Mabasi kulazimishwa warudi Magufuli ni hujuma: lengo SGR ipate wateja na kutafuta mapato stendi kuu

Kuwekeza mabilioni ndio kunakufanya uishi nje ya sheria na kanuni?! This is rubbish.

Serikali isicheke na kima kuhusu huu mpango, asietaka aende kuishi kwenye nchi ambayo yeye ataamua anaishije na sio Tanzania.
Inje ya sheria gani? Kuna vibari gan havijalipwa
 
Kuna watu wametoa mapendekezo ya kujengwa kwa stendi nyingine maeneo ya Kigamboni, sijui Chanika, nk. Walau hawa wana hoja. Au iboreshe miundombinu ya barabara ili abiria wafike stendi kwa urahisi.
Shida ni mindset ya watu kama huyo RC, Dar inahitaji mindset kama za akina Mtaka yule wa Njombe anayeonja magumu ya wananchi kabla hajayafanyia kazi, huyo wa Dar ni hopeless amepagawa na V8 ya serikali anadhani uongozi ni kutisha watu na mabavu
 
Sasa mkuu kama tunafuata SGR pugu, posta na kwingine, why tusifuate mabasi pale Mbezi? Au wanaopanda mabasi ni special case sana? Na pia hakuna anayesafiri kila siku kwa hiyo kama umepanga safari jitahidi hiyo siku uwahi kituoni mambo yaende na sio basi kufuata watu maeneo yao.

Mfano mtu anakaa Mbagala hiyo safari kufuata gari Shekilango na hachelewi atafanya hvyo hvyo kujipanga awahi Magufuli.

Cha muhimu lazima mji uwe na utaratibu unaoeleweka.
Mkuu Anayekaa Mbagala anapandia Mbagala huko huko halifuati Shekilango. Ndio maana unaona watu wanapiga kelele kwakuwa wenye mabasi walishawasogezea huduma.

Kama lengo ni kupunguza foleni si heri basi lianzie mbagala/kigamboni na abiria wanaoanzia safari huko kuliko kila abiria akitumia chombo cha usafiri binafsi kwenda Mbezi?
 
Shida ni mindset ya watu kama huyo RC, Dar inahitaji mindset kama za akina Mtaka yule wa Njombe anayeonja magumu ya wananchi kabla hajayafanyia kazi, huyo wa Dar ni hopeless amepagawa na V8 ya serikali anadhani uongozi ni kutisha watu na mabavu
wakipanga lao hawaambiliki
 
Mkuu Anayekaa Mbagala anapandia Mbagala huko huko halifuati Shekilango. Ndio maana unaona watu wanapiga kelele kwakuwa wenye mabasi walishawasogezea huduma.

Kama lengo ni kupunguza foleni si heri basi lianzie mbagala/kigamboni na abiria wanaoanzia safari huko kuliko kila abiria akitumia chombo cha usafiri binafsi kwenda Mbezi?
Si wanasema akaapndie magufuli atoke mbagala had magufuli bajaji 80k
 
Tulia dawa ikuingie Bus zote kwa Magufuli.
Lazima.utakua mmiliki sindano nywiiii.
Mnatujazia mafoleni tu
 
Wanafanya monitor ya hali ya juu.
Zamani wakati mabus yapo ubungo terminal,
Ilikuwa ni kawaida kwa Police kuvamia pale kabla ya mabus kuondoka na kufanya uchunguzi kuanzia abiria na bus lenyewe.
Leo huko manzese atakukaguwa na nani?
Nani anajuwa umebeba nn au unashusha nn?
Mmiliki kazi yko ni kupeleka gari stand terminal kupakia na kushusha,
Kwnn unalalamika?
Unafaida gani kwa ofisi kuwa mitaani?
Kukagua nini, hoja ya ukaguzi ni hoja mfu kabisa, mfano nikienda misugususgu au mlandizi nikapakia begi la mbangi utarud ubungo kukagua? Akili ya ajabu kabisa;
Mtaani abiria wanapatikana kirahisi
 
Mkuu Anayekaa Mbagala anapandia Mbagala huko huko halifuati Shekilango. Ndio maana unaona watu wanapiga kelele kwakuwa wenye mabasi walishawasogezea huduma.

