kufukuzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tenachew

    SoC02 Siri kuu saba zilizonifanya kufungua kiwanda baada ya kufukuzwa Chuo

    Siri kuu saba zilizonifanya kuanzisha kiwanda baada ta kufukuzwa chuo. Moja kati ya shughuli za kiuchumi zenye kuleta mageuzi makubwa Kwa uchumi wa nchi yoyote ni kuanzisha viwanda. Kuanzisha na kuendesha viwanda ni rahisi sana kwa mtu binafsi hasa ukipewa Siri yake. Hapa kuna siri kuu saba...
  2. Lady Whistledown

    TUCTA yapinga kufukuzwa kazi kwa aliyekuwa meneja wa TRC kanda ya Dar es Salaam

    Baada ya aliyekuwa Meneja wa Kanda wa Shirika la Reli Tanzania, Jonas Afumwisye, kuthibitisha kupokea barua ya kufutwa kazi, Rais wa Chama cha Wafanyakazi nchini amesema wanapinga hatua hiyo kwa kuwa alitimiza haki yake ya kutoa maoni. Meneja huyo anadai, kusimamishwa kazi kutokana na kupinga...
  3. BARD AI

    Kashfa mgonjwa akidai kufukuzwa hospitali kwa kukosa Sh 250,000

    Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani imelalamikiwa kutompatia matibabu ya upasuaji wa henia ‘ngiri’ Bathromeo Mapunda, kisha kumfukuza hospitalini hapo kwa kukosa Sh250,000. Awali, Batholomeo (46) aliambiwa atoe Sh450,000 na baada ya kuhangaika sana na kushindwa kufikisha kiasi hicho...
  4. M

    Chalamila laana inaendelea kumtafuna

    Albert Chalamila Mhenga wa Kale Sijui unamfahamu mkuu wa mkoa aliyewahi kufukuzwa kwa kashifa ya mabango? Huyu bwana mimi namuita Mwamba kwa sababu kutimuliwa ukuu wa mkoa tena na mwanamke na akabaki bila kujinyonga kwa Mhehe sio jambo dogo kabisa na anakwambia kufukuzwa ni laana inayomuandama...
  5. figganigga

    Baada ya Samia Kutembelea Uarabuni, Wamasai wameanza kufukuzwa kwenye Malalio yao

    Salaam Wakuu, Kuna Uhusiano gani wa rais Samia kutembelea Uarabuni na Operation ya kuweka Mipaka Loliondo? Miezi mitatu baada ya Samia kwenda Uarabuni, mipaka imeanza kuwekwa Loliondo. Pia Wamasai wametakiwa kuhamia Tanga kwa hiari Hivi Karibi Rais anaenda tena Uarabuni. Nini tutegemee...
  6. Melubo Letema

    Riadha: Baada ya Failuna Abdi Matanga Kufukuzwa Kambini, Gidabuday acharuka, Ashusha Cheche Mitandaoni.

    Baada ya Shirikisho la Riadha Tanzania, Kamati ya ufundi na Kocha wa timu ya Taifa , Suleiman Nyambui kumfukuza Mwanariadha Failuna Abdi Matanga, Gidabuday alihoji uhalali wa kumfukuza Mwanariadha huyo, ndipo alipopata Vitisho na Mengine. Gidabuday Anasimulia hapa; Juni Mosi nilibishana sana...
  7. Replica

    Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
  8. S

    Ni suala la muda tu baadhi ya walioitwa Wabunge wa CHADEMA Kuanza kugeukana na kusema ukweli baada ya kufukuzwa

    Watu kumi na tisa ni wengi mno kwa wote kushikamana na kuwa wamoja baada ya mambo kuharibika, hivyo wako baadhi yao wataonza kutoa siri na hata wengine kuomba radhi unless wataenda mahakamani. Sakata hili ndio kwanza linaanza na tujiandae kusikia mengi yakiwemo ya kushangaza. Tusubiri.
  9. Kijakazi

    The Guardian: Wamasai kufukuzwa kupisha Mwarabu (UAE) kuwinda Wanyama!

    Haya waliokuwa wanasema kufukuzwa kwa Wamasai ni kwa ajili ya kutunza Hifadhi wako wapi? Kwa mujibu wa Gazeti la Mzungu wenu The Guardian sababu ya kuwaondoa Wamasai kwa nguvu ni kupisha Mwarabu wa Dubai kuwinda Wanyama. Magu (RIP) angekuwepo isingewezekana, angewatetea lazima! ----- Thousands...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Steve Mguto, mwenyekiti wa timu ya Coastal Union atungiwa wimbo wa kufukuzwa kwenye timu

    Waswahili walisema akufukuzaye hakwambii toka. Steve Mguto hadi unatungiwa nyimbo, ni wakati wako wa kujitafakari na safari ya carrier yako katika club ya Coastal Union hapo katika jiji la Tanga.
  11. Cannabis

