Mabasi kulazimishwa warudi Magufuli ni hujuma: lengo SGR ipate wateja na kutafuta mapato stendi kuu

Jamani hii ni hujuma ya wazi kwa wamiliki wa mabasi;

Serikali sikivu ni ile inayoezi mnapita na ving'ola ila sisi kutwa kutuongezea usumbufu ni haki kweli?

TABOA GOMENI HII NI HUJUMA, Mkirudi MAGUFULI si Kwanza kuna uchawi mkubwa sana stend ya Magufuli HAPAFAI MTAFILISIKA.
Jengeni hoja kwa serikali kuongeza idadi ya stendi kulingana na mgawanyo wa maeneo na watu jijini! Kuna watu wametoa mapendekezo ya kujengwa kwa stendi nyingine maeneo ya Kigamboni, sijui Chanika, nk. Walau hawa wana hoja. Au iboreshe miundombinu ya barabara ili abiria wafike stendi kwa urahisi.

Lakini hili jambo la kuruhusu kila kampuni ya mabasi kuwa na stendi yake mtaani, limekaa kibinafsi sana! Na lina kila dalili za kuikosesha serikali mapato. Pia linaweza kusababisha msongamano usio wa lazima wa magari katikati ya mji.
 
Wanafanya monitor ya hali ya juu.
Zamani wakati mabus yapo ubungo terminal,
Ilikuwa ni kawaida kwa Police kuvamia pale kabla ya mabus kuondoka na kufanya uchunguzi kuanzia abiria na bus lenyewe.
Leo huko manzese atakukaguwa na nani?
Nani anajuwa umebeba nn au unashusha nn?
Mmiliki kazi yko ni kupeleka gari stand terminal kupakia na kushusha,
Kwnn unalalamika?
Unafaida gani kwa ofisi kuwa mitaani?
Kwa hiyo ulinzi wa Polisi ni Mbezi tu sio Manzese aisee Tanzania yote inalindwa hiyo ukitaka kujua hizo kazi ni ngumu waulize wabebaji unaongea kama vile ni biashara ya mahindi..
Watu wanatafutwa kuanzia Mkata au Morogoro huko unaongelea daslm aisee..
 
Jengeni hoja kwa serikali kuongeza idadi ya stendi kulingana na mgawanyo wa maeneo na watu jijini! Kuna watu wametoa mapendekezo ya kujengwa kwa stendi nyingine maeneo ya Kigamboni, sijui Chanika, nk. Walau hawa wana hoja. Au iboreshe miundombinu ya barabara ili abiria wafike stendi kwa urahisi.

Lakini hili jambo la kuruhusu kila kampuni ya mabasi kuwa na stendi yake mtaani, limekaa kibinafsi sana! Na lina kila dalili za kuikosesha serikali mapato. Pia linaweza kusababisha msongamano usio wa lazima wa magari katikati ya mji.
Serikali inakosaje Mapato bus moja lina kodi kama ndege hii kauli huwa inanishangaza sana...
 
Kwanini wasijenge kwanza hizo stand ndogo kila wilaya, tujenge hoja kama wameshindwa si wajiuzuru
 
Serikali inakosaje Mapato bus moja lina kodi kama ndege hii kauli huwa inanishangaza sana...
Kibongo bongo ukimiliki gari unaheuka kuwa ng'ombe wa maziwa. Serikali yako huwa inaoenda kupata kodi kwa njia ya mserereko.
Kwenye sekta nyingine huko mfano madini, Wachina wanajibebea tu na kodi hawalipi! Ndiyo serikali yako hii. Ina watu wasiopenda kuumiza vichwa vyao.
 
Shangaa kabisa, gari linalipa vibari kibao halafu wanataka kwenda kulifungia magufuli ili wapate wao pasipokujali maisha ya wengine
 
We hujawaelewa tu bado. Hapo mabasi yametolewa kafara ili kulinda icd's ambazo ndo mzizi mkuu wa tatizo wanalojifanya wanalitatua.
 
Naipongeza Serikali kuchukua hatua ya kurudisha mabasi stendi ya Magufuli.

Nchi hii haiwezekani kila mtu ajifanyie kitu kwa mipango yake eti kisa ana pesa. Big NO.

Sio kurudisha tu, iendane na adhabu kali kwa wote watakaoshindwa kutimiza takwa hilo
 
Uwekezaji Tanzania ni bahati nasibu, unaamka asubuhi mipango yako ya miaka 10 imepigwa nyundo over night.
Yaani kero sana mtu kawekeza Mabilion kuaandaa ofc halafu mtu anakuja ghafla tu kusema funga, hajawahi kumiliki hata genge
 
Mnadeka sana watu wa hii nchi.

Kwamba kila mtu ajianzishie stendi yake anapotaka? wapi mliona huu utaratibu.

Rudini stendi kuu kama unataka kuweka ofisi huko iwe ya kukata tiketi tu, mabasi yaende stendi kuu.

Kukosa mpangilio ndio kunafanya jiji la Dar linakuwa kero kutokana na magari makubwa kutapakaa kwenye barabara finyu...Nchi nyingi huko mabasi yana utaratibu wa pamoja, nyie nani mnataka mjipangie na kufanya kazi kwa uholela bana
 
Yaani kero sana mtu kawekeza Mabilion kuaandaa ofc halafu mtu anakuja ghafla tu kusema funga, hajawahi kumiliki hata genge
Hawana skills za biashara.
Kama wangejiongeza wangeunda chanzo kingine mapato gari inayotaka kuanzia shekilango ,manzese wanawekewa tozo special na Magufuli analazimika kuingia na kulipia vilevile unabaki kuregulate ubora na vigezo.
 
Back
Top Bottom