Kama lengo ni kupunguza foleni si heri basi lianzie mbagala/kigamboni na abiria wanaoanzia safari huko kuliko kila abiria akitumia chombo cha usafiri binafsi kwenda Mbezi?
Kwa hiyo kila mji uwekewe stand yake?
 
Mkuu mbona SGR au airport watu wanafika vizuri tu. Ni vile watu hawataki kufuata taratibu.

Hapa ni kutatua changamoto ya namna ya kufika Magufuli either kwa kuboresha mwendokasi au kupunguza foleni lakini si kila basi lifungue ofisi zake si itakua kero mitaani?

Na pia gari haliwezi mfuata kila mtu mtaani kwake. Lazima tuishi kwa sheria na utaratibu tusipende holela sana...
Usafiri wa mabasi ni usafiri wa watu wa kawaida kiuchumi.
Naishi chanika
Kwetu Arusha
Hapa kuna Bus zinatoka chanika kuelekea Arusha..
Yard za hizo company zipo huku, kwahiyo zitoke zisipakie abiria anaetoka huku ziende empty hadi mbezi.
Na abiria atoke chanika na daladala hadi mbezi hiyo imekaa sawa?
Kimsingi utakuwa umeongeza msongamano wa magari barabarani.
Barabara nyingi za mjini ni mbovu, foleni kila kona, huoni unamuongezea usumbufu na gharama abiria?
Huko mbezi stendi kumejaa uhuni na usumbufu kwa abiria, ukitokea tu, unashambuliwa na mawinga km ugomvi!
 
Hiyo zuio itawagusa na kuwabana baadhi ya wamiliki. Kwenye chama cha wamiliki mabus kuna watu wapo pande zote za maamuzi. Hilo zuio la mkuu wa mkoa litapita na kazi itaendelea
 
Hii vita ni kama ya RC Yusuph Makamba na Omba omba wa Dar. Baada ya kuwarudisha mara kwa mara Dodoma mzee Matonya alimwambia Mzee Makamba utaondoka kwenye cheo cha mkuu wa mkoa utatuacha tunaendelea kuomba hapa mjini
 
Usafiri wa mabasi ni usafiri wa watu wa kawaida kiuchumi.
Naishi chanika
Kwetu Arusha
Hapa kuna Bus zinatoka chanika kuelekea Arusha..
Yard za hizo company zipo huku, kwahiyo zitoke zisipakie abiria anaetoka huku ziende empty hadi mbezi.
Na abiria atoke chanika na daladala hadi mbezi hiyo imekaa sawa?
Kimsingi utakuwa umeongeza msongamano wa magari barabarani.
Barabara nyingi za mjini ni mbovu, foleni kila kona, huoni unamuongezea usumbufu na gharama abiria?
Huko mbezi stendi kumejaa uhuni na usumbufu kwa abiria, ukitokea tu, unashambuliwa na mawinga km ugomvi!
mkuu sasa hizo sababu ulizoweka mbona changamoto yake ikifanyiwa kazi inatatulika?

Usafiri wa uma upo wa uhakika aka mwendokasi karibu kila mahala unajengwa. Ni kuweka utaratibu mzuri tu wa shuttle/Daladala za kuelekea Magufuli.

Hao wapiga debe na mawinga serikali ikiamua mara moja hawapo....
Hatuwezi kuwa na yard za magari kila sehemu lazima iwe centralized.

Tujifunze kuishi kwa utaratibu.
 
wanasiasa katika biashara za watu wanakera sana
 
Si mabasi yenu huwa yanasomba raia kujaza kampeni za CCM mnasema ni mafuriko Eeeeh si mlijua ni CHADEMA tu ndo wanaumia kwenye huu utawala,sasa ngoja tuone kama hiyo stendi ya magufuli itawaumiza CDM tu au Hadi wale wa OCTOBAAAA TUNAAATIIIIIKIIII😀😀😀mama anaupiga mwingiiiii mitano tena🖐️
 
Nimeangalia jina lako unaitwa msuKUma02 maana yake nini?
 
Jambo jepesi tu, companies zote za mabasi zipeleke mabasi yao yote hapo magufuli, nakuambia zitajaa hadi mbezi na Dar itakuwa haingiliki tena.
Tuna Viongozi wapumbavu sana, dunia ya leo unalazimisha watu wote wapandie bus sehemu moja, hata mifugo haipandishwi sehemu moja.
Akili za kimamkundule
 
Back
Top Bottom