    Ole Gunnar Solskjær afukuzwa, Manchester United watoa tamko rasmi

    Inasemekana bodi ya klabu ya Manchester United imeridhia maamuzi ya kumfukuza kazi Ole Gunnar Solskjær. Maamuzi hayo yanakuja kutokana na muenendo usioridhisha katika msimu wa mwaka 2021/22. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya klabu hiyo kupokea kichapo cha magoli 4 kwa 1 dhidi ya Watford...
  12. Kipunga

    Nimesikitika sana kuona watu wanafurahia wamachinga kufukuzwa mjini

    Inasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana. Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine...
  13. The Assassin

    #COVID19 70% ya wasiotaka chanjo USA wako tayari kuacha ama kufukuzwa kazi kuliko kuchanja

    Marekani imechanja zaidi ya 50% ya watu wake ambao wanastahili kuchanjwa lakini karibu watu milioni 100 wenye sifa ya kuchanja wamegoma kuchanja ama hawajachanja hadi sasa. Kutokana na covid, makampuni mengi ama taasisi nyingi zinahimiza ama kulazimisha wafanyakazi wao kuchanjwa na mengine...
  14. D

    Haji Manara alistahili kufukuzwa Simba kitambo

    Haji huyuhuyu anaelalamikia uongozi wa Simba, alikuwa analipwa 700k bila vyeti Manara huyuhuyu ambaye kabla ya Simba hakuwa maarufu shida zake kubwa zilitatuliwa na MO kifedha kama kijana wake Manara huyuhuyu aliwahi kumtusi maneno mazito na kumdharau CEO wa Simba kwasababu za uanamke wake...
  15. Komeo Lachuma

    Askofu Gwajima hataki kubadili uelekeo, inawezekana ni mgeni na chama

    The man ni Game Changer. Anajiamini sana hasa anaposimamia anachoamini. Natamani iwe leo; natamani iwe kesho Gwajima afukuzwe CCM. Anampinga Rais ambaye kaamua kubadilisha uelekeo. Gwajima bado amekaza shingo yake hataki kugeuka nyuma kubadili uelekeo. Amekaza shingo na anakazana kuelekea...
  16. kiraremapojoni

    Mfanyakazi mwenye tuhuma anaweza kufukuzwa kabla ya tuhuma kuthibitishwa?

    Wanajamvi, natumai mnaendelea salama na mapambano ya kila siku. Leo nimekutana na rafiki yangu ambaye alikuwa ni mfanyakazi katika taasisi moja ya serikali. Akaja akapata changamoto kazini akasimamishwa kazi kupisha uchunguzi huku ishu yao ikipelekwa polisi kwa uchunguzi zaidi. Cha kushangaza...
  17. S

    Tundu Lissu: Rais umekosea na umevunja sheria, Biswalo Mganga alistahili kufukuzwa kazi na si kupewa hadhi ya Jaji

    Ameandika hivi kupitia mtandao wa Twitter: Mh. Rais umekosea & umevunja sheria: DPP Biswalo Mganga alitesa watu wasio & hatia kwa mashtaka ya uongo ya uhujumu uchumi & utakatishaji fedha. Wengi wanaozea magerezani kwa sababu yake. Alistahili kufukuzwa kazi chini ya Sheria hii; sio kupewa hadhi...
  18. Erythrocyte

    Kuliko Aibu ya kufukuzwa bungeni wale Wabunge wasio na chama wanaojiita wa Viti Maalum ni vema Wakajiuzulu wenyewe

    Wakati mwingine inabidi kubadili mbinu za Usaliti ili kuendelea kutafuna hela za ccm na za umma , Mipango ya Mwendazake kwa Covid 19 ni kama imeondoka naye , Ule ulinzi waliokuwa wanapewa na Msigina Katiba aliyekwenda haupo tena , mipango ya kuwaengua kwa aibu imekamilika . Ili kuepuka jambo...
  19. Analogia Malenga

    Mnyika: Tulipeleka barua za kufukuzwa uanachama Wabunge mara mbili

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema walieleka barua rasmi kulitaarifu bunge kuhusu kufukuzwa uanachama kwa wabunge 19 walioteuliwa kuwa wabunge wa viti maalum katika bunge la 12 Mnyika ametoa ushahidi huo leo, baada ya Naibu Spika wa bunge kusema kuwa hawana taarifa ya wabunge kufukuzwa...
  20. Erickford4

    Nawezaje kurudishwa kazini baada ya kufukuzwa kazi?

    Habari zenu wakuu, Mimi ni mwalimu idara ya sekondari katika mkoa wa Mara. Niliwahi kuugua ugonjwa wa tumbo kujaa na kuvimba ambao kule Mara ni maarufu kwa jina la passport size huwa inatokana na kulogwa. Nilihangaika kutafuta uponyaji wake kwa njia ya hospitali hali ikawa sivyo hadi...
Back
Top Bottom