Wana Jf,
Nawaonea huruma sana MaDC kwa kuishi kimashaka kama ikitokea kwao baa la njaa likawakumba, pengine ni kutokana na jiographia kuwa wananchi wazazi wao walipopachagua kuishi na kupaita kwao ni full ukame na wanaishi hapo kwa kutangatanga kufuatia urithi walioukuta. Wengine...
Hii habari ineanza kutrend huko mitandaoni, Lampard huenda akaoneshwa mlango wa kutokea pale Stamford Bridge muda wowote kuanzia leo.
Iwapo atatimuliwa kazi, kocha gani ungependa aje arithi mikoba ya Super Frank?
=====
Chelsea have sacked Frank Lampard, with the former Borussia Dortmund and...
ALERT
CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC
Atasema Mbowe alikuwa analazimisha mademu zake wawekwe na yeye akakataa ndiyo maana...
Swala la kocha Eymail Lina harufu ya figisu na mizengwe kwani CV ya Eymail haioneshi kuwa sifa anazodaiwa kufukuzwa nazo kazi Yanga. Kama angekuwa mbaguzi Yanga na GSM wangeigundua kabla ya kumpa kibarua.
Mara nyingi mtu akutenda kosa lazima yaangaliwe mazingira yakiyosababisha kosa na dhamira...
NA AnonymousAfrica #Twitreporter
Nimeandika hii, kwaajili ya kuwapatia watu picha kamili kwa lengo la kukujuza / kuelimisha / Kwa wengine ni burudani pia. Sina lengo la kuchonganisha, wala kubagua
Kuuliwa kwa Malcolm X
Mnamo Februari 21, 1965, Malcolm X aliuawa wakati akitoa hotuba katika...
Usiku wa leo imesambaa taarifa kwamba Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Profesa Mohamed Janabi amejiuzulu kwa shinikizo baada ya kutoa maoni yake kuhusu mwenendo wa ugonjwa wa Corona nchini.
Taarifa hizo zimekanushwa; Kwa mujibu wa barua hiyo inayoonesha Profesa Janabi...
Tumemsikia wenyewe aliyekuwa mwanachama wa CCM, Bernard Membe akidai kuwa katika kufukuzwa kwake CCM, Katiba ya chama chake haikuzingatiwa
Kwa maelezo yake, kikao pekee chenye uwezo wa kumfukuza mwanachama yeyote wa CCM, ni Halmashauri Kuu ya CCM, jambo ambalo haliikufanyika, badala yake ni...
Baada ya kuvujishwa sehemu ya maongezi ya Bernard Membe na Katibu katika kijiji Rondo kata ya Chiponda katika mkoa wa Lindi akijidai na kumwambia, ‘’tunagonja sijui watatufukuzwa, mbona hawatugusi? Wapendekeze watufukuze waone moto wake’’ na kumaliza maongezi kwa kusema ‘’tuna vita kati ya...
Kati ya wajumbe wote wa kamati kuu ni watu watatu tu pamoja na msemaji wao ndiyo waliounga mkono Membe kufukuzwa. Hata aliyeongoza Tume ya Maadili, yaani Mzee Philip Mangula alipinga Membe kuvuliwa uanachama wa chama hicho, imedokezwa.
Wajumbe wengi walipendekeza Benard Membe kufungiwa kufanya...
Wanabodi Salaam.
Ikiwa taarifa za kufukuzwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu. Bernard Camilius Membe zikiwa bado zinatikisa mimbari ya siasa Tanzania, nimejikuta ninakumbuka matukio machache kabla ya uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2015.
Ikumbukwe wakati ule mgombea aliekuwa anapewa nafasi...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole amesema kuwa Membe aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Tanzania amefukuzwa ndani ya chama hicho
Amesema uamuzi huo umekuja baada ya taarifa zake ndani ya chama kuonesha mwenendo wake kutoka mwaka 2014 kuwa amewahi kupata...
Inawezekana kweli ametenda kosa kuchana Qurani, amewaudhi wengine, Lakini
1. Kuna taratibu tumejiwekea za kushughulka na watu kama hao wanaoamsha hasira za wengine! Uliapa kulinda katiba na sheria zitokanazo na katiba hiyo. Kunatartibu! Wewe huna mamlaka ya kisheria kumwajibisha. Mihemko ya...
Meya Jiji la Dar es Salaam, nchini Tanzania Isaya Mwita amejikuta njia panda baada ya kunyang’anywa gari alilokuwa akilitumia ambalo linamilikiwa na halmashauri hiyo muda mchache baada ya uamuzi wa mkutano mkuu kutoa uamuzi dhidi ya tuhuma dhidi yake.
Mkutano huo umefanyika leo Alhamisi...
Kazi ya Unai Emery kama meneja wa Arsenal imefikia kikomo, ikiwa ni miezi 18 tu tangu kuchukuwa mikoba hiyo kama mrithi wa Arsene Wenger.
Kuondoka kwa Mhispania huyo kumehibitishwa Ijumaa, ikiwa Arsenal ipo katika nafasi ya nane katika jedwali la Ligi Kuu. Freddie Ljungberg amewekwa kama meneja...
Hello guys,
Hapo zamani kabla sijaijua dunia vizuri, nlikuwa napenda sana kukaa kwa ndugu kipindi cha likizo (shule zikifungwa) au kwenye familia ya marafiki zangu..nlikuwa nkijihis comfortable na happy kabisa kukaa kwa watu
Mtazamo wangu kuhusu kukaa kwa watu ulibadilika baada ya mm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.