu na staha za wananchi?

Mnataka mkafungie mabasi yote stendi ili muanze kuyaruhusu kutoka kwa muda maalum jamani zama zimebadilika, kwanini hamtaki kubadilika?
AU ILE KAULI YA MSAFIRI KAFIRI ndiyo bado inawatawala vichwani?

MNATAKA ABIRIA anaetoka/kwenda mkoani kwa gharama ya nauli ya 60k, Then Akishuka maghufuli, Alake wapi kama ni gesti hiyo gharama anapata wap, au kwenda kwake akodi bajaji 50k Au pengine
kupoteza mali zake kwa kuibiwa stend, ACHILIA MBALI Kero na usumbufu wa wakata tiketi, wabeba mizigo n.k

Mnataka abiria wakimbie kero hizo wakapande sgr, Je wenye mabasi mikopo watalipaje?

Yote 9 kwanza kwanini kujiamulia mambo ambayo si kero ndiyo mnayafanya kero?
Biashara ya mwendokas imewashinda na abiria wapo kibao.
MNAKAA KIKAO KUZUIA WAFANYA BIASHARA WATAOTAFTA ABIRIA MTAANI MBAONA NI SAWA?

VIONGOZI kwa hili mnazingua sana mnatia hasira sana kwetu wananchi tunatamani japo tungetembeza makonzi vichwani mwenu lakini tunawaheshimu na kuwaomba Msijifikilie ninyi tupunguzieni kero na sisi wananchi.

Ninyi huko barabarani hata kukaa foleni tu hamuwezi mnapita na ving'ola ila sisi kutwa kutuongezea usumbufu ni haki kweli?

TABOA GOMENI HII NI HUJUMA, Mkirudi MAGUFULI si Kwanza kuna uchawi mkubwa sana stend ya Magufuli HAPAFAI MTAFILISIKA.
SGR? Kwamba abiria wote nchi hii wanaenda Dodoma? Huna hoja, wakati hiyo stand inajengwa kwa mabilioni hao TABOA walikuwa hawaoni? Nchi hii ina uongozi wasikilizeni, tunajua matajiri hawapendi kuongozwa wangetamani kusiwe hata na serikali, hivyo viofisi vyenu ni uchafu mitaani
 
Back
Top Bottom